Salaam wakuu!
Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.
NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia...
Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya...
Wanajamvi habari zenu,
Kama kawaida nikikutana na kitu kipya lazima nikileta hapa kwa faida ya wengine. Ni kwamba wiki iliyopita nilikuwa nimeomba mkopo wa milioni 30 hivi kwenye mojawapo ya...
Dar es Salaam. Tarehe 26 Agosti 2024: Benki ya CRDB kwa kushirikiana na wabia wake wa kimkakati ambao ni kampuni ya Visa International imetangaza kutoa nafuu ya nauli ya asilimia 22 kwa abiria wa...
Habari za majukumu kila mmoja,
Niko nchini Israel kwa sasa ila Huwa nikipata pesa huku (shekhel) Huwa nakutumia kwa kadi yangu ya visa ya crdb ambayo ninayo huku.
Tatizo ni kuwa Sina uwezo wa...
Bila shaka mko vyema,
Nimezoea kuona matangazo ya Microfinance mbalimbali online lakini sijawahi kuwa na app yoyote ya hayo mambo.
Cha kushangaza leo nimepigiwa simu na namba(partially...
Mwaka 2001 nilitoka zangu Temeke studio za Soundcrafters kwa Enrico kuchukua single yangu niipeleke Clouds.
nikapitia IFM kwa mpenzi wangu wa kipindi hicho tukapata dinner,ilikuwa mishale ya saa...
Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command.
Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia...
Takriban video 400 za ngono zinazomhusisha Baltasar Ebang Engonga, mtumishi wa serikali ya Equatorial Guinea, zimevuja kwenye mitandao ya kijamii.
Video hizo zinamhusisha na wake wa viongozi...
Kwenye huo mkasa wa kuanguka kwa ghorofa Kariakoo kuna mengi yanasemwa ila linalozungumzwa zaidi ni hili la ghorofa kuchimbwa katika msingi kujenga underground.
Kama ni kweli watu walikuwa...
Tujikumbushe ajali na Watanzania wenzetu walivokufa kutokana na uzembe wa taasisi ya maafa na uokoaji
1. Ajali ya Meli MV Bukoba kuzama
Hii ajali ilikuwa maelefu ya watu. Na ajalie ilitokea...
Sabato Njema!
Kwa Neema ya Yule Mwenye Ñguvu, Mola Mlezi, Mungu mwenye Ñguvu, na utukufu. Mtakatifu atupaye utukufu na kutufanya tuheshimike.
Atupaye Akili Zenye Akili, huyo tunayemtumainia na...
WAZIRI JERRY SILAA ATOA SOMO, KAZI YA MSIMAMIZI WA MIRATHI NI IPI, WANUNUZI WA MALI ZA MAREHEMU WAWE MAKINI NA WASIMAMIZI WA MIRATHI KWANI KAZI YAO SIYO KUUZA MALI ZA MAREHEMU BALI KUGAWA MALI KWA...
Kwa mtazamo wangu, Majeshi Yote Tanzania.
Jeshi linalopendwa sana na Watu Wengi ni Jeshi la JWTZ.
Walipopita Sehemu Lazima Watu Waonyeshe Furaha na Imani kwa Jeshi Lao.
Leo JWTZ walipofika Ktk...
Kutoka Louisville Kentucky nchini. Marekani siku ya jana haikuwa siku nzuri kwa wananchi wa Kentucky baada ya moja ya jengo lililokuwa linajengwa kuporomoka Katikati ya ujenzi.
Kuporomoka huko...
Wanabodi,
Angalieni Diaspora Wenzetu Wanachofanya!, MKenya Afanya Makubwa US!, Sisi Diaspora Wetu Wanafanya Nini cha Kuonekanika Huko Walipo?.
Just read and watch
Swahili Village: A taste of...
Mungu wangu naomba usiku huu ukawe usiku uliobeba jawabu hitaji langu na ukawe mwanzo wa maisha ya furaha na tabasamu kwangu
Bwana njia zako hazichunguziki za kuwajibu waja wako, wakati mwingine...
Paka ni jamii ya wanyama wadogo, na mara nyingi hujulikana kama paka wa kufugwa ili kumtofautisha na wanyama wa mwituni. Paka anaweza kufugwa kama paka wa nyumbani, paka wa shambani au paka wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.