Madhara ya kuchelewa kutoka kwa wazazi wetu yana mfanya kijana wa kiume kuona maisha ni magumu na hatimae kushindwa maisha na kutafuta soft kazi kama betting utapeli udalali wa viwanja kuendesha...
Stendi ya Mabasi Buza jijini Dar imetelekwzwa na kutotumika Kwa zaidi ya miezi 6.
Stendi hiyo iliyojengwa Kwa zaidi ya Bilioni 1 imegeuka Malisho ya mifugo baada ya nyasi kutamalaki...
Mimi ni katibu wa kikundi fulani nimejafibu kuanziaha hatua za kufanya muamala M Mkoba lakini imeshindikana tangu Jumamosi.
Nimejaribu kuongea na watoa huduma voda lkn majibu yao hayaeleweki
Kama...
INTRODUCTION.
Sikutishi, Ninakupa UKWELI Ili uamue mahali pa kwenda utakapokufa.
MBINGUNI ni makazi ya Walio hai.
KUZIMU: Ni nyumbani kwa wafu, ni gereza la kuwatunza wafu wakipitia mateso...
INTRODUCTON:
Shalom!!
Nawakaribisha tena Mbinguni, Mbinguni ndiko tulikokuwako milele kabla ya Mungu kutuleta duniani kupitia pumzi ya uhai Kwa baba na mama zetu wa duniani.
Mbinguni ni wapi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Kwa mujibu wa...
Eneo liko mjini! Limezungukwa na majirani waliopandiwa mawe ya umiliki! Sasa kawasiliana na kampuni iliyasajiliwa kurasimisha makazi. Kaambiwa: gharama za utambuzi 200,000/= (laki mbili)...
Habari wakuu,
Kumbukumbu ya Wapendwa Wetu
Mwaka Gani Hautosahau?
Tunapokaribia mwisho wa mwaka, tungependa kuwapa nafasi ya kutoa shuhuda zenu za mwaka ambao hautosahau kamwe kwa sababu ya...
Wanabodi,
Katika kumbukumbu zangu, jana ndio kwa mara ya kwanza nimeshuhudia Press Conference ya Idara ya Usalama wa Taifa (UWT-TISS) katika historia ya Tanzania.
Hii ina maana moja tuu, kuna...
Itakapofika uchaguzi mkuu 2025, mtu aruhusiwe kupiga kura kwa kutumia simu yake ya mkononi kwa kutumia mifumo ya mobile money.
Pawekwe kipengele cha kupiga kura kwenye menu, ambapo atachagua...
Huyu amekuwa akijiona ni mkamillifu sna na mjuaji kinoma yeye ameusika moja kwa moja kuhujumu chadema na hata saulika Leo amekuja naanza kuleta chuki zake na ukatoliki wake kwenye siasa za chadema...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amefika kijiji cha Kwamsisi kilichopo katika kata ya Kwamsisi, wilayani Handeni mkoani Tanga kujionea hali ya upatikanaji wa maji katika eneo hilo na changamoto...
Ni zaidi ya wiki sasa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport air condition hazifanyi kazi, hasa kipindi hiki cha joto kali Dar es Salaam, hivi wahusika wanafikiria...
Michelle Botes, aliyetamba sana kupitia series ya Isidingo the Need miaka ya 2000, amefariki dunia.
Michelle Botes, alijulikana kwa kucheza vyema nafasi ya mwanamke muuaji aliyeitwa Cherel De...
Kama ikitokea siku mtu akakuhitaji umuweke bayana kati ya Life la Chuo na la Kitaa ni lipi lina songombingo nyingi basi vuta pumzi kisha mwambieee 'hakuna Embe litakaloweza kuota kwenye Mnanasi na...
Ubaya Ubwela & Nyie Hamuogopi vimepita,tujikite kwenye mada kuntu!
Kuna mshikaji wangu mmoja tulimaliza wote Sekondari na bahati nzuri hata chuo tukasoma wote,Mimi na yeye tulitokea Kuwa marafiki...
...Katika taasisi imara na tajiri duniani ni kanisa Katoliki. Kanisa hili tajiri na linaloutumia utajiri wake kuifaidia jamii (sio wachungaji wake tu), ina wachungaji wasomi sana na wanasayansi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.