Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
1. Taarifa aliyoitoa Makonda kwa waandishi wa habari kwenye utoaji wa ripoti yake ya miezi 6. Katika kujibu tuhuma anazorushiwa na Tundu Lissu, Makonda alijikuta akitueleza ni vipi Kuna vikao...
1 Reactions
20 Replies
970 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa, amesema licha ya kufungua milango ya ushirikiano kwa Wadau wa Sekta ya Habari kuifikia ofisi yake wakati wowote...
0 Reactions
2 Replies
210 Views
Kwenye dunia ya sasa, watu wanatumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii. Kutoka Instagram, TikTok, hadi Twitter, mitandao imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Lakini siyo tu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Dakatari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof.Mohammed Janabi ameendelea kutoa Elimu ya Lishe na Kinga ya Magonjwa ya Moyo na kisukari...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Januari 2023 Mfanyabiashara Gautam Adani ambaye ni mmiliki wa Kampuni za ADAN GROUP alijikuta akiondolewa katika orodha ya Matajiri wakubwa duniani baada ya thamani ya utajiri wake kushuka kwa...
1 Reactions
2 Replies
453 Views
Tuliahidiwa malipo ndani ya week mbili sasa inaenda miezi, huku ukitoa mapesa kwa taifa stars, roho inatuuma sana, na sisi tukumbuke. Pia soma - KERO - NRFA lipeni wakulima wa mahindi kwa wakati...
1 Reactions
15 Replies
488 Views
Aisee yani ni watu wanajibizana na boda boda duuh Yani vruuuuuuuu.... Tangia asubuhi!!!!!!
2 Reactions
3 Replies
248 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) kwa mamlaka aliyopewa kwa mujibu wa Sheria ya Mashirika ya Umma Na. 2 ya mwaka 1992 ameivunja Bodi ya Kampuni ya...
0 Reactions
2 Replies
447 Views
Habarini ndugu, Nimekuwa nikifatilia mara nyingi sana mtu unaweza kuletewa hata kuku 10 kama zawadi na ukaamua kuwafuga katika banda la hovyo tu ajabu ni kwamba watazaliana ingali huwapi chakula...
15 Reactions
35 Replies
1K Views
Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc imetembelea soko la Makumbusho jijini Dar es Salaam kutoa elimu na kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu utapeli wa kimtandao. Zoezi limefanywa kwa lengo la kuwasaidia...
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Serikali ya Tanzania inafanya mazungumzo na Adani Group ya India na Gridworks Development Partners ya Uingereza kwa ajili ya kuingia ubia wa uwekezaji katika Mradi wa Umeme kwa Dola Milioni 900...
3 Reactions
55 Replies
5K Views
Habarini familia ya JF; Poleni na Musiba na Majanga ya Kariakoo. Naomba kujua Mimi niko na Namba za NIDA Muda mrefu sana ila sina kitambulisho cha Nida Sasa kinatakiwa haraka kuna mtu Kaniambia...
1 Reactions
11 Replies
540 Views
"Ni kweli nilimuua Happiness na nilimuua Kigamboni mji mpya nyumbani kwetu kwenye chumba ninacholala,” hii ni sehemu ya maungamo ya muuaji wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), Happiness...
20 Reactions
127 Replies
12K Views
  • Closed
Kama hutaki uislam unataka nini tena wewe? Maisha ya Waislamu peponi, kwa mujibu wa Qur'an na Hadithi za Mtume Muhammad (SAW), ni hali ya furaha, amani, na starehe zisizo na kifani. Pepo...
14 Reactions
83 Replies
3K Views
Historia bwana tamu sana. Leo wakati natazama vintage mwadada Palki akanirudisha mwaka 2007, ambapo hamas ilishinda uchaguzi na nchi zote zikakataa kutambua serikali yake isipokuwa Turkey na...
1 Reactions
1 Replies
181 Views
Once again, Msasani Village tùmepatwa na pigo kubwa. Huu ni mfululizo wa vifo vya kaka zetu, dada zetu na baba na mama zetu. Leo nasikitika kuujulisha umma juu ya kuondokewa ña mzee wetu Pius...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, mi Ni mfanya biashara mdogo Ila nmefanikiwa kupata mtaji , Sasa nimeanza ku-import bidhaa kutoka ulaya. Leo nlikuwa natuma pesa kwenda Barcelona-spain kwa njia ya T/T(telegraphic...
10 Reactions
32 Replies
1K Views
Habarini, Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ofisi za serikali hasa naadhi ua ofisi za TRA kupokea barua na kukataa kugonga mhuri wa received kwenye barua ya pili anayobaki nayo mteja kwaajili ya...
1 Reactions
4 Replies
309 Views
Kwanza natanguliza salamu za pole kwa wapendwa walioangukiwa na ghorofa siku ya leo eneo la Kariakoo. Mungu awafanyie wepesi wapone haraka warudi kwenye majukumu yao ya kujitafutia kipato na...
17 Reactions
63 Replies
3K Views
Mkuu wa Wilaya ya Ileje Mkoani Songwe, Farida Mgomi ametoa rai kwa vikundi vya maendeleo vilivyonufaika na mikopo ya Asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri kuitumia mikopo hiyo kwa matumizi lengwa...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Back
Top Bottom