Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu \ Kidole kimoja hakivunji chawa
JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA (THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA)
Huwa Najiuliza je, Muungano wetu TANZANIA ni kweli...
Waziri wa Maji na Mbunge wa Pangani, Jumaa Aweso, ameungana na waumini wa dini ya Kiislamu katika hafla ya Maulid ya Mtume iliyofanyika kijijini Kwa Mndolwa, wilayani Korogwe, mkoani Tanga.
Hafla...
Nilipata nafasi ya kutembelea Soko la Makangarawe lililoko Buza, soko ambalo kwa nje linaonekana limejengwa kisasa, lakini hali ndani inasikitisha na kuzua maswali mengi.
Soko la Kisasa, Lakini...
Hili ni jambo ambalo kama mimi ningekuwa kiongozi basi ningelivalia njuga na kulitatua haraka. Majanga yapo na iko siku yatatokea tu, Kujiandaa siyo Uchuro.
Bajeti ya Nchi imeegemea sana kwenye...
Sijui inflation rates, sijui GDP, sijui unemployment rates, sijui exchange rates,
hayo yote they mean katika uhalisia wa maisha ya ukweli yaliyopo mtaani.
Mara nyingi hizi rates zinakuwa...
Siku nyingine jengo likianguka na watu kunaswa kwenye underground, njia rahisi ya kuwatoa kwa haraka ni kuchimba shimo pembeni ya jengo (barabarani), kisha lilishafika kina cha usawa wa...
Katika kuonyesha kuitikia wito wana Bukoba wa Dar es Salaam na ughaibuni wameahidi kuchangia jumla ya trilion 3 kila baada ya miezi 3 ili kuboresha litakalokuwa jiji la NEW BUKOBA. Bukoba ndo home.
Salaam, Shalom!!
HAKIKA Donald Trump ni mtumishi wa Mungu aliye juu,
Hivi Leo ametangaza vita na Taasisi zote zinazojuhusisha na kubadili JINSIA Kwa wamarekani akidai hii ni kinyume na mapenzi...
Ninasikitishwa sana na waandishi ambao hawana weledi..badala ya kuhabarisha umma wao wanatoa maoni yao.
Unaposhauri kupelekwa kwa vyoo mjongeo eneo la kariakoo sisi wataalamu tunakuona ni kituko...
Nassor Athuman akizungumza kile alichokishuhudia baada ya kutoka eneo ambalo jengo limeanguka Kariakoo, Dar es Salaam.
Nassor amesema ameshuhudia watu 10 hadi 15 akiwa chini bila ya kuweza...
WANAFUNZI WA KICHAWI WANAPOKUWA INTERNSHIP "FIELD" AU KWENYE MAFUNZO KWA VITENDO.
Anaandika, Robert Heriel
Baada ya kupokea kozi fupifupi au ndefu katika taaluma ya Uchawi na ulozi ni muhimu...
Maana mpaka saivi sijaona kiashiria cha uhakika kwamba .maisha yetu siyo ya kibahati bahati tu . Hamna kitu ambacho tuna uhakika nacho ( kuna vitu wanasemaga uhakika ila na vyenyewe ni bahati tu*
Kwema wakuu?
Asee Latra mtuhurumie watanzania wenzenu, toka mwaka huu uingie nimeona wananchi wa Mwasonga wanateseka sana nauli inapanda bila sababu za msingi. Zamani nauli ilikuwa 500 tu hadi...
Teknolojia na Zana za Uokoaji Katika Majanga ya Kuporomoka kwa Majengo
Majanga ya kuporomoka kwa majengo ni moja ya changamoto kubwa zinazohitaji hatua za haraka, ushirikiano, na matumizi ya...
Kuna hali mbaya inaendelea huku vijijini baada ya sheria, kanuni au amri ya kukataza wananchi wanaoenda vituo vya kuuzia mafuta na dumu au galoni wasiuziwe mafuta.
Hii sheria au amri...
GTs,
Nawaza sana wenzetu wanavyoumia kwa kukosa hewa na kibaya mitungi ya oxygen ipo pale Muhimbili, inakuwaje haijapelekwa Kariakoo kutoa hewa safi kwa wahanga waliokwama chini ya vifusi??
Baada ya jengo la Kariakoo kuanguka, ni wazi kuwa Tanzania tunapaswa kuanza kuthamini masuala ya mipango miji.
Inasikitisha kwamba mwaka 2024 bado tunaona nyumba zikijengwa kiholela, maeneo ya...
Kauli kwamba "Mungu ni maji" ina maana tofauti kulingana na muktadha na imani ya mtu. Kwa kawaida, hii si kauli ya moja kwa moja kutoka kwa maandiko ya kidini, lakini inaweza kueleweka kwa njia...
💀Mzimu wa Pontianak kutoka Malaysia
Pontianak ni mzimu kutoka Malaysia mzimu huu ni wa mwanamke aliyekufa wakati wa kujifungua.
Mzimu huu wa mwanamke mara nyingi hujigeuza kuwa msichana mrembo...
Basi tutakuwa na vichwa vigumu sana
1.kwa tathmini ya haraka haraka ni majengo mangapi mpaka sasa kariakoo hapo hapo ujenzi unaendelea na biashara bado zinafanyika papo hapo?
2.Tunachukua hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.