Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ni miaka 10 tu imepita tangu mji huu maarufu kama Geneva of Africa utangazwe kuwa jiji. Kutoka kuwa mji wa 9 kwa wingi wa watu hadi kuwa mji wa 3 kwa sensa ya mwaka 2012 na halmashauri ya jiji ya...
20 Reactions
448 Replies
33K Views
Mama mwenye watoto tisa, Bi.Honga Shija (45) mkazi wa Kijiji cha Majengo Kata ya Upendo Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya, amejeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili wake kwa kupigwa na watu wanne, mume...
0 Reactions
12 Replies
734 Views
Vyoo vya upande wa juu yanakotokea mabasi katika Stendi Kuu ya Mabasi Singida maarufu kama Stendi Mpya (vyoo vya kiume) havifai jamani..... ni vichafu vinatia kinyaa. Ushuru tunaolipa getini na...
2 Reactions
7 Replies
578 Views
Iko hivi wazee sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu. Sasa lengo langu ni kufika 🇧🇼Botswana. Nina mwenyeji hapo atanipokea. Sasa je, naweza kupita vini na ni njia ìpi rahisi na bajeti ni...
6 Reactions
56 Replies
3K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Desemba 19, 2024 kuanza kusikiliza ushahidi katika kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha umma, inayomkabili meya wa zamani wa...
2 Reactions
2 Replies
273 Views
Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana...
62 Reactions
488 Replies
12K Views
Sijui Hilo wazo alilitoa nani, ni wazo la kijinga kupindukia. Nani asiyejua Halmashauri zetu zilivyo?. Mdogo wangu ananipigia simu, Brother Kuna MTU hapa ananilazimisha mapenzi ndio Sasa...
0 Reactions
6 Replies
514 Views
Wakuu..Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri. Hii ni changamoto kwa utumishi...
1 Reactions
4 Replies
808 Views
Habari wanaJF, wajuvi wa mkoa wa Mtwara, samahani, ningependa kufahamu kodi za fremu Mtwara, haswa kwa biashara ya nguo za kiume au kike, ningependa kujua kwa yale maeneo yenye mzunguko mkubwa...
1 Reactions
2 Replies
147 Views
Rais naskia ametangaza majengo yote ya eneo la Kariakoo yafanyiwe uhakiki. Japo sijaithibitisha hii habari niliisikia tu juu juu kwenye mitandao. Uhakiki wa majengo ni jambo zuri mno kwasababu...
2 Reactions
3 Replies
425 Views
Hii taarifa imeniumiza sana jamani kwa ukatili huu ambao baadhi ya watu wanaendelea kuufanya kwa watoto. Yani kisa 200 unathibutu kumchoma moto mtoto. Au wanabifu na mama wa mtoto huyo...
-1 Reactions
18 Replies
697 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni wenye ilimu mtupe elimu
0 Reactions
3 Replies
367 Views
Wakuu Baba Levo anaiota Times Square huku! Mtangazaji wa Wasafi Media, Baba Levo, ametoa maoni yake kuhusu majengo ya eneo maarufu la Kariakoo jijini Dar es Salaam, akisema kuwa hayafai kuwepo...
9 Reactions
20 Replies
1K Views
Jamani mambo yanatisha unyama unaofanywa na baadhi ya watu. Sasa mtoto mchanga kabisa hii ni wazi ni imani za kishirikina tu zimefanyika na kutumika kwenye haya mauwaji! =============== Mtoto...
2 Reactions
6 Replies
361 Views
Kwa faida ya wengi Imeonekana hasa hapa kwetu Tanzania watu wanashindwa tofautisha kati ya uislamu na uarabu. Islam ni dini na Uarabu ni race tu au kundi tu la jamii ya watu hao toka nchi hizo za...
17 Reactions
174 Replies
16K Views
Alex Massawe, mtu maarufu sana Tanzania, ameamua kusilimu baada ya kuyafahamu mema ya Uislam kupitia kwa mwanawe ambae alikuwa Amesilim kabla yake huko nchini Afrika Kusini. Allahu Akbar.
40 Reactions
262 Replies
22K Views
Ni kweli serikali inazo baadhi ya shule ambazo zinatumia lugha ya Kingereza kufundishia? Nimewahi kuona mjadala ukisema Olympio primary school iliyoko Dar es Salaam na ambayo inatumia lugha ya...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye. Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
21 Reactions
281 Replies
14K Views
Tumemaliza ibada ya kumuaga rafiki yangu kipenzi, jamaa kamaliza MD moja ya chuo kikuu hapa jijini, kaja mtaani wakati anasubiria ajira, akaamua ajishikize kwenye Bajaj, Jana saa moja usiku kwa...
32 Reactions
125 Replies
4K Views
Back
Top Bottom