Samwel Anthony (34) mkazi wa kijiji cha Shilima wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 8.
Hukumu hiyo imetolewa jana tarehe 20...
Wadau kuna mwamko mkubwa sana sasa hivi wa vijana kupenda kufanya mazoezi barabarani, tena barabara kuu kiholela🙆🏾♀️
Hili siyo sahihi na ikitokea bahati mbaya lori likapoteza brake maafa...
Katika kata ya Ubungo Makubuli baadhi ya vijiji vyake ikiwa Kibangu, Wanaichi kwa wiki tatu sasa wamekosa huduma ya Maji kutoka DAWASA hivyo kupata shida na kuhofia mlipuko wa magonjwa na hawana...
Kumekuwa na shida sana kwenye Namba za Huduma kwa wateja kwenye baadhi ya Wizara za Serikali, kama namba ya huduma kwa wateja Wizara ya Ardhi , mwananchi unapata shida ili upige simu upate msaada...
Machinjio ya Kimara yanatupa wakati mgumu majirani. Maji yanoyotiririshwa kwenye mitaro yanafanya uchafuzi
wa hali ya hewa.
Serikali iangalie upya suala hili
TAARIFA YA TUKIO KUBWA KWA KIREFU
KGD/IR/4422/2019
KOSA MAUAJI
MTOA TAARIFA NI SP THOBIAS WALELO MKUU WA UPELELEZI WILAYA YA KIGAMBONI
Anaeleza kuwa mnamo tarehe 15.07.2019 majira ya saa...
Wakuu, poleni kwa janga la Kariakoo. Mungu awarehemu waliotangulia, majeruhi wapate nafuu mapema na ambao bado wapo katika kifusi wapate kuokolewa wangali hai, Amen!
Kama mtakumbuka vyema...
Nilikuwa natafakari hali ya maisha hapa nchini. Siku moja nilisoma mitandaoni kwamba kuna polisi kule Mtwara alijinyonga baada ya kutuhumiwa mauaji ya mfanyabiashara mmoja.
Nimewahi kusikia...
Habari za usiku wakuu! Kuna mtoto wa miaka 10 amekutwa amejinyonga chumbani kwake hapa Buguruni.
Maelezo ya kina hayajapatikana ila kwa maelezo ya awali ni kwamba mtoto katoka shule mida ya saa...
MFANYABIASHARA Khamis Luwonga (38), anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mavili ya mkaa, amedai katika maelezo yake ya onyo kuwa kichwa cha mkewe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili Kariakoo muda huu kwa ajili ya kujionea hali halisi ya zoezi zima la uokoaji ambao unaendelea na kuzungumza...
Kwa nini watoto hulia?
Naamini kwamba tukiwachukua akina mama kumi wenye watoto wadogo na kuwauliza ni sababu zipi zinazopelekea watoto wao kulia watataja vitu kama; njaa, kutaka kunyonya...
Tokea ajali itokee mmefunga mitaa karibia minne hadi sehemu ambazo zipo mbali kabisa na ile ajali mmewaamrisha watu wafunge maduka.
Ni kweli tunamajonzi kuwapoteza ndugu zetu ila kazi lazima...
Copy and Paste kama ilivyokutwa;
"Moyo wangu unavuja damu kuhusu binti yangu wa kwanza Maria Izidory Petro ambaye alikuwa anasoma Chuo, Institute of Tax Administration kilichoko Dar es Salaam...
Kwa Tanzania naamini kabisa Tunaweza tukapata https://www.jamiiforums.com/threads/wazo-huru-ppps-ya-tanesco-na-wamiliki-wa-nyumba-tanzania-133-2-gigawatts.2265053/']Nishati kwa Bei nafuu bila...
Tabia ya kuwa na hasira,hii ni tabia ambayo baadhi yetu tunayo,inaweza kukuondolea kujiamini wewe binafsi,na unaweza kuwafanya watu wawe mbali na wewe
Tabia ya kuwafikiria wengine vibaya,yani...
Kiukweli kuna sehemu nimesafiri na nimeshangazwa sana na ukosefu wa watu, hasa huko vijijini hakuna vijana kabisa, vimebaki vizee vizee tu visivyo na mbele wala nyuma, na hata mijini, kwenye hii...
Naipongeza serikali ya Tanzania kwa jitihada ilizoonyesha kwenye janga la wafanyabiashara wa kkoo wamejitahidi sana nawapongeza kwa hilo ila baadhi ya vitu haviko sawa:–
Majeruhi wa kkoo hawako...
CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kupitia Kituo chake cha Kikanda cha Umahiri katika Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usafiri na Usalama Barabarani Zanzibar (ZARTSA) kimetoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.