Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwa ushirikina uliokithiri kariakoo huenda sadaka ya damu imehusika ukizingatia tunaelekea mwisho wa mwaka ,maagano au makubaliano ya kisheitwani lazima yatimie.
4 Reactions
16 Replies
606 Views
Huwezi kusifiwa una mbio kwenye janga la moto Kama umemuacha kilema nyuma yako Tafakari
2 Reactions
3 Replies
143 Views
Ndugu na Marafiki wa Mwanadada Mary Lema wamepaza sauti kuwa mpendwa wao huyo hajapatikana bado kwenye kifusi cha ghorofa iliyoporomoka Kariakoo na wana imani kuwa bado yupo hai na kuomba...
1 Reactions
2 Replies
353 Views
Kahama Mjini kuna laini moja ya umeme ambayo imeunganisha maeneo ya Nyihogo, Mhungura, Dodoma hadi Shunu. Miezi miwili au mitatu mfululizo pamekuwa na changamoto ya ukataji wa umeme pasipo...
1 Reactions
2 Replies
199 Views
Hii kitu inanisumbua sana na kuona kama sijiamini patelea pote. Haiwezekeani unajenga kujiamini na kuacha kuwa mstaarabu. Kjna mtu nakutanaga nae kufanya kazi moja mbili tatu...huyu bwana...
0 Reactions
2 Replies
183 Views
Hi, We received your refund request of TZS 136,000.00 for Free Trial (Rapid VPN - Safe Secure Proxy), transaction ID GPA.3378-7455-7203-67380..0. We'll review your request and send a response...
3 Reactions
11 Replies
512 Views
Wanatengeneza kansa katika jamii zao kwa ajili tu ya kuwafurahisha wahamiaji holela, LGBTQ, Feminists, Anti-Christs, #freepalestine (utapeli) , etc Kama ilivyo sera yao ya uhuru na Hatua za bila...
1 Reactions
0 Replies
186 Views
BAADHI ya wafanyabiashara wanaouza maji wanayohifadhi katika matangi ya kubebwa na magari maarufu maboza, mkoani Dar es Salaam, wamelalama hali ni mbaya kibiashara kutokana na maji kuadimika...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Nimepita leo kariakoo inasikitisha kweli hata pa kupita hamna kila sehemu chinga wamepanga vitu vyao. Hivi hata kuwapanga chinga hatuwezi. Dar ni hub zaidi ya nchi 8 zinategemea pale hivi...
4 Reactions
12 Replies
987 Views
Katika Jiji la Dar es Salaam ambalo kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi wapo wakazi zaidi ya Milioni sita, shughuli mbalimbali za kibiashara zimekuwa zikifanyika kama sehemu ya Watu kujipatia...
10 Reactions
33 Replies
4K Views
Katika kuadhimisha Siku ya Watoto Njiti Duniani, Taasisi ya Doris Mollel imemkabidhi nyumba ya makazi Mariam Mwakabungu (26), aliyejitolea kukumbatia Watoto Njiti katika Hospitali ya Rufaa Amana...
3 Reactions
8 Replies
438 Views
Maeneo ya Daraja la Masai Daraja la Masai Moja ya changamoto kubwa wanayoipata wakazi wa eneo hilo ni wakati wa mvua kubwa au mafuriko, inapokuwa hivyo Daraja la Salamani na Daraja la Uhuru...
0 Reactions
5 Replies
307 Views
Kuna huyu ndugu anaitwa Malisa. Yeye pia ni sehemu ya watu wanaokusanya michango mitandaoni bila kibali chochote. Nashauri na yeye aitwe Polisi akahojiwe. Inaweza kuwa ina namna
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Basi la Kampuni ya Shabiby inayofanya safari Sumbawanga-Dodoma ilipata ajali eneo la mizani ya Nkangamo Tunduma. Kwa inavyoonekana na ni kama lilianguka lenyewe. Nitaupxate kadri taarifa...
3 Reactions
21 Replies
930 Views
Umaskini ni mfumo kama ulivyo utajiri hivyo ukiwa kwenye mfumo wa kimaskini utapata madili ya kimaskini tu ili uanze kupata michongo ya kitajiri sharti utoke kwenye mfumo wa kimaskini uhamie...
2 Reactions
3 Replies
337 Views
Siku ya Kimataifa ya Wanaume huadhimishwa kila mwaka tarehe 19 Novemba, ikiwa na lengo la kuangazia changamoto wanazokabiliana nazo wanaume, kusherehekea mafanikio yao, na kuhimiza usawa wa...
2 Reactions
1 Replies
711 Views
INASEMEKANA MAGHOROFA MENGI KARIAKOO YANATUMIKA KINYUME NA PLAN YAKE YA UJENZI.. GHOROFA linakuwa limejengwa kwa plan ya makazi hizo floor za juu lakini Kariakoo zinageuzwa kuwa magodauni ya...
5 Reactions
19 Replies
773 Views
Kwa muda mrefu sasa, kumeibuka makampuni yanayodai kuwawezesha vijana kwa kutoa mikopo ya bajaj na pikipiki. Kwa mtazamo wa nje, mpango huu unaonekana kama suluhisho kwa changamoto za ajira...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Kama mtembezi wa mtaani nimeshuhudia jambo ambalo limenishangaza na kunistaajabisha kwa wakati mmoja na hii ni mara ya mbili kuliona hapa vingunguti je ni jambo gani? Kaa chonjo. Ni hivi ndugu wa...
2 Reactions
68 Replies
2K Views
Miili ya waliofariki Kariakoo ikiwa tayari kwa kuanza kuagwa💔🕊
10 Reactions
57 Replies
2K Views
Back
Top Bottom