Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tafadhali sana naomba mrekebishe hicho choo. Ni aibu sana kuwa ja choo kama hicho. Nilijuta kuingia aisee. Ni choo cha shimo na mmeweka sink. Sink limevunjika na choo ni kimejaa so mzigo wote...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Mimi ni graduate wakuu wa moja ya chuo kikuu. Wakuu Leo nikafika bandarini kuliku na kazi ya kupakia mifuko ya cement kama 5000 kwenye gari ili isafirishwe moja ya mkoa. Sasa Kuna bro...
72 Reactions
326 Replies
8K Views
Tunashuhudia serikali ikigawa mitungi ya gesi vijijini ambako wananchi wanauwezo wa kupata nishati safi bila gharama yoyote. Wafugaji na wakulima wanayo mabaki ya vyakula na samadi ambayo yanaweza...
3 Reactions
7 Replies
256 Views
Shalom Shalom! Leo ni siku ya pekee ambayo waumini Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) wanaadhimisha uwepo wa kanisa hili kwa miaka 85 sasa. Kanisa hilo lilikuwepo tangu kabla wa uhuru wa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna taarifa mitaani zinazagaa kuwa Mchungaji Moses Magembe wa Tanzania Assemblies of God kajiondoa mwenyewe kwenye hilo kanisa kuendelea na maono yake kwingine Je taarifa hizo ni kweli?
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Helicobacter Pylori ni bacteria ambao wanasadikika kusababisha vidonda vya tumbo na pia Kansa ya utumbo/tumbo, njia zake za kuambukizwa ni kupitia matumizi ya vitu vyenye vya H-Pylori kama vile...
19 Reactions
97 Replies
7K Views
Tokea juzi ninapata shida kupata access ya kuingia inanigomea si kwa simu wala computer. Shida ni nini? Pia soma...
0 Reactions
3 Replies
548 Views
Dunia imejawa na siri na waaofanikiwa kufahamu hawana Nia ya dhati kuhakikisha umma unaamka. Watu wengi leo wanaangamia Kwa kukosa maarifa. Kinachouma zaidi maarifa yanayotolewa ni "exoteric"...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Niko mapumzikoni kijijini kwetu huku kwenye moja ya mikoa ya kanda ya ziwa. Sasa kuna sehemu hapa kijijini kwetu pana mti mkubwa watu wanapaogopa sana,wenyeji wanasema ikifika saa 1 jioni ndio...
1 Reactions
6 Replies
422 Views
Vijana wenzangu mnaojitafuta katika maisha, mkitaka kujenga, singatieni umbali na mahali mnapofanyia kazi, hasa kwa wale wa Dar es Salaam... jiji la fujo. Nasema haya kwa kuwa yamenikuta... Ni...
38 Reactions
121 Replies
5K Views
Kwanza, Usimamizi wa ujenzi kariakoo ni mbovu, wakinga, wachaga, waha, wapemba wanajenga hovyo majengo marefu tena mengine bila hata uzio bado ni hatari. Uokoaji kwenye majanga kama hayo kwa...
4 Reactions
19 Replies
746 Views
Leo nilikuwa natazama chomoza TV nimekutana na jamaa mmoja muhaya anaitwa Dr Ellie Waminian huyu jamaa Ana akili Sana . Nimeambiwa ni muhaya Hili kabila litakuwa na DNA Kama za wazungu
3 Reactions
29 Replies
1K Views
IPP Media mnaomiliki ITV, EATV, CAPITAL TV na Radio One tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu Mmechelewa...
18 Reactions
122 Replies
3K Views
Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote utambue uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki Amewaomba akina mama waliomlipia fomu wawaombee CHADEMA lakini pia...
3 Reactions
17 Replies
398 Views
Hii ni kwenu matajiri wa JF, Heshima nyingi kwenu! Nawaandikia baada ya kufikiri na kutafakari kwa kina juu ya hatima ya maisha yangu. Kila nikitafakari na kuangalia kesho yangu naona kama...
23 Reactions
107 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Utafiti wa AfroBarometer wamegundua kwamba Rais wa Mataifa mengi ya Afrika Wanataka kuzihama Nchi zao kwenda Ulaya,Marekani na maeneo mengine ya Dunia kutafuta maisha hususani kazi...
14 Reactions
48 Replies
1K Views
Salamu kwenu. Huyu mdada amepambana anavyojua akapata barua ya uhamisho kutoka wilaya X kwenda mkoa na wilaya nyingine mwezi uliopita.Alipotoka amefungashiwa kila kitu na wilaya aliyohamia...
0 Reactions
11 Replies
390 Views
Ni maoni yangu yanastahili kupingwa,kuungwa mkono au kukosolewa ama kuboresha zaidi. Kwa mwanaume jambo ambalo unapaswa kulipa kipaumbele zaidi unapoanza maisha Yako ya kujitegemea boresha kwanza...
10 Reactions
47 Replies
1K Views
Bwana Yesu alizaliwa ili atusaidie kuondoa dhambi zetu. Je Amefanikiwa? Hili ndilo jambo la kujiuliza kila mmoja wetu kama Yesu Kristu alifanikiwa katika mission Yake. Sasa neno "dhambi" siyo...
0 Reactions
4 Replies
122 Views
Anonymous (9156)
Mimi nina kero moja hawa wahudumu wa mabasi ya mwendokasi wanatoza nauli zaidi tofauti na utaratibu wa nauli zilizowekwa kwa kisinginzio cha kukosa chenji. Kwa mfano nauli ya kutoka Mbezi kwenda...
1 Reactions
8 Replies
465 Views
Back
Top Bottom