Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nilisikiliza interview ya Makonda huko Arusha, na moja ya jambo alilojitapa ni kumpatia gari mtangazaji wa Clouds aitwaye Cza. Na Cza anakiri kwamba alienda Arusha kwa kuitwa na Makonda, na si...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakati shughuli za uokozi wa jengo la ghorofa kuporomoka zikiingia siku ya tatu leo Jumatatu, Novemba 18, 2024, maduka yaliyo eneo la Msimbazi na yale ya Mchikichini, Kariakoo jirani na jengo hilo...
4 Reactions
8 Replies
609 Views
SURA YA AROBAINI NA SITA DESTURI YA KUTAFUTA WACHAWI, NA JINSI YA KUWAADHIBU Hapo zamani mtu akifariki, akiwa mwanamume au mwanamke, wenye ndugu baada ya kumaliza kilio tu huenda sehemu mbali...
2 Reactions
5 Replies
482 Views
Hii ni picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano. Mwanaume hajui kuwa chini kuna nyoka. Na mwanamke haelewi kuwa juu kuna jiwe kubwa limemkandamiza...
3 Reactions
1 Replies
316 Views
Ni wizi kama wizi mwingine tu Emerging simu ya 400k unakopa kila mwezi utoe 100k. Salio anzio ni 120k. Kwa mwaka 12 month x 100k 100000 x 12 = 1.200.000 Makato 12 months ni 1.2 milioni
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Bei zitapungua? Au wataambiwa waendane na bei za washindani zilizopo? Najua kwenye ubora jamaa atawapiga chenga, Meanwhile hivi ndivyo voda na wenzake walivyo sasa hivi ===== Baada ya muda...
31 Reactions
191 Replies
8K Views
Kwa uzoefu wangu niliokutana nao hapa Tanzania na Africa nimegundua vijana watanzania wanaponzwa na kupenda kuomba hela, hii inaua connection kwa haraka sana. Haya mambo sita unabidi kuyazingatia...
8 Reactions
10 Replies
491 Views
Hili ni tatizo na ni tabia inayonikera sana. Mtu usipost upo kiwanja flani utashangaa inaingia text "Mzee nisaidie elfu 10 hapo".. Sawa tunapaswa kusaidiana kwa shida na raha ila ukipata request...
19 Reactions
50 Replies
3K Views
habari wadau. natamani sana watoto wetu wa kizazi cha sasa wafundishwe huu ukweli mapema.. wasije kuwa kama sisi baba zao na babu zao. mfano ghorofa limedondoka watu wamefukiwa.. watu wengi...
3 Reactions
12 Replies
395 Views
Huwa najiuliza, sipati jibu. Jeshi hili si jeshi na wala halina utendaji unaoweza kuitwa ni wa kijeshi. Wafanyakazi wake ni kama raia waliovishwa magwanda. Adui wao wa kwanza ni moto, pili si adui...
2 Reactions
29 Replies
6K Views
Serikli ifanye tathimini ya majengo yote kariakoo, yooooooooooooooooooooooooooote! short of that makubwa yanakuja kwenye s clled gorofa za kariakoo. angalia na linganisha floor hizo mbili...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Najua upo Brazil kwenye majukumu yako Japo viongozi wengine wa nchi zingine wakitaka kukupa salamu za pole inakuwa ngumu maana haupo nchini. Ingekuwa busara zaidi usingesafiri ukabaki hapa...
5 Reactions
45 Replies
1K Views
"Changamoto kubwa ni namna jengo lilivyodondoka maana watu wengi wamekamatika chini kwenye basement na jengo lilivyodondoka unaona upande mmoja jengo linaonekana na upande mwingine halionekani...
1 Reactions
2 Replies
411 Views
Habari wakuu, Nimeenda Voda shop kusajili LIPA number yenye jina la biashara nikiwa na leseni yenye jina la biashara na TIN yangu ya biashara. Nikaelezwa ili nisajili LIPA namba ya namna hiyo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili...
15 Reactions
133 Replies
3K Views
Maana haujui kwa muda wowote litakalo kufika kutokana na hali duni za mikakati na system mbovu zinazokuzunguka. Pale unapoambulia kitu cha faida hapa Afrika basi ujue wewe ni mwenye bahati kuu.
2 Reactions
0 Replies
110 Views
Ndugu zangu watz, niko pamoja nanyi kwenye kipindi hiki kigumu tukiendelea cha kuomboleza ndugu zetu waliofukiwa na jengo huko Kariakoo. Poleni watu wote mliofiwa, mlionusurika na majeruhi. Kwa...
1 Reactions
1 Replies
227 Views
Leo nimeangalia karibia misiba yote ya kwenye gorofa na mengineyo nivilio tu Kwa wakinamama swali langu ni hili nafasi ya mwanaume mbona inafichwa kwani hao wanawake walijizalisha wenyewe hao...
1 Reactions
3 Replies
277 Views
Salaam, Shalom!! Huu ni unabii Si ubashiri Wala uganga. Ajaye ni Mwanaume, haijalishi ni anatokea upinzani au tawala. Haya Si maneno yangu, ni unabii kama alivyoona Nabii husika. Source: Hero...
10 Reactions
46 Replies
2K Views
Ubovu wa Majengo ya Biashara Kariakoo: Hatua za Haraka Zinazohitajika kutoka Serikalini Kariakoo, mojawapo ya maeneo yenye shughuli nyingi za kibiashara jijini Dar es Salaam, inakabiliwa na...
1 Reactions
1 Replies
310 Views
Back
Top Bottom