Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwema Wakuu, Katika another episode ya digitali samala kwa watoto, welcome to my channel😂😂 vile najiona kama influencer wa maana:BearLaugh:. Kama mada inavyosema Wakuu, wengi tunadharau watoto...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hawa waandishi wa habari wanaosafiri kutoka Dar kwenda mikoani kama huko Arusha kwenye press conference huwa wanalipiwa na vyombo vyao vya habari au na yule aliyewaita kwenye hiyo press conference...
2 Reactions
7 Replies
358 Views
Nikiwa kwenye basi katika harakati za kuitafuta shs, tumesimama kuchimba dawa eneo linaonekana kama kijiji baada ya makambako kuelekea mafinga, ni eneo flani inaonekana kuna vyoo vya mtu binafsi...
21 Reactions
195 Replies
35K Views
Ni kutokana na kukithiri kwa biashara za ngono, ulevi, utumiaji wa madawa ya kulevya kwa upande akina dada, Sasa ni wakati sahihi kwa sheria za nchi yetu kubadilika., Hasa pale linapokuja...
0 Reactions
0 Replies
228 Views
Zipo tetesi kuwa kituo cha ITV na Radio one kimesitisha mikataba ya watangazaji wake watatu kwa sababu ambazo bado hazijafahamika. Waliotemwa wengine ni pamoja na waliokuwa watangazaji wa radio...
11 Reactions
39 Replies
19K Views
Hello hello! Kulingana na kadhia hasa nyakati za majanga inachekesha sana, kitengo cha maafa, Jeshi la uokoaji, na kamati zote zimeendekeza Utopolo wa kujirudia, nyakati zote huambatana na...
0 Reactions
0 Replies
125 Views
Mamlaka ya ardhi ijitathimini na ichukue hatua kabla maafa hayajatokea mitaa ya kariakoo kwa maghorofa kuporomoka ghafla kama ilivyokuwa pale posta mtaa wa Indira ghandi kwa kukagua na kusimamia...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Tetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news. Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia. Dunia haina siri tena...
74 Reactions
337 Replies
21K Views
JEE BIBLIA NA QURAN VINAJITAMBUA KUWA NI VITABU VYA MUNGU? Hili suali ninawauliza Wakristo na Waislam. ✓Je, Quran kama Quran yenyewe inajitambua kuwa ni Kuraan na jee inajitambua kuwa ni kitabu...
3 Reactions
14 Replies
516 Views
Siyo kwa nia mbaya ! Katika kuboresha na hamasa kwa walemavu hufanyika matamasha mbalimbali kila mwaka! Viongozi na watu mashuhuli wamekuwa ni mchango mkubwa kufikisha ujumbe kwa jamii! Haji...
12 Reactions
58 Replies
1K Views
Mamlaka zimesitisha kwa muda zoezi la uokoaji hapa Kariakoo kutokana na jengo kuzidi kutitia na kuongeza wasiwasi wa kuongezeka kwa maafa. Bado inasadikika kuwa kuna idadi ya watu wengine chini...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Apartments nyingi za maghorofa ya kariakoo yamegeuzwa kuwa magodauni kwa ajili ya kuhifadhia mizigo ya makontena pindi inapotoka bandarini. Kunakuta Apartment moja inajazwa mzigo wa makontena 3...
4 Reactions
10 Replies
577 Views
Kila kitu kwa sasa kipo uchi baada ya jengo kuanguka. Huu uhuni wa wafanyabiashara wengi wa Kkoo unastahili kudhibitiwa kisheria bila kuwaonea huruma. Hizi underground floors zimeibuka sana...
2 Reactions
18 Replies
622 Views
ASANTE SANA KARIAKOO! NINGEKUWA kwenye jengo lililoporomoka. Sina matumaini ya kuokolewa. Nini ningefanya? Simu yangu ingekuwa na charge, network ipo sawa, ningeandika ujumbe gani kwa familia...
3 Reactions
4 Replies
419 Views
Matt 7:22-23 "Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako? na kwa jina lako kutoa pepo?, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?. Ndipo nitawaambia dhahiri...
4 Reactions
9 Replies
442 Views
Kuna mtu ananishawishi kua siwezi kuuona ufalme wa Mungu bila kupitia kwa Yesu, Wakati huo huo tukibishana siasa anasema Israel ni taifa teule, na ni "choosen pepole" Lakini ni wazi kua wa...
0 Reactions
12 Replies
615 Views
Nipo nasikiliza Radio nimeikuta habari katikati sijaelewa ni nini Kinachoendelea huu mtaa wa Livingston karibu na bank ya NBC hapa Kariakoo. Nilichosikia ni kwamba Ghorofa ndo limeleta kashi...
0 Reactions
67 Replies
19K Views
Majanga ya asili duniani yapo na yanaweza kutokea muda wowote. Kuna maeneo mfano Asia nchi kama za Japan, China, Indonesia, Uturuki, Iran n.k wao matetemeko ya ardhi ni sehemu ya maisha, nchi kama...
11 Reactions
59 Replies
1K Views
MAJANGA! MAGHOROFA 64 KARIAKOO HATARINI KUPOROMOKA....!! Dar es Salaam.Maghorofa 64 yaliyopo eneo la Kariakoo, Manispaa ya Ilala yamejengwa kinyume na sheria na kwamba baadhi yanaweza...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari ndugu, Kuna Viwango vya kiroho(waliopata uamsho wa kweli na enlighted one) ukifika utajua kwamba Mungu unayemwabudu ni wewe mwenyewe. Tunatofautiana ufahamu na viwango vya kiroho ,ndio...
5 Reactions
21 Replies
489 Views
Back
Top Bottom