Yaani unapanda chuma hadi unasikia raha ndani kuna A/C, USB port, azam TV na bus zao kwa kweli nyingi au zote ni mpya na nzuri na safi.
Ukija kwenye jambo la mwisho zuri zaidi kwa sisi wenye...
Pumzika mpambanaji Honorath Godfrey Makoi ulikuwa na ndoto nyingi sana.
Msiba uko nyumbani kwake Swaswa.
Alikuwa mmiliki wa Bar tatu maarufu jijini Dodoma.
1. Chako ni Chako
2. GM Sport & Bar...
Nimepita katika pitapita zangu mitandaoni, pale mjini Instagram nakutana na page inayoitwa @samia.app nikawa natazama ajali ya kariakoo ambayo bwana Alikiba alikuwa anahojiwa na page hiyo ya...
Wakuu Bwana ni mwema!!
Maandiko yanatuambia ya kuwa👇👇Mwanzo 11:1-7 (KJV) Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja.
Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dk. Suleiman Serera serikali haitamfumbia macho yeyote atakayechezea Sekta ya Mkonge kwa namna yoyote kwani sekta...
Idadi ya watu kuongezeka inapelekea kukutana na kashikashi zitokanazo na Joto la Dar kwa sababu linapunguza NGUVU za KIUME kwa maana ya kukosesha hamu ya kufanya mapenzi na hivyo kupelekea tendo...
Mazingira ya choo kwa ajili ya Abiria kwa Wanawake katika Kivuko upande wa Magogoni hayana privacy’ na pia kuna muda hakuna usalama kwa watumiaji hasa wakati wa Usiku.
Kero ya kwanza, wakati wa...
Moja ya vitu vya kijinga kabisa mwanaume anaweza kufanya, ni kutumia pesa ili kumvutia mwanamke.
Matumizi yako ni kiherehere kitakachosahaulika dakika chache baada ya senti zako kukauka. Badala...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limepokea taarifa za vijana watano wanaodaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha tangu mwisho wa mwaka 2021. Kamanda Jumanne Muliro...
Naweza kusema TANESCO hamna uzalendo kabisa kwanini mnakata UMEME kwenye tukio kubwa la kitaifa kama Hilo.
Meneja TANESCO SHINYANGA mbona hana uzalendo.
Ni aibu kubwa sana.
Mpaka mjirekebishe ndiyo nitaacha kuwasakama.
Halmashauri ya Jiji la Mbeya kama inawezekena badilisheni mfumo wa kukusanya taka au tafuteni kampuni nyingine ya kukusanya taka.
Hawa JKT wamefeli...
Palikuwepo Kanisa la TAG pale Msimbazi roundabout, sijajua lilikoishia ila Sasa Kuna Flemu za maduka
Labda ndio sababu Kariakoo Shetani anatamba tu kwa sababu Imeandikwa " Watu wangu wanaangamia...
Ally Kiba Awasili Kariakoo @ Wasanii tujifunze kitu kwa huyu mkongwe kwenda kutoa msaada Na siyo Kutupigia Kelele kwenye mitandao😭 Ukiwa kwako Ukiomboleza Chumbani kwako😭 Tufanye Vitendo 😭😭😭
Hii ilinitokea kipindi napanga , nilikuwa nawasha taa moja usiku wa Saa nne Ila nilikuwa nalazimishwa kulipa bill sawa na wanaotumia TV, feni, radio pasi ya umeme na fridge na wengine walikuwa...
Watu wa magari au wenye uelewa na hizi namba za magari mtueleweshe kwanini hiyo herufi huwa haipo kwenye mtiririko wa usajili au plate number?
Nimezoea kuona magari yenye namba za usajili kama T...
𝗦𝗜𝗥𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔
Maisha yanaweza kubadilika kwa sekunde tu, kutoka kupambania rizki mpaka kupambania uhai yaani hakuna ajuaye nyakati hizi maana kila kitu ni ndani ya dakika tu kinachukua sura...
Maji haya yalifika kwa wingi mkoani kwetu Geita mwaka 2019. Sasa naomba kufahamu kwa matumizi ya kupikia yako salama kweli?
👉Na hayo mapovu meupe ni chemical gani ambayo imetumika? Maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.