Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mnunuzi nyumba za Said Lugumi za mbweni JKT zimeuzwa kwa Dk. Luis Shika, moja amenunua kwa sh900 milioni na nyingine kwa shilingi bilioni 1. ************UPDATE************* Taarifa kutoka YONO...
12 Reactions
545 Replies
98K Views
Katika hali isiyokua ya kawaida mwananchi wa sengerema amejikuta mikononi mwa polisi kwa kitendo chake cha kuidai serikali huduma ya maji,hii imetokea baada ya kuwataja viongozi wa serikali hasa...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameipongeza Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa jitihada za kutangaza vivutio vya utalii nchini...
0 Reactions
1 Replies
189 Views
Makamu wa Rais wa Kampuni ya AngloGold Ashanti anayeshughulikia Mahusiano na Maendeleo Endelevu Afrika, Simon Shayo amesema kwamba kampuni hiyo ipo katika mazungumzo na Serikali kupitia Benki Kuu...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
RC Mtanda piga kazi usiyumbishwe na maneno ya wakosaji sisi ambao tunakufahamu tunajua wewe sio mtu wa maneno ni mtu wa vitendo kwanza haupendi uonevu wewe unajali kuwaletea maendeleo wananchi tu...
2 Reactions
7 Replies
314 Views
Mikoani mmepoa sana,kuna mikoa ikifika saa tatu huwezi kuona mtu nje,still wanaamka saa moja, mnakuwa mbafanya nini ndani muda wote. Saa sita za usiku DSM kuna watu ndio wanajiandaa watoke Saa...
36 Reactions
171 Replies
4K Views
VICHWA VYA HABARI VYA KESHO>>>> Hali ni tete zanzibar,mchungaji mwingine apigwa risasi na kufariki. Chuki za kidini zaondoa uhai wa mchungaji. Uamsho wafanya mambo,wahusishwa na kifo cha...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Hivi kipi ni kipimo sahihi cha mafanikio??!! Kati ya MTU mwenye Pesa nyingi sana au MTU mwenye Elimu ya juu sana??!! Je,ulishawai kukutana au kufundixhwa na walimu matajili wangapi??!! Au...
1 Reactions
57 Replies
6K Views
Tangu niokoke moyo wangu umejaa amani ambayo hapo awali sikuwa nayo. Wala sina tena wasiwasi kuhusu ya masuala yajayo. Naona kabisa nimejaa matumaini mapya. Hisia zinazotokana na nguvu za giza...
8 Reactions
11 Replies
290 Views
Mwaka 2019 benki kuu ya Tanzania Ilitengeneza kanuni za kuwalinda walaji wa huduma ndogo za fedha zikiitwa BANK OF TANZANIA FINANCIAL CONSUMER PROTECTION REGULATION,GN 884 2019, lengo la kanuni...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Aslaam Wahenga walisema elimu haina mwisho, ni kweli kabisa elimu haina mwisho, haina mwisho, haina mwisho. Imekuwa kawaida katika Maisha watu hupenda na kutaka kufanikiwa lakini cha ajabu ni...
1 Reactions
0 Replies
154 Views
Mungu amekasirika Mungu hajafurahishwa na hili jambo mmelifanya. Tumepatwa na majanga watu wamekufa leo waziri anatangaza Rais ametoa 700m kwa ajili ya ushindi wa Taifa star ndugu zangu hili...
14 Reactions
33 Replies
1K Views
Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri. Kwa mbali naskia "Swalah Swalah Kitanda chako ndio kaburi lako Usingizi wako ndio kifo chako Shuka lako ndio sanda yako" na maneno...
65 Reactions
196 Replies
11K Views
ACT Wazalendo, kupitia taarifa yetu kwa umma ya tarehe: 08/11/2024, tuliitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuweka, hadharani gharama zote za matengenezo ya Viwanja vya Amani na Gombani...
1 Reactions
3 Replies
410 Views
raraa reree tangu nijiuge JF Toka mwaka 2013 kipidi hiko bado napanga Mwananyamala. kuna watu humu JF kupata like yake tu moja tu hadi uombe Yesu, baada ya majukumu kuwa mengi sana sina mda tena...
70 Reactions
142 Replies
3K Views
Ni hali iliyonishangaza kweli..! yaan maghorofa ya kisasa kabisa yanajengwa na hivyo kubadilisha kabisa mandhari ya Tabata 1.) Greenlight hotel- hii ni hoteli ya ghorofa saba, kwa kweli...
9 Reactions
111 Replies
23K Views
Askofu William Mwamalanga, Mwenyekiti wa Kamati ya Maaskofu na Mashekhe ya Maadili ya Dini Tanzania, amewataka viongozi wa dini waliopokea fedha kutoka kwa Rais kuzirejesha, akiwataka kuiga mfano...
1 Reactions
8 Replies
631 Views
Kuna hii hali mtu unapaanda gari mwendo kasi una haraka zako unakuta gari ya express unaamini itakusaidia kuwahi unapoenda basi abiria wanasogea kwa dereva kuomba msaada vituo vyo ambavyo havipo...
6 Reactions
9 Replies
447 Views
Nashangazwa na hii mijitu kutwa kuzurura kwenye korido za vyuo vikuu yaani nawaona mburula balaa but mbaya zaidi wakimaliza kutwa kuzunguka na baada bahasha la kaki kutafuta employment au wengine...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom