Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wakati mataifa mbalimbaki dunia yakiadhimisha siku ya wanawake Machi 8, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe Bw. Hamad Mbega, ameitumia siku hiyo kuwataka wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama...
1 Reactions
3 Replies
139 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amewaasa Wanawake wa Mkoa wa Katavi kutumia vyema fursa ya utoaji mikopo ya Halmashauri ya Asilimia Kumi (10%) inayotolewa na...
1 Reactions
1 Replies
53 Views
MHADHARA (102)✍️ Mpaka sasa kuna makampuni makubwa yana "Wasimamizi na Maafisa waajiri wa hovyo" ambao wanaajiri wanawake wenye sura nzuri (warembo) na makalio makubwa hata kama wana changamoto ya...
3 Reactions
4 Replies
178 Views
Air Tanzania mlichonifanyia mmebadilisha safari yangu ya ndege ya saa kumi jion hadi saa tano usiku. Cha kushangaza hamjibu email wala namba yenu ya simu ambayo ni 0748773900. Simu inaitaa mpaka...
2 Reactions
12 Replies
453 Views
Watu wengi wakifanikiwa uanza kuwa motivational speaker,na wanatengeneza story ili wauze wapate pesa zaidi kwa wasio na pesa. Unamponda kijana hana nyuma wala mbele kama vile andazi, kitumbua au...
1 Reactions
1 Replies
144 Views
Wakazi wa kijiji cha Buzilasoga Wilayani Sengerema wametoa wito kwa serikali kuharakisha kubomoa madarasa mabovu katika shule ya msingi Buzilasoga ili kuepusha hatari inayoweza kuwakumba wanafunzi...
1 Reactions
1 Replies
101 Views
Kusimamia familia ndogo ya duma kunaweza kuonekana kuwa ni jambo jepesi na rahisi kwa mama duma, lakini kila siku ni changamoto ya kimyakimya yenye kuhitajiuvumilivu sana. Alfajiri, anaamka...
8 Reactions
17 Replies
408 Views
Basi la wachezaji wa Pamba Jiji FC limepata ajali katika eneo la Bahi mkoani Dodoma majira ya saa 11 alfajiri wakati kikosi hicho kikiwa safarini kutoka Bukoba kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili...
5 Reactions
9 Replies
328 Views
Mtale Kwanini unaomba ndoo kwa huyo bimkubwa huku ndoo zimejaa ndani?. Ni swali aliniuliza mfanyakazi mwenzangu niliewahi kuishi naye kwenye nyumba moja. Kisa katika moja ya maisha halisi ya...
2 Reactions
2 Replies
95 Views
MHADHARA (100)✍️ Sisi masikini tunahifadhi namba za simu za watu ambao wamefanikiwa kimaisha na wengine wameinuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali za uongozi. Tunafanya hivyo tukidhani kwamba siku...
12 Reactions
15 Replies
281 Views
Watu wengi wana ndoto za kuwa matajiri. Wanafanya kazi kwa bidii usiku na mchana ili wawe matajiri. Hata hivyo ni wachache wanaofanikiwa kuupata utajiri. Leo nakutajia baadhi ya mbinu muhimu za...
14 Reactions
113 Replies
3K Views
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limezindua huduma za usafiri wa ndege za shirika hilo mkoani Mtwara ambapo ndege hizo zitakuwa zikifanya safari za Dar es Salaam-Mtwara mara tatu kwa wiki...
1 Reactions
5 Replies
217 Views
Jamuhuri ya telegram Kila nikifungua inaandika updating na haijawai kumaliza
4 Reactions
28 Replies
555 Views
Wanagroup huko linaitwa HMS TANZANIA. Huko tayari limejaa ujinga ujinga mtupu wa habari za Simba na Yanga. Lengo la group kujadili taaluma halipo tena.....muda wote ni mpira tu wa Simba na Yanga...
1 Reactions
4 Replies
193 Views
Watu husema kuwa dhahabu mara nyingi hupotea kimazingara. Yaani unaweza kuiweka tu ikapotea. Wanahusisha na mambo ya majini nadhani. Wengine huenda mbali na kusema ukinunua dhahabu unatakiwa...
3 Reactions
20 Replies
8K Views
Mtoto Shamimu Nasibu, mwenye umri wa miaka miwili ambaye aliripotiwa kupotea alipokuwa akicheza na mwenzake karibu na nyumbani kwao, hatimaye amepatikana akiwa hai kwenye mashamba ya miwa katika...
1 Reactions
2 Replies
218 Views
Hawa ndugu wakiumu,waliozaliwa na mama mmoja ila baba tofauti,wote ni madereva na asili yao ni wahindi.Maisha yao wanayoishi ni kama waafrika kabisa,kwa kila kitu,kula,kuvaa,mademu ni kama...
6 Reactions
20 Replies
468 Views
Aisee huwezi amini kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka 13 tokea niingie hapa mjini nalala bila kufunga chandarau maana mbu wametoweka kabisaa, hata sauti siisikii kabisaa. Vipi huko...
5 Reactions
12 Replies
319 Views
Falsafa ya kiuchumi kwa Wayahudi ina mizizi yake katika maandiko ya Kiebrania, kama vile Torah, Talmud, na maandiko mengine ya Kiyahudi. Falsafa hii inaakisi maadili na kanuni za Kiyahudi...
2 Reactions
6 Replies
138 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom