Licha ya chuo pia kuwa na mazingira mabovu lakini uwepo wa mapori kuzunguka chuo imekuwa ni hatari kwa usalma wa wanafunzi.
Wanafunzi wanakabwa, lakini chuo kimekuwa kinatoa matamko bila...
https://youtu.be/gm6k0gc9PW4?si=StdiqWV7Dj1gTll5
===================
Naomba uongozi wa Jamiiforums Active mmfanyie mahojiano ya kina Prof Tibaijuka
Pia mngemfanyia Mahojioano Mhandisi...
Si jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo.
Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu.
1. Huwa unajikumbusha...
Wanafanyisha kazi kwa makubaliano ya baada ya miezi minne wanapofikisha miezi hiyo wanaishia kudhulumiwa na hawana pa kulalamika.
Hawa vijana ni watanzania na wanajitafutia ridhiki ili wajikimu...
Chuo kikuu cha St. Augustine kimebatilisha shahada ilizotoa kwa madaktari 162 waliohitimu chuo cha udaktari cha St. Franscis kuanzia mwaka 2015-2019.
St. Augustine imechapisha tangazo kwenye...
Hii hapa simulizi ya kusikitisha inayonihusu mimi, Inspector, ikigusa hisia kutokana na safari yangu ya kiafya:
---
Safari ya Maumivu na Tumaini la Mwisho.
Inspector nilikuwa kijana mwenye...
Imagine on daily basis, magorofa yanaangushwa tena intentionally at the same time hakuna maji hakuna umeme hakuna na chakula pia shida.
So much suffering in this world.
Hizi App zimekuwa ni changamoto kwa jamii hasa unapopata shida ukikopa kwao ujue umejiingiza kwenye mtihani
Moja ya changamoto zinazoikumba jamii au watu wanaokopa ni kulazimishwa kulipa deni...
Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya...
Ndugu zangu maisha sio kutafutana, maisha ni kutafuta, mwanaume kama huna pesa, basi niseme maisha yako yatakua ya hovyo na utakufa ukiwa na uchungu sana..
Safari ni ndefu sana iliyojaa tabu...
Baada ya HESLB kufunga maombi na kutoa twakimu ni wazi bodi hii inakosa muelekeo katika vipaumbele vya kozi za kutoa mikopo.
Katika soko la ajira na kujiajiri ufundi wowote ungefaa kuwa...
Wako poa sana hawana majivuno, wanajiwekea mkazo katika kujifunza na sio kujigamba kwa upeo wao.
Wanatumia uzoefu kuyaangalia mambo na kuyachambua pia ili wafikie pale wanapopataka...
Nimeona Wizara ya Madini wameandaa mkutano wa TANZANIA MINING AND INVESTMENT CONFERENCE 2024 (TMIC2024)
Wameuita USIKU WA MADINI utakuwa 20th Nov 2024 Mlimani City Mall, DSM
Hamisa naye...
Wazazi wametakiwa kushirikiana vyema na walimu hasa katika suala la kuwalipia pesa ya chakula wanafunzi.
Kumekuwa na utaratibu Kwa baadhi ya shule kutoa huduma ya chakula Kwa wanafunzi shuleni...
Victor Oladokun, Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ameielezea vyema haiba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika maoni yake ya hivi karibuni wakati wa mkutano wa G20 nchini Brazil...
Inasikitisha sana, poleni wote waliofikwa na janga hili.
Miongoni mwa watu walionusurika katika ajali ya jengo la Kariakoo, jijini Dar es salaam Tanzania, Norbert Oswald amesimulia jinsi...
Habari zeni wandugu this is serious ishu ndo maana nime wa tag watu muhimu..
Napoishi na kufanya kazi lindi kilometa 450 to dar safar masaa 7 nauli 32000 mshahara wangu take home 700000+.na...
John Mafuru mfanyabiashara Kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo amesema yeye na wenzake wako Eneo la tukio tangu jumamosi na hawajarudi nyumbani
Mafuru amesema wameelezwa Rais Samia atawatembelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.