Habari wadau wa JamiiForums,
Leo nimekuja na mada nyeti kidogo, lakini yenye umuhimu mkubwa wa kujadiliwa. Mara nyingi tunazungumzia mataifa yenye watu wenye IQ kubwa, lakini je, umewahi kujiuliza...
Wanabodi wapi nitapata futari nzuri Dodoma? Watu wanapika vyakula vya hovyo na mabei makubwa. Mwaka jana kuna sehemu nilikuwa ninapata iftar karibu na Fire hapo Makole na walikuwa wana best Iftar...
Mambo Huangamia (kwa Kiingereza "Things Fall Apart") ni riwaya iliyoandikwa na Chinua Achebe. Ilitolewa mwaka wa 1958 . Hadithi ya riwaya hii imefuatiwa na Hakuna Starehe Tena (1960) na
Mshale wa...
Vita dhidi ya dawa za kulevya inazidi kuwa mbichi.
Hivi sasa watumiaji wa ulevi huo, wamekuja na mbinu nyingine ya kutumia dawa za kutibu binadamu kama mbadala wa dawa za kulevya.
Mbinu hiyo ni...
Kwa miaka hii nimekuwa nikikutana na watu waliopata mafanikio au maendeleo yoyote Yale kupitia connection huwa Nina mdharau sana, na muda mwingine huwa naudharau hata ushauri wake,..akiwa anaongea...
Huu Uzi Maalumu wa Kupeana Connection Za Waganga wa Kienyeji na Shuhuda Mbalimbali.
Kikubwa Toa Shuhuda Elezea Location Alipo Mawasiliano sio Muhimu kwa Kuwa watembeaji ni Watu wa Kujiongeza...
Ni takribani miaka 16 sasa, tangu kutokea kwa tukio la kushtusha pale mataa ya Ubungo mara baada ya majambazi kadhaa tena wengine kusadikiwa ni kutoka lugalo kuvamia magari ya fedha za NMB...
Anaingia JKT, anamaliza kozi za mafunzo, anapata Ajira Jeshi la Polisi .
Anaendelea kufanya kozi Kadhaa wa Kadhaa, anapanda vyeo ,na kweli anakua hata OCD .
Kama sio Sasa, ndivo ilivyokua .
Kwa...
Unapotembea unajifunza na kufurahisha Akili. Maisha ni Kufurahi kile kidogo ambacho Mungu amekujaria Sema Asante, ikiwa wewe ni Mkristo/ Muilsmu au Mtu usie na Dini, ila unaamini ktk Mungu Furahi...
Mwaka 1968, uko Tokyo Japan, mwizi alievalia mavazi ya kiaskari, alisimamisha gari la kubeba pesa, lililobeba pesa za bonus kwa ajili ya wafanyakazi wa kampuni ya Toshiba.
Baada ya kusimamisha...
Habari za muda huu ndugu wanajukwaa
Nimefuatilia kwa shamrashamra za siku ya wanawake duniani ambayo kitaifa imefanyika mkoani Arusha na mgeni rasmi alikua mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa...
Ndugu zangu naomba nitoe la moyoni kuhusu Air Tanzania Head office. Kama wakisoma na wakikasirika ni sawa tu. Sio wote humu ndani tunaishi Tanzania tuna book ticket online tunahitaji confirmation...
1. Unasema una mpenda na kumtii Mungu ambae hujawahi kumuona na wala hahitaji chochote kutoka kwako.
Ila
2. Unamchukia mwanadamu asie wa dini yako lakini ameumbwa na Mungu huyo huyo unae...
the great pyramid of Giza
tutumie great pyramid ( Piramidi kuu )
hii pyramidi imejengwa zaidi ya miaka 4700 iliyopita lakini inaacha maswali mengi zaidi kuliko majibu, maana kila unapojaribu...
Ukiangalia kasi ya maendeleo kwa maeneo qmbayo yalifikiwa na wakoloni iko kasi kuliko kule ambako hapakufikiwa.
Wanjanja wengi ni matokeo ya kuanzishwa kwa shule na elimu za kikoloni.
Kuna...
Wakati mgao ukiendelea, tujikumbushe Moja ya KAZI murua kabisa ilofanywa na waziri Muhongo.
Hili ni suala la zero tarrif, umeme nafuu Kwa watu wa kipato cha chini. Kama unatumia umeme chini ya 75...
Poleni na mfungo wakuu,
👉Kama tunavyojua wanawake wameumbwa na hulka ya kusifiwa
👉Na pia ni emotional oriented "
👉Kwenye suala la upishi huwa wanapenda sana wapewe credit
Endapo mwanamke wako...
Hii ni picha iliyopigwa "Tantranil Castle" huko Scotland, na mpiga picha, "Christopher", anaapa kwamba hakuna mtu aliyekuwepo wakati anapiga picha hiyo! 👀
Hata hivyo, inasemekana kwamba mahali...
Wasalaam
Sifa nyingi kapewa mhe.
Kahaidiwa na kupata kura nyingi
Shughuli hii ilikuwa ya kumpa 'mama' maua yake katika mlengo wa kisiasa hasa kupitia chama chake cha mapinduzi?(sina shida na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.