Raisi Samia katoa kibali cha ajira 400 Kwa walimu wa biashara ambao watatumia mtaala mpya katika kufundisha masomo ya biashara lengo kubwa ni kutatua tatizo la ajira je
1.wahitimu wa hayo masomo...
TPA kuwapunguzia tozo/gharama ya uhifadhi mizigo waathirika janga la ghorofa Kariakoo
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) itawapunguzia gharama za uhifadhi...
Mfanyabiashara Saidi Lugumi ( @lugumisaidi ) hapo jana November 23 ameendeleza utamaduni wake wa kusaidia Watu wenye mahitaji kwa kujumuika na Watoto yatima wa Vituo vitano nyumbani kwake Masaki...
Hivi ndivyo CEO wa Capital Oil alivyorudishwa Nchini Nigeria, Sio kwenye Private Jet yake anayoimiliki wala sio kwenye Business Class ya Commercial Airline bali maiti yake imerudishwa kama Cargo...
Kwa miaka mingi usafiri wa anga wa kiraia wa Urusi umekuwa ukitegemea ndege na baadhi ya vipuli muhimu kutoka nje ya nchi kama Boeing na Airbus.
Anga ya kirusi ilijaa ndege za kigeni, zikiondoa...
Brother/Sister Acha kuchezea sadaka za watu
:Ni sadaka ya Muda
:Ni sadaka ya Nguvu
:Ni sadaka ya Fedha
:Ni sadaka ya Damu
:Ni sadaka ya Akili na Hisia
:Usichokifahamu ni kwamba kila mwanamke ni...
Ninayeandika hapa si mhanga wa ajira baada ya kumaliza chuo kikuu , maana hamchelewi kusema stress za unemployment zinanichanganya.
Nina elimu ya university mwenye shahada ya Usimamizi wa...
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), George Ķatabazi amesema sekta binafsi bado ni changamoto kwenye kutoa elimu kwa Wafanyakazi wao na jamii...
IBADA YA KWELI KWA MUAFRIKA NI TAMBIKO TU.
Tambiko ni ibada yenye asili ya Afrika.Katika tambiko muombaji hufikisha haja yake kwa mungu kupitia sadaka za kuchinja,kuteketeza mali na mengineyo...
Niende moja Kwa moja,
Kwa pongezi zangu Kwa baadhi ya viongozi wa dini Kwa KUSIMAMIA HAKI hasa kipindi hiki Cha uchaguzi, Mungu awabariki
Ila kuna baadhi ya viongozi wa dini wenyewe wanasubiri...
Kuna muda huwa nawaangalia wazee na watu ambao umri umekwenda huwa najiuliza huwa wanatuonaje vijana , siku hizi starehe nyingi na wao nadhani baadhi wanazipenda nyingine zinawashangaza .
Simu...
Wahubiri wa imani ya kikristo mna matangazo yenu ya mikutano na ahadi ya kuwaita wagonjwa waje kupata uponyaji wa kimiujiza. Hakuna hata rekodi moja mlimponya mtu aliyekatwa mguu au mkono! Huyo...
Islamophobia ni nini?
Na nini haswa lengo lake?
Kiufupi, Islamophobia ni hofu dhidi ya mafundisho ya kiislamu.
But, kabla hatujaendelea kuna kitu cha maana sana cha kujiuliza, kwann watu wawe...
Inashangaza mara nyingi mwanamke anapotangulia kabla ya mwanamme
👉Mwanaume huwa hadumu sana hii ni kwasababu zipi?
👉Lakini mwanaume akutangulie kuna possibility kubwa mwanamke akabaki
Mifano...
Siku ya Tarehe kumi na tano ya wiki iliyopita, katika eneo la Engaruka wilaya Monduli mkoani Arusha,palitokea tukio la Kinyama la mtoto wa Miaka kumi na Tano ajulikanae kwa JIna la Namasi...
Fahamu mambo ambayo huruhusiwi kuyafanya unapotembelea Dubai
1. Ingawa Dubai ni kitovu cha mitindo, hauruhusiwi kuvaa Nguo fupi, zinazobana sana, au zenye kufichua Mwili kwa kiasi kikubwa katika...
Habari zenu wakuu.
Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo...
Sina shaka na ufahamu wa umasikini alionao Rais juu ya uchumi CV yake inaonesha amesoma Economic Development. Naamini alikuwa anawachezea shere wahariri kwa kuwachanganya kidogo, bahati mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.