Katika nyakati tofauti Apostle Mtalemwa alitoa unabii juu ya maafa yanayoweza kutoka Kariakoo na ilikuwa 21/ 1/ 2024 na alisema hivi kutakuwa na dibeti wakandarasi wafanye hivi wafanye vile is...
Tunatoka mwaka 2023, tunaingia mwaka 2024. Huu ni mwaka ambao hao watawala wa dunia hii wanakwenda kufanya mambo makubwa sana, wanasema haijawahi kutokea. Kutakuwa na matukio makubwa ya vifo, hasa...
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa, katika ajali ya gari lililokuwa safarini kutoka Jijini Dar es Salaam kwenda Mji wa Tunduma mkoani Songwe kwa ajili ya mazishi ya Neema...
Nimeshanganzwa na makato mapya toka bodi ya mikopo kwa mshahara uliopita na Kwa watu wengi tu wamekatwa ambao walishalipa tayari sijui tukapewa na certificate of nini ?.
Nolipojaribu kuwasiliana...
Wakubwa baadhi wenye vyeo Walevi wa Madaraka Wabinafsi wanapanga safu. Wanatutemea mate kwa kusigina ilani, katiba, kanuni, miongozo na taratibu za Chama. Wanaweka viongozi walio kinyume na...
Unaweza kucheza na vyote lakini sio msiba.. Misiba Afrika ni kama mila na desturi.. Ni utamaduni wenye nguvu bado
Kuna muunganiko wa ajabu na wenye nguvu sana kwenye mila na desturi za Kiafrika...
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda...
Kwema Wakuu?
Niko mahali hapa nasikia taarifa zisizo njema kuhusu huyu Mzee, zina ukweli wowote?
=====
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini Boniface Kikumbi Mwanza...
Usiweke kipaumbele kwa Maisha ya watu wengine Jinsi unavyo Mjali Binadamu ndivyo Atakavyo kudharau na kukupuuza siku zote za Maisha yake.
Njia nzuri ya Kuishi na wanadamu ni Kuishi nao kwa...
Waganga wa kienyeji hutumia miiko kuwaibia wateja wao.
Kwa upande wa Pwani waganga wengi wa kienyeji ni mashehe au maustaadhi.
Wachunaji au wachungaji matapeli hutumia miujiza.
Vyote viwili...
Basi la VIP Dar kwenda Arusha inakuwaje muhudumu wenu ajipulizie Manukato wakati ndani ya gari kuna air conditioning na madirisha yamefungwa.
Ni usumbufu Kwa abiria na wengine Wana matatizo ya...
Maagano ya Ukoo Yalitoka Wapi
Chanzo cha maagano ya ukoo kwa kifupi
Katika biblia, Yohana 8:36 inasema, “Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli”
Hebu tujiulize, ni kwa nini Bwana...
Rais William Ruto, amesema amekuwa akipokea malalamiko kutoka kwa Watoa Huduma za Simu nchini humo tangu Serikali iliporuhusu uwekezaji wa kampuni ya #Starlink inayotoa huduma za Intaneti kwa njia...
Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango amefariki Dunia leo Novemba 9, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India.
Rais Samia Suluhu Hassan ameandika katika Mitandao yake...
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Kaskazini, Bw. Cosmas Saadat (kushoto) akimkabidhi msaada wa Madawati, Meza na Viti kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Babati mjini Bw Shabaani Mpendu (kulia) kwa...
Unamkumbuka yule aliyekuwa mvuvi kijana Majaliwa aliyeokoa wahanga wa ajali ya ndege ya precision.
Baada ya lile tukio alipelekwa kwenye mafunzo ya kijeshi kikosi cha uokoaji.
Sasa hii ajali ya...
Habari ndugu wanajamvi.
nitoe pole pole za dhati kwa watanzania WOTE ,kutokana na msiba na janga La kuanguka kwa jengo La kariakoo.
Baada ya pole hiyo, nipende kutoa malalamiko YANGU kwenda...
Mfanyabiashara maarufu Jennifer Jovin, anayefahamika kama Niffer, ametoa majibu yake baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, kumtaja katika hotuba yake ya hadhara...
Katika akili yangu sijawahi kuamini uwepo wa uchawi
Lakini kila nikijaribu kukumbuka baadhi ya matukio mbali mbali ambayo nimewahi kushuudia na kuona katika maisha yangu kunanifanya niwe na...
TAMISEMI, hapa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni kuna madudu, tafadhali chunguzeni hawa wafanyakazi wenu.
Huu ni mwaka wa 4 sasa nafuatilia malipo yangu sipati ushirikiano wowote toka kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.