Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nikiri sina miaka mingi sana humu jukwaani ila nilichogundua ni kukithiri kwa mada zinazochochea chuki za kidin kwa kukejeli imani zingine kwa namna moja au nyingine binafsi ni muumin mzuri wa...
10 Reactions
70 Replies
1K Views
Ukiona mambo hayaendi Mjini, rudi kijijini ukajipange upya. Wakati ukiendelea kupambana na online hustles, kumbuka kuwa na vitu vingine vi2 au zaidi utakavyofanya kujipatia kipato kama online...
3 Reactions
0 Replies
143 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Zoezi la uokoaji katika eneo la ajali ya kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo bado linaendelea na Mpaka sasa Watu 86 wameokolewa wakiwa hai huku Vifo vikiwa...
1 Reactions
3 Replies
399 Views
Katika pita pita yangu makala mbali mbali za kulishia ubongo nikakutana na hii FAIDA ZA TENDO LA NDOA Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ni...
6 Reactions
29 Replies
6K Views
SERIKALI NUNUENI: Vifaa vya kuokolea, ninachoamini majanga yanatokea mahari popote, pia iwe Funzo kwetu sisi tulioa hai. Ila Jambo nililoliona kwa mtazamo wangu, Serikali wajipange upya kwa...
1 Reactions
0 Replies
187 Views
Mchungaji akutwa amefariki na majeraha usoni. Aron Daniel (16), mkazi wa mtaa wa Msimamo, Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro amekutwa amefariki dunia katika eneo la 'Youth Mission' huku mwili...
1 Reactions
5 Replies
356 Views
Kutokana na ACT Wazalendo vijana hao wameuliwa kwa kupigwa risasi kutokana na kesi ya uchimbaji mchanga, huku taarifa inasema ni ajali! Lipi ni lipi? Kupata tamko la ACT bofya hapa: Zanzibar...
1 Reactions
2 Replies
688 Views
Irene Mallya anamtafuta Mama yake Happiness Mallya, mfanyabiashara wa Kariakoo mkoani Dar es Salaam, ambaye hajulikani alipo tangu ilipotokea ajali ya kuporomoka kwa jengo Jumamosi Novemba 16...
1 Reactions
6 Replies
703 Views
1. Kwanza Serikali ipige marufuku Fundi yeyote ambaye hana cheti Cha Taaluma(VETA,FDC na kuendelea Kufanya kazi za Ujenzi? 2. Kuundwe chombo Cha usajili wa mafundi na ndicho kiwe kinatoa cheti...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Aron Daniel (16), mkazi wa mtaa wa Msimamo, Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro amekutwa amefariki dunia katika eneo la 'Youth Mission' huku mwili wake ukiwa na majeraha usoni. Baba mdogo wa...
3 Reactions
10 Replies
457 Views
Kwa Watanzania walio wengi jina Mapedeshee au Mapapaa ni maalufu lakini natumaini watanzania baadhi hawajui Mapedeshee ni aina gani ya watu na wanafanya kazi gani kama sehemu ya maisha yao,manake...
0 Reactions
211 Replies
62K Views
Unajua kabisa hadi sasa (2024) idadi ya Watu wote tuliopo Duniani ni Bilioni 8 na Milioni 200 halafu bado ukiwa Unasali ama Chumbani Kwako au Kanisani au Msikitini unamuorodheshea Mwenyezi Mungu...
14 Reactions
43 Replies
2K Views
Mods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi. Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password...
21 Reactions
53 Replies
2K Views
Habari waungwana wa humu. Bila shaka hakuna aliye mgeni wa kadhia hii kwenye maisha yetu ya kila siku kwenye jamii zetu.. Kama kawaida ya watu duni umoja wetu ndio nguvu yetu ya kufanikisha yale...
18 Reactions
68 Replies
2K Views
Kuliko kulipa watu mishahara kila mwezi kisha majanga yakiyokea hawaoneoani, Tulivunje jeshi la zimamoto, waruhusiwe watu/kampuni binafsi kua na vifaa na ofisi zao. Likitokea janga...
0 Reactions
3 Replies
174 Views
Kuna rafiki yangu amekutwa au naweza kusema anasumbuliwa na jambo ambalo dalili zake zinaonyesha kua huenda akawa na jini mahaba ndani yake. Kwaio ameniombea kupitia jukwaa hili la ma great...
11 Reactions
86 Replies
6K Views
Wakuu, Tangu saa 12 asubuhi mpaka sasa nimeganda hapa Masana, Gari hazitembei kabisa, Naskia wameziba barabara moja pale nia ya kuingia Kawe, Kazi tunayo kwa kweli
0 Reactions
18 Replies
919 Views
Ona ukuu wa Mungu, kuna watu walikuwa na uwezo wa kupiga simu na kueleza waliko katika kifusi cha Kariakoo. Imagine watoto kama hawa hawakuwa na njia lakini Mungu bado anadhihirisha ukuu wake...
19 Reactions
26 Replies
1K Views
Maswali kwangu hua hayaishi nahitaji nipate ufahamu, Ndugu zangu naomba nipewe elimu juu ya ubatizo wa kweli ni upi? Je, maji mengi au maji machache? Maana haya mambo lazima tupeane elimu mapema...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kumbe wafanyabiashara Wana Vijana Wao wanakaa milangoni na akiingia Mteja anayesomeka kuwa na fedha basi tajiri humwambia Dogo " Chawia" Yani piga Maneno ya Kumsifia Mteja hadi ajikute ananunua...
1 Reactions
0 Replies
195 Views
Back
Top Bottom