Muhimbili ambako maiti zinazuiwa kwasababu aliyekufa alipokuwa mgonjwa hajamalizia malipo.
Muhimbili ambako mgonjwa anakaa wiki nzima hajapata huduma kwakuwa hajalipia pesa ya kipimo hivyo...
Huyu mmiliki wa hilo jengo lililoporomoka hapo kariakoo ni nani mpaka anafichwa hivyo?
Naambiwa na mtu mzito (kigogo)
Tamaa yake ya kutaka kuongeza eneo chini ya ghorofa imekula maisha ya watu...
Kila Novemba 17, Siku ya Mtoto Njiti huadhimishwa Duniani ili kuongeza uelewa na kupaza sauti kuhusu changamoto zinazohusiana na suala hilo
Mtoto njiti huzaliwa kabla ya wiki 37 za Ujauzito...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Deogratius Ndejembi amewaomba wahitimu wa Chuo Kikuu Katoliki Mbeya (CUoM) kuitumia vema elimu walioipata kwa maslahi yao na Taifa kwa ujumla...
Ni kama mwezi sasa au wiki kadhaa tangu benki kuu ya Tanzania itoe waraka wa kuwataka wakopeshaji wa mitandaoni wanaolalamikiwa kufuata taratibu ikiwa pamoja na kuacha lugha za matusi...
Kutokana na kuwa jengo kwa ujumla lipo katika hali ya hatari sana, hasa kutokana na uwezekano wa kuweza kuporomoka na kuleta maafa, Nawashauri waje nje kwenye mlango mkuu wa jengo, wachimbe Tundu...
Leo hayati Mafuru aliagwa rasmi na kiongozi wa kuaga alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Ukigeuka huku kuna Joseph Kusaga, ukitazama kule kuna GSM, ukishangaa shangaa kuna Mawaziri, ukiinuka kidogo...
Wakuu wa Jamii Forums,
Nina habari njema sana kwa nchi yetu! Tanzania ipo mbioni kupokea huduma za intaneti kupitia satelaiti kutoka kampuni ya Starlink. Hatua hii ni fursa muhimu kwa Watanzania...
Nimekuwa nikiota ndoto nikiwa napaa na kuelea angani mara nyingi na kurudi chini, lakini katika mawazo yangu ningetamani niendelee kupaa tena, ni ndoto nzuri kuiota,lakini sijuwi inamaanisha nini...
Kuna baadhi ya matajiri duniani mfano George Soros na Bill Gates huwa wanatuhumiwa sana kuwa puppet masters wakiwaendesha wanasiasa kama vikaragosi vyao na kuwafanya watimize zinazodaiwa kuwa na...
Leo, taifa letu limepigwa na pigo kubwa na tukio la kusikitisha la kuanguka kwa ghorofa katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam. Tukio hili baya limeacha alama ya majonzi na huzuni mioyoni mwetu...
Mmoja Kati ya vijana mashujaa katika uokoaji kwenye ajali ya ghorofa iliyoporomoka, Nassoro amesema jana kabla ya kuangukiwa na tofali mkononi ambalo lilikatisha harakati zake alifanikiwa kuokoa...
Na Mwandishi Wetu, Manyara.
Bilionea David Mulokozi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brands Limited ametoa zawadi ya Bajaji mpya kwa Dereva wa bajaji Abel Rajabu ambaye ameweka...
Suala la Watoto wadogo kukumbana na changamoto mbalimbali za kikatili kwenye taasisi za elimu limekuwa ni jambo ambalo linajitokeza mara kwa mara sehemu tofauti.
Wadau wa sekta tofauti nao...
Muhanga wa tukio la ajali ya kuporomoka kwa Jengo Kariakoo 'Hassana Jeans' amezungumza siku ya leo baada ya kuokolewa.
Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7...
Mwanachama wa JamiiForums, aliandika kuhusu kinachondelea katika Shule ya Mandimu kuwa kuna Mwanafunzi ambaye anawadhalilisha Wanafunzi ikiwemo kuwapa adhabu kali kiasi cha kusababisha wengine...
HIvi karibuni katika hekaheka za kutafuta mashamba kwa ajili ya msimu ujao wa kilimo nilifika katika kijiji kimoja kinaitwa Mandimu kilichopo Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.