Kumekuwepo utaratibu wa kusitisha uvuvi ziwa Victoria Kwa kipindi sasa.
Kwamba wanasitisha uvuvi kwa muda kama kulipa likizo ziwa na samaki ili wazaliane Kwa kipindi hicho.
Lakini tija ni ndogo...
Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana.
Unaweza kusoma UDSM hall 2 na 5 zenye...
Mazishi ya shoga wa nchini Uganda David Kato ambaye alikuwa mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga wenzake nchini humo, yalikumbwa na balaa baada ya mchungaji kuwaambia waombelezaji wa msiba...
BALOZI wa Ujerumani Nchini Tanzania, Thomas Terstegen anatarajia kushuhudia michezo jumuishi itakayoshirikisha vijana zaidi ya 45, michezo itakayofanyika Novemba 25, 2024 kwenye Viwanja vya...
Mosi; kabisa nasikitika kushindwa kugika eneo la tukio sababu sihusiki na sina kibali cha kuniruhusu kufika eneo la tukio.
Pili; nimeshindwa kupiga picha yoyote maana nilifukuzwa kama haramia...
Mambo vp wakuu..
Nimekuwa nikifatilia nyuzi nyingi humu pia hata mitandao mingine.
Watu wengi wamekuwa wakimlaumu sana Raisi wa nchi..
Lawama nyingi zikiwa ni kwanini Raisi asafiri wakati Kuna...
Waziri wa Ujenzi Mh. Innocent Bashungwa ameagiza kuongezwa kwa vivuko kuanzia kesho sambamba na kuongezwa kwa muda wa kutoa huduma ili kuweza kusafirisha abiria wengi zaidi wanaotumia vivuko vya...
Je, wananchi wanapaswa kutambua mounekano halisi wa vitambulisho vya jeshi la Polisi ili kuepuka hatari ya kutekwa na watu wasio julikana.
Swali vitambulisho hivyo vinaonekanaje kwa mfano wa picha?
Katika siku ya pili ya mkutano #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda alishiriki pamoja na Makamishna Wakuu wenzake katika uzinduzi wa ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Mapato...
Maisha baada ya kuhitimu masomo ni kipindi ambacho wengi hukutana na uhalisia wa maisha. Kwa miaka mingi, wanafunzi hutumia muda wao darasani wakijitahidi kufaulu na kufikiria kuhusu maisha bora...
Hapa Manispaa ya Songea, ni kama viongozi wameweka pesa mbele kuliko kuwajali Wananchi kutokana na mazingira yalivyo.
Binafsi sijui wanazingatia nini au vigezo gani kumpa tenda mtu ambaye kazi...
Mwandishi wa habari kutoka PPR Media, Pascal Mayalla ameiomba Serikali kuwapa posho waandishi wa habari pale wanapotekeleza majukumu yao kama ambavyo wabunge hulipwa posho kila wanapohudhuria...
"Afrika ukifanikiwa basi ndugu na jamaa wanadhani kupewa pesa ni haki yao" Osimhen
🎙Victor Osimhen: "Nilikuwa nikituma pesa rafiki yangu mmoja wa utotoni lakini siku moja aliniambia kuhusu...
Kuna jamaa yule mwenye jezi ya Yanga alivyotolewa nilitegemea watu wangelia machozi ya furaha lakini wapi,...watu walikuwa kama wanshangalia movie,hakuna hisia kwenye nyuso zao,walishangilia...
Ina maana sikulisoma hili shuleni ama lilinipita nimesikia kwamba baada ya tendo la ibada hii kuisha na hatimaye mwenge kuzimwa huwa unapelekwa mlima kilimanjaro unawekwa kule juu mpaka siku ya...
Kuna mwamba mmoja miezi kama sita hivi alikufa kifo cha utata, ndugu walimuhisi mkewe kafanya mambo, wakaamua kumsitiri pembeni kabisa ya nyumba yake, bampa tu bamba na ukuta wa nyumba ili mke...
When a building collapses with people inside, the initial response is to make the area safe and assess the situation:
Make the area safe: Establish a perimeter around the collapse, keep...
Kwa aliye pita karibuni au wanaoishi maeneo hayo watakubaliana na mimi kuwa majengo haya ni chakavu na yana nyufa na hayajafanyiwa ukarabati muda mrefu siku yakianguka usiku wanafunzi wakiwa...
Bilionea Elon Musk anaendesha makampuni yake 7 Duniani kwa wakati mmoja na makapuni yote yanafanya vizuri Duniani.
Elon Musk ni muanzilishi, mkurugenzi na mmiliki wa makampuni 7, SpaceX...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.