Katika mfululizo wangu wa maelezo, nitapendelea kutaja baadhi tu ya taasisi za serikali yetu ya Tanzania, ambazo vitengo vyake vya UHUSIANO WA UMMA NA MAWASILIANO vinajitahidi mno katika kutoa...
VIASHIRIA VIKUU VYA MWANAUME ANAYEKUPENDA.
Anaandika, Robert Heriel.
Kutokana na Wadada wengi kunifuata PM kuniuliza "watajuaje mwanaume anayewapenda?" Nikaona isiwe kesi niweke hapa ili kila...
Kumekuwa na mitazamo ambayo inaambatana na lawama kutoka kwa watu tofauti tofauti wakiendelea kuwalaumu ndugu zao au wazazi wao eti kwanini wamekuja mjini hasa Dar es Salaam miaka ya nyuma ambayo...
Habari wakuu wa Jf poleni na majukumu ya kazi na simanzi ya Janga letu la pale Kariakoo.
Ukifuatilia muenendo wa Vita huko Gaza ni dhahiri kabisa nafsi yako itakuuma na Mauwaji ya haraiki kila...
Nahisi kama Dompo imechakachuliwa pia. Hii ni kwa sababu ya reaction ninayo ipata baada ya kunywa dompo.
Tangu nimeacha kunywa beer mwaka 2019 nimekuwa nikitumia zaidi wines kutoka nje ya Tz...
Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1954 ili kukuza ustawi wa watoto duniani kote na kuongeza uelewa kuhusu haki zao. Pia ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Mkataba wa Haki za Mtoto...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasili Kariakoo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujionea hali ya uokoaji inavyoendelea katika jengo la ghorofa liliporomoka leo Jumamosi Novemba 16, 2024 asubuhi...
Sitaki salamu, ninaingia kwenye mada moja kwa moja. Wazungu wanasema experience is the best teacher. Ajali ya kuanguka ghorofa la Kariakoo imenipa mafunzo mengi. Bila kupoteza muda, ajali hii...
Takwimu za Mimba za Utotoni na Ripoti za Matukio ya Ukatili Mkoani Katavi kwa Mwaka 2024
Muda: Januari – Oktoba 2024
Waliotoa taarifa za kufanyiwa ukatili
Wanawake - 2,740
Watoto (Wasichana) -...
Kwa sababu hofu ya Mungu imekuwa kubwa kwa watu wengi siku hizi wameanza kumtumia Mungu kisiasa.
Kunq mqma mmoja namkumbuka aliwahi kuomba hadi analia Mungu afanye miujiza ya kumpa pesa wakati...
Kuna mantiki gani Kiongozi wa Serikali kukaa Mbweni na kazi anafanya Posta?
Kwa mfano Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi wangekuwa wanatumia hata Chopa kama ile ya Chadema.
Kumekuwa na foleni sana...
Mgogoro wa kifamilia umefanya kijana huyu kutoka Mbeya kupoteza maisha kwa kufanya maamuzi ya kujinyonga hadi kufa.
Kwakweli mambo mengi ila muda ni mchache. Apumzike
==================
Kijana...
Karibuni Visiwani kwa ajili ya Bwejuu International Marathon itakayofanyika tarehe 09 Disemba 2024.
Pesa zitakazokusanywa zitapelekwa Nungwi kusaidia waathirika wa dawa za kulevya.
NB: Marathon...
Nimeamini kumbe wajinga ni wengi sana aisee na wala hauwezi kuona watu wanaojielewa wapo thread za kubishania dini na huu ndiyo mtaji mkubwa wa wanasiasa uchwara kwa sababu watu wanaojielewa wapo...
Kubali au ukatae wamakonde ndiyo kabila bora sana Tanzania,kabila tajiri,kabila la watu wakarimu na kabila la watu wanaojielewa sana na pia kabila ambalo halina ubinafsi kama makabila mengine...
Kwa miaka kadhaa Sasa ufaulu unaongezeka tu; darasa la nne, la saba, kidato Cha pili, kidato Cha nne Hadi kidato Cha sita ni mwendo wa kufurahia ongezeko tu la ufaulu.
Watu wanapiga kazi mpaka...
Kuna watu wanaweza kuuliza kwamba kwa nini Israel kwenye vita huwa hawachagui kuua watoto ama wanawake, wao wanapiga yeyote tu.
Kwenye kupitapita kwangu nikakutana na vitu viwili, cha kwanza...
Salaam, shalom!!
Utakubaliana na Mimi ya kuwa, ni Rahisi sana kuangalia movie masaa SITA bila kuchoka, pia ni Rahisi sana kusoma au kushinda ukichat siku nzima katika mitandao ya Kijamii ila Si...
Ni nini tafsiri ya kuumwa kwa nge katika ndoto
Tafsiri ya ndoto kuhusu kuumwa kwa nge Inachukuliwa kuwa moja ya ndoto zinazosumbua sana kwa mwonaji, kwani ng'e ni mmoja wa wadudu ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.