Mheshimiwa Rais Magufuli, Asalaam Alaikum (Salama na Amani iwe juu yako).
Tunafahamu kuwa wewe ni Rais wa wanyonge na ni mpenda haki usiyependa yeyote adhulumiwe.
Sisi Waislam, mkoloni Mjerumani...
Ni je?binadamu asipokula wala kunywa katika saa 72 anaweza kufa?
Iwapo hawezi kufa,,,kwanini wataalamu wanasema baada ya hizo saa kinachofuatia ni kusafisha eneo la ajali.
Kama ni hivyo...
Wadau najua wengi tunatumia sana Bodaboda,swali je unafahamuje kuwa boda boda niliyemchukua ni mharifu?
Basi ungana na mimi kujua ni jinsi gani walivyo na endapo ukiona yupo hivi jua huyo ni...
Katika ukarasa wa X (Twitter) wa Zitto Kabwe ameripoti taarifa 👇
Jeshi la Polisi Wilaya ya Mkuranga limemzuia Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Dorothy Semu kwenda kufanya Mkutano wa...
Binafsi sintosahau safari ambayo nilipofika, dakika tano baadae katoto ka miaka saba kanakuja kuniuliza, "eti unaondoka lini?"
Msosi wa jioni ulikuwa wali wenye washawasha na chai yenye pilipili...
Wakuu habari
By December nataka kuanza maisha Sinza au maeneo jirani na stand ya Mawasiliano ( sijui nayo hii kama ni Sinza).
Nisiwachoshe sana, niende moja kwa moja kwenye point ya msingi...
Mimi ni mdau natokea Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, naishi hapa makao makuu ya Wilaya, Mjini Mhanuzi.
Sisi Wananchi wa makao makuu ya Wilaya hapa Meatu Mjini Mhanuzi, tunayo mashaka makubwa na...
Habari njema Matajiri Wawekezaji,
Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
Baada ya kikao cha Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda ametembelea ubalozi wa Tanzania nchini...
Taasisi na Idara mbalimbali Mkoani Arusha zimeendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoani humo katika kupambana na uhalifu ambapo Idara ya maji na Benki ya Crdb wametoa vifaa vya Tehama katika...
Tangu uhuru, Tanzania imekua na Viongozi wengi ambao si wajenzi wa taifa, ni wasuluhishaji wa MATATIZO ma mambo kisiasa na kuacha mianya kesho mwingine aje ale.
Barabara zinajengwa hazimalizi...
Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila...
Serikali imerejesha rasmi utaratibu wa Mikopo isiyo na riba ambayo ilikuwa inatolewa Kwa makundi maalumu kwa lengo la kuwainua Kiuchumi.
Awali mikopo ilisitishwa baada ya maafisa wa Serikali...
Wakuu habari zenu Leo Niko hapa kuongelea kuhusu natural death
VIFO ambavyo binadamu tulipaswa tufe ni kutokana na kuuzeeka au magonjwa
Ila aina zingine za Vifo zinaletwa na ujuaji wetu Ujanja...
Mwanaume unawezaje kujenga kwa mkeo yaani kujenga nyumba nyumbani kwa mkeo wakati kwenu kunavuja?
Unawezaje kuhudumia familia ya mkeo wakati wewe familia yako hakuna wakuhudumia?
Unawezaje...
Kumekuwa na changamoto ya kununua LUKU kupitia mitandao ya simu.
Ukinunua hupati token na wenye mitandao wanajua kuna shida kwasababu ukiwapigia wanakiri. Lakini bado unakatwa pesa!
Kwa nini...
Uongozi wa chuo wajibikeni kwa hili au mamlaka husika wasaidieni watoto na wazazi walionza fika to wiki iliyoisha hakuna malazi kama vile mahali pa kupata chakula.
Uongozi wa chuo wajibikeni au...
Kijana Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu kwa jina la Chuma Cha Chuma ambaye ni Raia wa Burundi, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam leo Novemba 05,2024...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.