Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mithali 19:20 (Biblia ya King James) "Sikiliza ushauri na upokee maonyo, ili upate hekima mwishoni mwa siku zako." MAISHA BAADA YA KUFA Katika Uislamu, maisha baada ya kifo yanaelezwa kwa...
6 Reactions
24 Replies
659 Views
Polisi Kigoma wametoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji zinazozungumzia kukamatwa kwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA. Polisi wamesema wanashikilia wahalifu wanne kwa tuhuma za mauaji, na...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Ni taarifa nilizotumiwa na mtu aliyepo eneo la tukio ni eneo la Mlandizi bus lilikuwa linatokea Dar kwenda Dodoma.
0 Reactions
57 Replies
8K Views
Wapenzi na Mashabiki wa Team ya Yanga, ni kweli ya kuwa, tunapitia Wakati Mgumu na kwa kiasi Fulani, kimataifa angalau tumenza na Matokeo ya kutia Moyo,sio ya kuridhisha. Ili tutembee kifua mbele...
3 Reactions
1 Replies
220 Views
Nasikia tetesi nyingi tu kuwa ndugu zangu wachaga sasa wanaingia kwenye anga za ushirikina kwa spidi ya 5g. Sasa leo, bwana Massawe kijana mtanashati na anaye onekana mstaarabu kumbe ni tapeli...
9 Reactions
49 Replies
2K Views
Sijakulia miaka ya 90, ila ukweli zama hizi watu wana information nyingi bila maarifa... Zamani unakutana mtu katoka chuo, kweli yuko confident na kile amesoma, ila siku hizi hadi form4 leaver...
7 Reactions
19 Replies
436 Views
Nawasilisha hii hoja nikiwa na nia njema. Kama kuna mwenye update atoe ushirikiano ili tufahamu ni lini huu mfumo utaanza kutoa huduma hasa katika kipengele cha Uhamisho.
1 Reactions
3 Replies
443 Views
Gari dogo la abiria limegonga treni ya abiria katika eneo la Kigogo Fresh, wilayani Ilala, Dar es Salaam, leo asubuhi, Desemba 18, 2024. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Shirika la Reli la...
2 Reactions
2 Replies
357 Views
Njemba huyo pichani ambaye ni Mtanzania na mkazi wa Arusha ingawa kwa sasa anaishi nchini Canada amewashangaza watu baada ya kubadili jinsia kutoka kwenye uanaume na kuwa mwanamke, tukio zima la...
26 Reactions
245 Replies
24K Views
Yaani Kuna shule Mkuu wa hiyo shule anawachukulia walimu wake kama watoto. Kufika kazini ni saa 1 kamili, kutoka ni saa 11 jioni na ni mkali balaa kuwaandikisha barua kila wakati.
6 Reactions
57 Replies
3K Views
TLS [Chama cha Wanasheria Tanganyika] kikiongozwa na rais wake Machachari Boniface Anyunywile Mwabukusi kimetoa tamko ambalo kwa vijana wa kijani wanaona kama ni kuchamana na Ndumbaro. chama...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Swali: Je, Uislamu unahakikishia wokovu wa mtu kwa hakika, au kuna kutokuwa na uhakika kuhusu hatima ya mwisho ya kila Mwislamu? Katika Uislamu, wokovu unategemea mizani ya matendo mema na mabaya...
0 Reactions
1 Replies
170 Views
Naunga mkono hoja ya Waziri wa Kilimo bwana Bashe kupiga marufuku wauza Madawa ya Kilimo na mifugo ambao hawajasomea na tumechelewa sana. Ni aibu mkulima.kuingizwa kwenye hasara ya mbegu Feki...
4 Reactions
5 Replies
250 Views
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro amelazimika kumpigia simu Meneja wa Wakala wa barabara Vijijini TARURA mbele ya wananchi wakati wa mkutano wa hadhara kupata ufafanuzi juu ya...
0 Reactions
2 Replies
165 Views
Ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusu hali ya deni la mataifa 186 duniani imeonyesha kuwa Tanzania inazidi kuimarika kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu...
0 Reactions
1 Replies
145 Views
Kwanza naomba kujua ni sababu zipi wazungu waliziona kwa misri na nchi nyengine za mashariki ya kati kuziunganisha na bara la Afrika? Je ni usalama au Kuwagawa waarabu? Jambo la pili inakuwaje...
1 Reactions
6 Replies
309 Views
Sijatambua ni mungu wa aina gani ambaye anaabudiwa na wanawaisrael sababu kubwa ni kwamba. Kipindi yakobo anatokewa na Mungu beer sheba kama sikosei aliweka jiwe la agano,je hatuoni kiwa...
0 Reactions
1 Replies
144 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari...
1 Reactions
23 Replies
896 Views
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, Basi nawakaribisha SHALOOM AFRICA kwa ajili ya huduma zote za kiofisi. Tunapatikana Buguruni sheli na namba zetu zipo kwenye bango letu. Karibuni sana.
1 Reactions
0 Replies
114 Views
Kusaidia wengine ni tendo la heshima na ubinadamu, lakini si kila mtu anayekuomba msaada ana nia njema. Kuna watu ambao, badala ya kujiboresha kupitia msaada wako, wanatumia ukarimu wako kama njia...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Back
Top Bottom