Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwanza nitoe pole kwa wahanga na tukio na nchi yote kwa ujumla. Kumekuwepo na kelele nyingi mitandaoni Kutokana na zoezi Zima la uokoaji(Rescue mission), kelele(banters) hizi zikihusisha ukosefu...
17 Reactions
58 Replies
2K Views
Wakuu naileta kwenu miji hii miwili ili kusaidia vijana watafutaji kuifaham vizuri. Uyole ni mji ambao ni sehemu ya jiji la Mbeya Katoro ni mji ambao ni sehem ya halmashaur ya Geita Dc. Je...
1 Reactions
7 Replies
281 Views
I love that song badly, but I am completely not accepting the style of Joseph Mbilinyi unreached politics, specifically in mbeya town constituency. Alistahili kuwa mbali zaidi, lakini pia more...
3 Reactions
13 Replies
361 Views
Picha hapo chini inajieleza, jengo lipo Kariakoo, limefika ghorofa kama 13 hivi na bado naona kuna nondo zimetokeza hapo juu kuashiria kwamba floor bado zinaendelea juu. Sasa unaweza kuta michoro...
35 Reactions
240 Replies
27K Views
Kuna mambo wengi tuliyaona hususan katika suala la Umeme, kuna nchi kama Bangladesh baada ya ADANI kwenda bei za Umeme zikaongezeka...
0 Reactions
1 Replies
173 Views
Mungu awe nanyi nyote. Nikweli kwamba hatuwezi fanana kwa kila kitu wala kupangiana vitu vya kufanya. Sasa kuna hawa watu yaani unakuta analalamikia kitu hadi unauzika ukimwambia achana nacho...
8 Reactions
18 Replies
887 Views
wakuu mimi niko Liquid fund .Haya ndo niliyoyaona nimeweka 3M nina wiki na imeongezeka 360 ndo nn yaan mbona haiendani na % nazo calculate NB: Nyie wa kulike kila comment tafadhari sana...
27 Reactions
158 Replies
5K Views
Sijawahi kuelewa kwa nini kuna watu wanasema mungu ni mmoja ila duniani kuna dini nyingi mbalimbali tofauti kila moja ikiwa na maelezo tofauti kabisa kuhusu mungu.
4 Reactions
38 Replies
842 Views
Habari wanajamii. Naomba msaada Kwa yeyote ayefahamu Mahali Kuna HUDUMA YA FELLOWSHIP Kwa Mkoa wa Dar es Salaam. Mimi Ni Muumini wa Hii Mambo ila sio UWATA. Nipo Dar Kwa Muda kidogo ila Sijui...
8 Reactions
29 Replies
839 Views
Rais wa Kenya William Ruto, ameagiza kusitishwa kwa kandarasi ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa JKIA na ya nishati iliyopewa kampuni ya Adani kutoka India. “Nilishawahi kusema huko nyuma, na...
0 Reactions
4 Replies
285 Views
1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu. 2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha. 3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano. 4. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Wanaume Kutongoza na...
94 Reactions
286 Replies
18K Views
Habari Wakuu Binafsi nasumbuliwa sana na mende Nyumbani kwangu, kiasi kwamba wamefikia hatua ya kula chochote kilichopo mbele yao mfano chakula, matunda, na hata nyanya, karoti Lakini cha...
2 Reactions
24 Replies
575 Views
Hebu nenda kwenye makaburi ya umma ya wakristo utarudi nyumbani na kusema asante Mungu. Kumbe watanzania wengi hatutoboi 70,Yaani narehemu wengi ni miaka 50 kushuka chini, Kwa mujibu wa sensa...
16 Reactions
60 Replies
1K Views
Kijana mmoja anayeitwa Kimario amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa ===================================== Depression - hali hii humpata mtu yeyote...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakuu habari,pasi na shaka wengi wetu tumewahi kuhudhuria kwa mganga/waganga wa kienyeji kwa shida mbalimbali za miili yetu na maisha kwa ujumla.Nishee nanyi visa/madhira niliyowahi kuvisikia toka...
7 Reactions
48 Replies
8K Views
Habari za asubuhi wapendwa Leo ni siku ya Jumamosi ingawa sijachelewa na pengine una kadi za harusi kadhaa zingatia haya Ukumbuke kadi za harusi kwenda harusini Ukienda harusini hakikisha...
19 Reactions
87 Replies
3K Views
Niende madani, hivi mna habari kuwa Yesu anakuja/amekuja kutokea Korea kusini? Wengi mlikariri atakuja kupitia Israeli, ila amekuja kupitia S Korea. Je, Wayahudi wataamini au watamkataa kama...
5 Reactions
136 Replies
4K Views
Wakuu naomba mnipe ufafanuzi kidogo juu ya mawingu ya mvua kwani kila nikijiuliza maswali kadha wa kadha juu ya mawingu sipati majibu. Yafuatayo ni maswali ninayojiuli kila ninapoangalia angani...
1 Reactions
13 Replies
480 Views
Timu za Uokoaji tarehe 23, Novemba 2024 zimeendelea na kazi ya kuondosha Vifusi na Mizigo kufuatia kuporomoka kwa Jengo Kariakoo Jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya Zimamoto. Kuhusu ajali...
16 Reactions
79 Replies
7K Views
Wakuu naomba mnijuze vipindi vya Crown FM Radio na watangazaji wa vipindi hivyo maana kuna jamaa anaisifia sana hiyo redio. Tangu Crown FM ianzishwe sijabahatika kuisikiliza zaidi ya kuambiwa na...
4 Reactions
49 Replies
1K Views
Back
Top Bottom