Sitaandika mambo mengi lakini ujumbe huu unaweza kuwafanya bora zaidi. Cheki huu ujumbe ambao huyu dogo katumiwa baada ya maombi yake ya kazi kutokukubaliwa
"Hi XXX
"Thanks a ton for applying...
Hakunaga binadamu asiyetaka kuwaprove wrong haters wake. Kuwaprove wrong watu waliokuwa wanasema hatoweza ku accomplish jambo fulani. Hakunaga.Hata Mungu alimruhusu Shetani amjaribu Ayubu kwa...
Labda hii watu hawajui. Leo si tunazungumzia dini zetu, let's go.
Kuna tofauti ya watu walioandikwa kwenye Biblia na Koran, hilo kwanza ulijue. Ibrahim unayemsoma kwenye Biblia si Ibrahim...
Kaaba, pia inajulikana kama Al-Kaaba al-Musharrafah, ni jengo la mstatili lililopo katikati ya Msikiti Mkuu wa Makka, Saudi Arabia. Ina historia ndefu na ina umuhimu mkubwa katika Uislamu.
Asili...
Wakuu,
Watu wapo karibu na wazazi/mzazi wake lakini yeye ni kumtakia mabaya kila leo. Mzazi anafurahi kuona mtoto wake anaharibiwa, ukifanikiwa inakuwa kama mwiba kwake, hapakufai hapo kaa mbali...
Embu tuangalie uhalisia duniani kuna population kubwa ya wanaume masikini zaidi ya wanaume matajiri. Kuna rate kubwa ya wanaume wanaoanguka katika biashara na ajira zaidi ya wanaofanikiwa.
If...
Serikali inamkono mrefu Kamaa wa jini maimuna. Hili limedhihirika hapo jana baada ya sintofahamu bin zengwe iliyosababisha mashaka makubwa juu ya uwepo wa mchezo wa Leo wa Yanga vs Simba.
Duru...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo akiwa Wilaya ya Magharibi A tarehe 06 Machi, 2025 amewataka Wazazi na Walezi kuwashajihisha Vijana wao kutumia vizuri mitandao...
Umewahi kujiuliza jinsi marubani wanavyopanda ngazi katika taaluma yao? Hapa kuna muhtasari wa viwango vya marubani kulingana na uzoefu wao wa kuruka angani! ✈️👨✈️
🎓 Hatua ya Mafunzo:
🟩 Rubani...
Nimejaribu kuwaandikia sms ONDOA lakini wananijibu bado hujajiunga na ZALI na maelezo mengine ya kitapeli.
Nifanye nini kukomesha huu utapeli ukizingatia kila unapowatumia sms wanakata kwenye...
KIGOMA: MAMA lishe na walengwa wa kusaidia kaya masikini Manispaa ya Kigoma Ujiji wanatarajia kunufaika na ugawaji wa majiko banifu yaliyogaiwa na Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) kuhamasisha...
Wakati shamrashamra za maandalizi ya Siku ya Wanawake Duniani zikipamba moto, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amewashukia 'watoto wa 2000' akidai kwamba wengi wao hawajishughulishi na kazi...
Tanzania inazidi kuwa mfano wa kuigwa barani Afrika kutokana na jitihada zake za kupunguza vifo vya wajawazito. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ameweka...
Umar ibn Al-Kathab na Salahdini na Taifa la Israel.
...... hawa walikuwa ni majemedari wakubwa sana katika Waislam na historia yao inajulikana kimataifa. Umari alikuwa ni sahaba wa pili wa...
Wazazi ambao hawapeleki chakula Cha mchana katika shule za msingi kuchukuliwa hatua kwa mjibu wa Sheria na kushitakiwa kwa kutowajibika vema kwa Watoto wao.
Hayo yamejiri katika kikao cha dharula...
HUDUMA YA MAJI DAR NA PWANI IPO VIZURI - DAWASA
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema hali ya upatikanaji huduma ndani ya eneo lake la kihuduma katika mikoa ya...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rossmery Senyamule amewataka wananchi wa Mkoa wa Dodoma kuhakikisha wanatunza chakula na wasitumie nafaka kwa ajili ya kutengenezea pombe kutokana na hali ya ukame...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.