Nilikuwa na ndoto ya muda mrefu sana ya kuandika kitabu changu cha taaluma niliyosomea, kuna somo nipo nondo vibaya mno !!
Hofu yangu kubwa ilikuwa ni english kwenye mambo ya grammer, articles...
Tangu mwaka jana October 7 Palestina ilipoivamia Israel na kuua watu zaidi ya 1,200 kuna baadhi ya contacys zangu wamekuwa wakiweka status za kulipukwa na furaha Israel inaposhambuliwa na status...
Salaam Wakuu,
Pamoja na kwanza Mawakili hasa wa kujitegemea na Wananchi wote wanampenda Mwabukusi, lakini Serikali imeshatia Mguu, Mawakili wote wa Serikali wamelipiwa kwenda Dodoma kupiga Kura...
Suala la Kuoa ama kuolewa bado litaendelea kuwa ni hitaji muhimu miongoni mwa Jamii ya watu wengi Ulimwenguni.
Kwa Tanzania, tunazo Ndoa za aina mbalimbali ambazo zinatambulika kisheria ambazo ni...
Siku mbili tatu nimekuwa nikichati na chatgpt na nimekuwa nikimuuliza maswali, kuhusu maelezo mafupi ya muziki wa juice wrld na kupelekea kujikuta nikimuuliza na maisha yake juice world...
Ahlan wa sahlan
Naiomba serikali ifunge hizi ofisi uchwara zilizopo hapa maeneo ya shekilango na Urafiki. Mabasi ya mikoani yamekuwa hayaendi tena kupaki stendi ya Magufuli pale Mbezi badala yake...
Ni kweli tupo kwenye majonzi kama Taifa hivyo yatupasa kushikamana na kuondoa tofauti zetu na kuwa kitu kimoja katika kipindi hiki kigumu kama Taifa.
Nimesikia kauli ya mheshimiwa Rais kuwa...
Hili swala la mtu unaleta hoja au unatoa wazo halafu anatokea binadamu mmoja anaanza kukutukana. Sasa unalazimisha akili zangu ziwe zako!?.
Kila mtu ana namna yake ya kufikiri na kuwaza...
Utangulizi
Majanga kama kuanguka kwa majengo, matetemeko ya ardhi, na moto yameendelea kuhatarisha maisha ya watu duniani kote. Katika nyakati kama hizi, uwepo wa teknolojia za kisasa unaweza...
Kitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS, lakini ili mtu a recognize hicho kitu ni cha gharama ni either awe nacho au ni mfatiliaji sana wa vitu hivyo?
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kuna wakati huwa nalaumu sana lakini kwakuwa nina IQ kubwa,nimekuja kugundua sisi waafrika kujikuta tupo kwenye hili Bara la Afrika,ni jambo ambalo...
Daaa hii post ya mdau imenifikirisha na kuniwadhisha Sana daah mungu aingilie kati aisee maana sio poa kabisa wana Wana struggle sana! Mungu aingilie kati 👇👇👇
Pia soma > Ghorofa limeporomoka...
Huu msalaba wa kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa(AIPCA) una maana gani?
Ukristo una diversity kubwa sana ya imani tofauti!
Msalaba sahihi aliosulubiwa nao Yesu Kristo ni upi?
Ufalme wa Mungu ni tofauti kabisa na mifumo ya Dini na madhehebu. Dini na madhehebu ni Matakwa ya kibinadamu ya kumtafuta Mungu, na mfumo huu kamwe hautakuja kufanikiwa milele wala haujawahi...
Tanzania ni maoja ya nchi zilizoalikwa kushiriki kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa G20.
Mkutano huo unafanyika Brazil ambapo pamoja na mambo mengine utajadili masuala ya climate...
Kwanza asanteni Kwa kuwa wakweli, maana maji yenu imekuwa bidhaa adhimu huku Kwetu. Kama notisi 👇
Ndugu mteja A/C A1049*31*76*, KUMBUKUMBU 99104*30*06* , Bill yako ya Novemba/2024 umetumia uniti...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Namshukuru Mungu kiukweli nimepata fursa ya kutembelea nchi kadhaa hapa Barani Africa ikiwemo Ethiopia, Rwanda, Kenya, Uganda, Southafrica, Morocco...
TEN BIGGEST SLUMS IN AFRICA BY POPULATION!
-1. Kibera, Kenya 🇰🇪: 700,000
-2. Mathare, Kenya 🇰🇪: 500,000
-3. Ajegunle, Nigeria 🇳🇬: 500,000
-4. Shomolu, Nigeria 🇳🇬: 400,000
-5. Khayelitsha...
Years African Countries Started Using Electricity⚡
South Africa 🇿🇦 - 1860
Kenya 🇰🇪 - 1875
Egypt 🇪🇬 - 1893
Nigeria 🇳🇬 - 1896
Zimbabwe 🇿🇼 - 1897
Ethiopia 🇪🇹 - 1898
Mauritius 🇲🇺 - 1899...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.