Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa na sifa nyingi za kipekee ambazo zimekuwa mfano wa kuigwa kwa Waislamu na wanadamu wote. Baadhi ya sifa zake kuu ni:
Uadilifu na Uaminifu (Al-Amin)
Mtume Muhammad...
dah namkumbuka sana mzee wetu magufuli na hiki kicheko chake
yaani akicheka sehemu asbh kuna mkeka mtu kapigwa chini
wakati anacheka unaweza hisi amefurahia weweeeeeee naijua ilee
pumzika kwa...
Siku moja nilimsikia Mzee mtu mzima mwenyeji wa Tegeta akieleza jambo alilolishuhudia miaka ya 1980 mwishoni, ambapo watu wengi wa maeneo ya usawa wa beach ya Ununio-Dar es salaam, Tegeta, Boko...
Ni wazi kuwa BRELA imefanya kazi kubwa katika kusaidia usajili wa majina ya biashara na kampuni hapa Tanzania, lakini changamoto ya mtandao wao kusumbua inazidi kukatisha tamaa wengi, hasa nyakati...
Habari wana-JF imebidi niandike huu uzi maana nimepata mashaka na usalama wa taarifa zangu kwenye hii huduma ya AzamPesa.
Leo asubuhi nilijiunga na huduma ya AzamPesa kwa lengo la kuanza kutumia...
Habari wakuu,
Naplan kwenda Dubai December, tuko watu 3.
Naitaji msaada wa watu ambao wanauzoefu na safari za Dubai
Napenda kujua ishu za nauli, Visa, Malazi na kwenda kule kwenye jangwa.
Kwa...
Mwezi uliopita nilienda Airtel shop kununua router kwa ajili ya internet. Nilipewa options mbili nipewe router bure na niwe nalipia kifurushi 110,000 kila mwezi au ninunue router 200,000 alafu...
Ukiondoa maisha ya unga mwana niliyonayo kitu kingine kinachonipa msongo wa mawazo ni kutokuishi Dar es salaam. Nilikuwa nikisikia na kushuhudia watu wameacha kazi kisa tu wamepangiwa vituo vya...
Yes, nasema ushamba kwa sababu gani kukaa Dar es Salaam si kuwa uko mikoani hakuna watu ambao hawaijui hiyo Dar si wazawa ila kutokana na mihangaiko ya maisha wanajua chocho zote za Dar
Wanajua...
Mimi nafanya kazi Butiama katika Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere, wakati wa kuajiriwa, Watumishi wengi tulinunua maeneo karibu na eneo ambalo Serikali ilitazamia kujenga chuo.
Bahati nzuri...
Niliziba jino miaka mitatu iliyopita, kama week tatu hivi zilizopita likaanza tena kumeguka zile sehemu zilizokua zimezibwa, baada ya siku kama tatu likaanza kuuma, nikaanza kutumia dawa za asili...
Hiki kifaa kinatumika wakati wa majanga ya watu waliofukiwa kwenye kifusi au maji ku-scan na kujua walipo. Hiki kifaa TZ haina na kinauzwa milion 10 tu. Ila Samia katoa milion 700 za pongezi kwa...
1.Hiv kumbe nchi ya marekani walikuwa na pesa za sarafu..na je bado wanatumia pesa za sarafu (coin) mpaka miaka ya leo? Na kama zipo ni kuanzia bei ipi?
Kuna sarafu nimeishika leo ni quarter...
Like seriously mimi bora nipambane uso kwa uso na Simba au Chui lakini sio Nyoka, kwanza nikimuona tu mwili wote nahisi umepigwa ganzi.
Haya mdau na wewe mbabe wako yupi?
Mwisho wa mwaka huu kila mtu anapambana kutimiza majukumu aliyoyapanga mwanzoni mwa mwaka.
Nimekutana na "special hire" zikiwa na maiti toka wiki iliyopita huko njiani, kama zote, pamoja na zile...
Mwanaharakati Renatus Mkinga afariki, alikuwa mjumbe wa bodi ya Tasac iliyovunjwa na mama Samia mwezi uliopita.
Source: TPA
=========
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TPA Bw Renatus Mkinga...
Haya mambooo yanachangiwa na ma eng wa manispaaa na wanaotoa vibali halmashauri
Wamechangia vifooo vngi sana kwa ndugu zetu hawa
Unajiuliza leo hii zinasambwaza taarifa fb wamiliki wamesafiri...
Habari Zenu,
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam na ni mtumiaji wa barabara ya Bagamoyo Road. Kila siku napita kwenye barabara hii kwenda katika majukumu yangu ya kila siku, lakini aisee, mataa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.