Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hapa nazungumzia nyanja za mafanikio kwa sisi wasakatonge, nimezaliwa Moshi-kilimanjaro nimezunguka pande Nyingi za Tanzania Lakini dar-es salaam ndio Kila kitu kwa mtu ambae ana chachu ya...
16 Reactions
68 Replies
7K Views
WKuu Nina kijana yuko form 3 anaingia form four. Sasa majina anayotumia jina la katikat siyo sahii nataka nibadili.Shuleni walidai haiwezekani. Je utaratibu wa kisheria ukoje
3 Reactions
52 Replies
1K Views
Katika harakati binafsi za kuunga mkono na kupongeza, juzi nilipata changamoto. Mtoto wangu wa kiume aliniletea wajukuu zangu mapacha wa kike na kiume. Kwa heshima na kumhusudu doktari Samia...
3 Reactions
6 Replies
298 Views
Habari wakuu, Katika Maisha yangu yote hakuna chakula ambacho Sili Ila kuanzia mwezi huu nimeona maajabu Nimejikuta siwezi kula chochote chenye asili ya Roho naona kama nadhurumu nafsi ya...
8 Reactions
41 Replies
1K Views
Leo nimekuja na swali langu kwa wana JF wale wa Earth is around, ninataka mnipe jibu la swali langu JE, DUNIA NI DUARA? Kama dunia duara kitendo hiki kinaitwaje au kinaeababishwa na nini? Je...
3 Reactions
81 Replies
1K Views
Wakuu hapa unapoona ni jiji Mwanza! Yaan Mwanza jiji mtu anaishi na mang’ombe nyumbani. Mtaani yaan ukipta hapo furu kunuka.
2 Reactions
23 Replies
863 Views
𝗡𝗗𝗜𝗭𝗜 𝗜𝗟𝗜𝗬𝗢𝗨𝗭𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗚𝗛𝗔𝗥𝗔𝗠𝗔 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 Nadhani sote tunaijua ndizi au tunaweza sema banana kwa kiingereza kitaani kwako na kwangu uwa ndizi Moja inaweza kuuzwa kuanzia Shilingi 100, 200 au 300 sawa...
2 Reactions
9 Replies
386 Views
Ilianzia njia nne kuelekea Madale bar zimepangana kila nyumba mbele bar na zote zimejaa magari ya maana na watoto wazuri huku mziki mkubwa wa bendi na vijana na nyingi hukesha aka night club...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari za weekend wakuu, Kwanza niseme wazi Taifa lisilojari wazee basi Taifa hilo limelaaniwa na haliwezi kubalikiwa. Wengi kama mnavyofahamu wazee wa iliyokuwa jumuiya ya Africa Mashariki kwa...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Moja kwa moja.. Ukichunguza kwa makini vitu vikubwa vinavyongaliwa majumbani kwenye Tv ni tamthlia , movies na miziki na ndani ya hivyo vitu miongoni maudhui makubwa ni; 1. MAPENZI : humo...
12 Reactions
20 Replies
775 Views
https://www.instagram.com/reel/DCoi3G8C6Yl/?igsh=bWN5bnlwejNxYmsy
3 Reactions
47 Replies
2K Views
Leo tarehe 22.11.2024 Chuo cha Kodi (ITA) kimefanya mahafali ya 17 ya chuo hicho. Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Bw. Elijah Mwandumbya ambaye...
1 Reactions
1 Replies
186 Views
Shalom, Ifahamike kuwa ndani ya Bunge la Tanzania kuna wabunge wa Hovyo Sana ambao elimu za za darasa saba, na form 4 za hovyo tu. Hawa wabunge kinara wao ni yule Mbunge mpumbavu ambae amenunua...
5 Reactions
21 Replies
846 Views
Mpumbavu ndio atakae kuwa controlled na applications za simu. Mpumbavu ndie atakae weka maisha yake rehani kwa ajili ya umaarufu na kushobokewa kwenye mitandao. Mitandao imelalamikiwa sana...
2 Reactions
1 Replies
186 Views
Je unakubaliana na Infropreneur
19 Reactions
169 Replies
3K Views
Hakika umeshawahi kuwaona walimbwende hawa wakiwa wamependeza, watanashati, warembo na kutembea mwendo wa madaha ndani ya ndege ama treni. Achana na hawa wa mabasi wapakua mzigo na walegeza sauti...
1 Reactions
5 Replies
305 Views
Wadau habarini, Mimi ni mwalimu katika moja ya vituo binafsi vya mitihani kwa private candidates (Mufindi DC). Tuna wanafunzi wa kike waliokuja kwa programu maalumu ya serikali (SEQUIP) ambao...
0 Reactions
1 Replies
236 Views
Walimu na wafanyakazi Shule ya Sekondari ya Meta, iliyopo mkoani Mbeya, inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, wamegoma kuendelea kufundisha na kuwasimamia mitihani...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Baadhi ya waislam siku kama ya Leo saa 7 wapo ktk vikao badala ya kwenda msikitini . Saa 7 vikao visitishwe Vikao virudi tena saa 8 mpaka usiku wa manane Baadhi ya mabosi huanzisha vikao siku kama...
13 Reactions
72 Replies
1K Views
Hapa nadhani ndugu zanguni tupambane ipatikane mahakma ya kadhi. Misikitikini au tuangalie namna ya kuchangishana pesa.after all wafanyabiashara wengi wakubwa ni waislamu. Kweli watashindwa ilipia...
1 Reactions
7 Replies
273 Views
Back
Top Bottom