Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu sina mengi ya kuandika kabisa ila nahisi naelekea huko kwa wapenzi au wasikikilizaji wa nyimbo ya karubandika ya mtoto wa dandu kama umeisikiliza vizuri ndiyo ambacho nikizingua naenda...
0 Reactions
6 Replies
392 Views
Umeme ni moja ya gharama inayokula fedha sana,kwa sasa kwakuwa nimestaafu nipo home,natumia mbinu zifuatazo kupunguza matumizi ya umeme: 1.Kwenye nyumba nayoishi na mrs na familia kuna ststem...
4 Reactions
51 Replies
2K Views
Anonymous (64b1)
Serikali ya Tanzania haijawahi kuwa serious na kazi zake hata siku moja nimeshangaa sasa utaratibu uliopo hapa Kivukoni Ferry (Dar es Salaam) ukitaka kwenda kupanda Panton kuvuka kwenda Kigamboni...
0 Reactions
3 Replies
387 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewaonya baadhi ya Watu wanaotumia janga la kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo kutapeli kwa kuchanganisha michango kinyume na taratibu kuacha mara...
1 Reactions
1 Replies
269 Views
Habari wadau. Binafsi nimeshangaa sana leo hii watu walovyomjia juuu Niffer kuchangisha pesa. Miaka yote niffer anachangisha pesa na hakuna kesi ya kuvunja sheria yoyote kwake. Niffer toka...
6 Reactions
14 Replies
650 Views
Niliwahi kuhudhuria darasa moja, nikastajabu sana. Huyo mwalimu alitufundisha eti kuna sijui nabii au mtume kiongozi wa dini aliwahi kupanda farasi sijui punda akaenda mbinguni. Alipofika huko...
6 Reactions
66 Replies
1K Views
Wakati mwingine usiogope kuwa peke yako katika baadhi ya mambo,kwani inakufanya uwe na nguvu na kufahamu uwezo wako Kadri unavyojifahamu wewe binafsi ndio utagundua hauhitaji mchango wa watu...
9 Reactions
10 Replies
669 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuelekeza Wakala ya Barabara (TANROADS) kufunga mizani mitatu inayohamishika (mobile weighbridge) ya kudhibiti uzito wa magari katika eneo la Tunduma ili...
0 Reactions
1 Replies
174 Views
Udharura wakati mwingine hutupata sisi binadamu hata wakati mwingine uwe na mali za wingi wa kiasi gani lakini Udharura ipo siku utakupigia hodi. -My question is that, wakati unapoazima fedha...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Mazingira ya Chuo Kikuu Huria, Kampasi ya Singida yanasikitisha sana kutokana na kuonekana kuwa duni. Majani yameota hovyo hovyo.... mazingira mabovu hayavutii wala hamna hadhi ya 'Chuo Kikuu'...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
Kiukweli nimejaribu kutafakari ili kujiridhisha kuhusu michango inayochangishwa na baadhi ya watu maarufu kuhusu janga la Kariakoo ila naona ni kama utapeli. Ikumbukwe kwa ishu ya Kariakoo tayari...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
JamiiForums kwa kushirikiana na Kituo cha Runinga cha StarTV, itaendesha Mjadala kuhusu Nafasi ya Vyombo vya Habari na Waandishi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya (33), anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashitaka mawili likiwamo la kujipatia Sh5.1 bilioni kwa njia ya udanganyifu, amefikisha...
3 Reactions
17 Replies
889 Views
Nalizungumza hili kwa experience sababu namimi ni mtumishi wa umma. Magari mengi ya watu binafsi utasikia kila siku garage trip kidogo gari lazima lipate hitilafu. HI ni tofauti hizi gari za...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Wapendwa habari za mchana wa leo, Matumaini yangu wote ni wazima,naomba kuhafamu jambo hili, Je BIMA YA TAIFA YA AFYA YA MTUMISHI WA SERIKALI, INAWEZA KUFANYA VIPIMO VYA MACHO NA KUPATA MIWANI...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimesoma kauli ya msemaji wa serikali kuwa changamoto kubwa inayozuia ndugu zetu walioko kwa basement wasifikiwe ni NAMNA KIFUSI KILIVYOKAA na sio kwamba hakuna vifaa. Niwe mkweli sipendi mambo...
26 Reactions
96 Replies
3K Views
Asubuhi hii napitia charts za financial instruments, nikaona Bitcoin inaendelea ku shoot kuelekea USD 100,000 kwa Bitcoin moja. Nimekuwa nikiiangalia Bitcoin tangu ikiwa USD 450 mwaka 2015. Maana...
0 Reactions
8 Replies
328 Views
Kila uchwao tabata wanakata umeme, I am comfused, what is wrong nothing going at all. Wiki mbili sasa kila siku lazima wauondoe kwa saa karibu 5-7, leo hii tarehe 18/11 toka saa 4, asubuhi hatuna...
0 Reactions
9 Replies
249 Views
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda ameshiriki kikao cha Makamishna Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Afrika Mashariki kinacho endelea mjini Nairobi Kenya. Makamishna...
1 Reactions
1 Replies
243 Views
Nigeria kuna makabila 371 ila kuna makabila matatu maarufu 1. Hausa = Hili ndio kabila lenye watu wengi zaidi Nigeria na Afrika, Hawa wapo nyuma sana mambo ya elimu na hata huko kwao hakuna sana...
23 Reactions
82 Replies
6K Views
Back
Top Bottom