Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.
Pamoja...
Hii tabia yenu ya kufunga barabara kuingia coco beach mpaka tanzanite Bridge mnatuletea wengine kero.
Bora mtafute maeneo mengine mkafanyie mazoezi yenu, mazoezi yenu wengine mnatuletea kero tu...
Mamlaka ichunguze kwa ukaribu huduma zinazotolewa na Ofisi za RITA Kibaha. Kuna mtumishi anaitwa shabani anatengeneza mazingira ya rushwa katika kutoa huduma. Amekuwa ni mtu wa kuweka vikwazo...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Mwaka wa Mamlaka ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) utakaofanyika Machi 11-12, 2025 jijini Dodoma katika Kituo...
Serikali imetenga Shilingi bilioni 17 kwa ajili ya ujenzi wa Stendi Kuu ya Kisasa mjini Babati pamoja na ujenzi wa kilomita 10 za barabara za lami katika mji huo.
Ujenzi wa miradi hiyo...
Fikiria unawapelekea Vituo binafsi vijana wenye nguvu, kisa wanahoji kuhusu matumizi ya hela ambazo ki msingi wao ndio wanazikusanya? Kituo cha private unapeleka wafanyakazi zaidi ya wawili hapo...
Kila mwaka, kila msimu, kila mechi – Simba na Yanga. Mashabiki wanapiga kelele, wanavunja viti, wanalia, na wengine wanashindwa hata kulipa kodi za nyumba kwa sababu ya klabu wanazoabudu kama...
1. Kaskazini walipata Elimu, exposure na Imani mapema sana. Sisi Visiwani tukiwa tunazaliana bila Mpango na kudharau Elimu dunia
Eg. Northern tourism circuit -Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro...
Leo nipo mwanga nimepita jirani na uwanja wa Msuya nimeona shamrashamra SIO za kawaida, mji mdogo lakini Leo kumekua Hadi na foleni, wageni ñaona NI wengi sana.
Nachojiulza nimekutana na vibinti...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa sasa Tanzania imeondoa njaa kwa asilimia 100, akifafanua kuwa kilichobaki ni kuondoa kwa mtu mmojammoja.
Akizungumzia namna Tanzania inavyotekeleza Mpango wa...
Habari za leo wakuu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo husika.
Kuna wizi mkubwa sana unaendelea kasi kubwa sana hasa kwenye mtandao wa Facebook Kuna jamaa wanatumia trick ya kupost laptop...
Talmud ni mkusanyo wa mafundisho ya Kiyahudi ambayo yamekusanywa kwa karne nyingi na kufanywa kitabu. Kwa kifupi, ni mchanganyiko wa sheria za kidini, mafundisho ya kimaadili, historia, na maelezo...
Shirika la Ndege nchini ATCL, limetangaza kurejesha safari za ndege zake kwenda nchini Afrika ya Kusini baada ya kusimama kwa muda
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa safari hiyo Leo Novemba 30...
Nimeona huko mkoani Arusha mkuu wa mkoa huo kachicha ng'ombe 400 watu wale nyama bure bila malipo yoyote.
Hapa nimejiuliza hivi ng'ombe 400 watakua na thamani ya bei gani na kwa nini kafanya...
Wakuu,
Leo nimetoka Mwanza kwenda Nairobi kwa ndege ya Air Tanzania. Ndege hizi zinakera sana.
Kwanza kutoka Mwanza ilichelewa kwa nusu saa. Tukavumilia
Kasheshe imetokea tena usiku huu hapa...
Falsafa inayowaongoza Wayahudi imechangiwa na mafundisho ya kidini, kitamaduni, na wanafalsafa wakuu wa Kiyahudi kwa historia yao. Baadhi ya falsafa na mawazo yanayowaongoza Wayahudi ni kama...
Nimeona wababa wengi wa kisasa hasa hawa wenye vipato vya kubadilisha mboga aka middle-class wanawadekeza sana vijana wao wa kike (mabinti).
Sasa nachowaambia endeleeni ivoivo majibu mtayapata...
Malumbano makali ya hoja kati ya mwanamke na mwanaume:
MWANAMKE:
Wanaume, acheni tusherehekee. Eti mnasema leo tumevaa mavazi yasiyo na staha? Wanawake wenzangu, huu ni wakati wa kusimama na...
Mtu anakupigia simu au umempigia simu unaanza, "Oooh simu zangu hupokei siku hizi, umenitupa.
Hunitafuti mpaka nikutafute." na maneno mengine kama hayo ya kutaka kumfanya mtu ajihisi guilt...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.