Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wanajamvi kwema! Naomba kujuzwa wakuu, eti inawezekana mtu akawa anaishi maisha ya kawaida kwa maana ya kuishi duniani, huku akiwa tayari ameshachukuliwa msukule? Hembu nijuzeni wakuu!
0 Reactions
71 Replies
15K Views
Yaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki? Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini...
47 Reactions
502 Replies
89K Views
Eee Bwana ni usiku tena asante kwa neema hii. Tuliikabili siku kwa juhudi zetu huku tukiwa na tumaini ndani mwetu. Yawezekana haikuwa vile tulivyotarajia yawezekana haikuwa fungu letu kesho...
0 Reactions
1 Replies
206 Views
Kuna muda namtafakari huyu mama ninapata uchungu sana,,, na wakati ninabaki ninamshangaa tu"simwelewi kabisaa",,hivyo nafurahi SASA Kwa yote yake. .....turudi kwenye mada(soma neno?) je wewe hapo...
2 Reactions
15 Replies
390 Views
Kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo video zinazosambaa inaonesha Jengo halikuwa na underground. Hivyo mmiliki akaamua kuchimba kuweka maduka chini. Hii bila shaka haikuhusisha mamlaka na wataalamu...
4 Reactions
15 Replies
975 Views
Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones, ambaye alikwama kichwa chini miguu Juu ndani ya pango kwa saa 28 kabla ya kufariki dunia...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari wakuu ni matumaini yangu wote ni wazima,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,naomba msaada natamani sana kwenda kufanya kazi ulaya, elimu yangu nimeishia four 4,pasport ninayo naomba...
12 Reactions
47 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa akikabidhi cheti cha tuzo ya udhamini mkuu wa mkutano wa kimataifa wa sekta ya madini kwa Meneja wa Barrick nchini, Melkiory Ngido. Baadhi ya wafanyakazi wa...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Kwela, Daniel Naftal ambaye pia ni mwanachama wa CHADEMA ameoneshwa kuhuzunishwa na kifo cha aliyekuwa Rais huyo wa UDSM Mathias Simon alikuwa Rais wa UDSM...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Naona vijana sasa wanakufa utadhani kuna mashindano wanayafanya. Magonjwa ya ghafla Ajali Vifo vya usingizini n.k Sababu hasa ya vifo hivi ni nini? 1. Zinaa na ulevi. Mithali 6 : 32 Mtu aziniye...
6 Reactions
7 Replies
430 Views
Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
14 Reactions
210 Replies
12K Views
Sitokua na maneno mengi, ila pamoja heshima zenu kuzingatiwa , nitambue wana jf popote walipo kila mmoja kwa imani yake , Mungu akawe juu yenu. Poleni na janga la ghorofa Kariakoo ambalo...
4 Reactions
44 Replies
870 Views
Jiji la Dodoma linaendeshwaje katika upande wa utunzaji wa mazingira. Hali ilivyo naona kabisa kuna uwezekano wa kuibuka kwa magonjwa ya kuambukiza ikiwemo Kipindupindu kutokana na mfumo wa maji...
0 Reactions
3 Replies
461 Views
Nimegundua sasa ni kwanini watu wananunua viwanja kisha wanaendelea kutumia hati zenye majina ya watu wengine bila kubadilisha majina. 1.) Hivi inakuwaje mtu anunue kiwanja milioni 50 kisha...
6 Reactions
6 Replies
449 Views
Pimping - Kupata fedha kwa njia ya kuwadalalisha wanawake watumike kingono Kumekuwa na michezo michafu inafanyika mabinti wa mikoa hiyo Songida, Manyara na Dodoma wanaitwa kuja kwenye majiji...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Katika eneo ambalo linaendana huduma masaa 24 basi Mbagala Zakhiem pale ni kiboko sijawahi kuona, Nilishawahi kutokea Mtwara nikasimama pale saa 9 usiku, nikapata.mchicha fresh,samaki...
10 Reactions
14 Replies
696 Views
USHAURI KWA WATU WOTE WALIOAJIRIWA: 1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini kwenu au mjini. Kujenga nyumba ukiwa na miaka 50 sio mafanikio. Usizoee nyumba za serikali. Faraja hii ni hatari sana...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, Kwa muda mrefu sasa, wakopaji wengi wa mitandaoni wamekuwa wakilalamika kuhusu kitendo cha baadhi ya apps za mikopo ku-access list ya mawasiliano ya wateja na kisha kuwatumia message...
16 Reactions
114 Replies
12K Views
Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia...
0 Reactions
4 Replies
536 Views
Jamani tuacheni shobo (Ushauri na si kwa ubaya). Kama tunakutwa na janga, acha tupambane nalo, tuone wapi tumekosea na tujirekebishe. Haya mambo mengine ya kutaka watu wakuposti, wala hayasaidii...
0 Reactions
1 Replies
147 Views
Back
Top Bottom