Wazazi tunapishana kweli niko gari la Goba nyuma kabisa naona katoto ka shule kanachat
Nakauliza umetoka shule ndio darasa la ngapi form 2.
Unaruhusiwa kuwa na simu shulen ndio nawekaga silent...
Huyu jamaa licha ya kwamba alikuwa akifanya kazi private lakini alisimama kidete kuwatetea madaktari wanaofanya kazi serikalini mishahara ipande.
Kama madaktari wangekaza mpaka sasa mshahara wa...
Moja kati ya silaha kubwa sana ya wanasiasa kuwabakiza madaraka pale mambo yao yanapoenda kombo basi huwa ni jeshi la polisi.
Polisi ukiondoa yale mavazi yao na wao ni wananchi wa kawaida tu...
Kwema wakuu
Hali ya maisha imekuwa ngumu, imenibidi niingie google chapu kuangalia namba yangu ya bahati labda ntatoboa
Ila nilichokutana nacho nimepagawa nikasema nije nililete kwenu wakuu...
Maeneo ya Buza, hususan Mwembeyanga, yamegeuka kuwa kitovu cha changamoto kubwa za kimazingira.
Mtaro wa maji machafu unaoanzia Mwembeyanga hadi karibu na Kituo cha Daladala cha Usalama...
Kwa siku za karibuni kumekuwa na tabia kwa wanasiasa kuanza kuingilia uhuru na haki yetu ya kuchagua maisha ya kuishi na ambayo hayavunji sheria za taasisi yoyote.
Kutokana na...
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa.
Mimi kama mwandishi wa habari, ni muelimishaji umma, ukiona jambo zuri la jamii fulani, waelimishe na wengine wafuate.
Hii...
Bibi mmoja aliyefahamika kwa jina la Anna amefariki dunia Septemba 3, 2024 akiwa na miaka 132 ambapo mamia ya watu wamekusanyika kumuaga katika Kijiji cha Huruma eneo la Uru Kaskazini – Moshi...
Dawa za kulevya zimekuwa tatizo kubwa linalohatarisha ustawi wa taifa letu. Athari zake hazijaathiri tu watumiaji binafsi bali pia jamii nzima. Uporaji wa ndoto na maisha ya vijana, kuzorota kwa...
Na mwandishi, Manyara.
Taasisi isiyokua kiserikali ya Mati Foundation yenye lengo la kusaidia jamii ,wahitaji na makundi maaalumu ikiwemo wenye ulemavu iliyoko chini ya kampuni ya Mati Super...
Ndio maana tunaambiwa tusijenge mazoea.
Nakumbuka hawa vijana walifanikiwa kutengeneza Drama kama hii mwanzoni na Diamond akafunga safari hadi Zanzibar kwenda kumuomba Zuchu msamaha wakati ana...
1. Dhamana za muda mfupi zinaitwa Tresury Bonds au T bills✅
2. Ni uwekezaji kama wa hisa✅
3. Hazina kodi ✅
4. Huwezi chukua muda wowote✅
5. Zinauzwa siku maalumu✅
6. Ni za serikali siyo...
Hili ni suala linalogusa hisia za wengi, hasa inapokuja kwenye uwajibikaji wa serikali na tija ya Tume zinazoundwa mara kwa mara. Ni kweli kuwa Tume zimekuwa sehemu ya utamaduni wa kushughulikia...
Wakuu, kupitia uzi wangu wa UTT nimejifunza kuhusu T bills au Dhamana ya serikali za muda mfupi.
Ninachojua ni Mnada kama wa fedha!
MWENYE UJUZI WA DHAMANA YA MUDA MFUPI ASHUSHE NONDO...
Sanaa yenyewe hii hapa
Mnada mmoja huko New York, Marekani, umeuza Sanaa iliyopewa jina la Comedian. Kazi hiyo ya sanaa imetengenezwa na msanii Maurizio Cattelan, na imeuzwa kwa dola za...
Watu kama hawa ndio wakukamata acheni kuhangaika na Mbowe, hakuna cha unabii wala nini ahojiwe inawezekana kuna Siri anazijua nyingi anajifanya nabii.
Kashaona Yule alietabiri mwezi wa pili kua...
Mwaka ujao nitajitahidi nifike pale Israel nikajionee jinsi Mji wa Daudi na Ushahidi wa Kihistoria na Kibiblia, gharama za kuingia kufanya ziara ni shekeli 45-60 sawa na 30,000-40,000 ya...
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 nchini, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendesha mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.