Aman iwe kwenu watumishi
Wazungu wa zamani tulizoea kuwaona vijijin maporini kabisa wa kifanya kazi
Hasa kazi kama utawa, upadre, udakitari, kilimo, na hata uwindaji
Hakika waliweza na...
Kulingana na hali ya kiuchumi katika jamii kwa ujumla swala la nguo za mtumba haliepukiki,
Tangu tulipokuwa wadogo tumekuwa tukivaa nguo za mtumba na maisha yanasonga kama kawaida,
Pamoja na...
Naandika hapa nikiwa na jazba kwasababu sina access ya kuzungumza na mtoa huduma moja kwa moja wa Vodacom huduma kwa wateja.
Kila nikipiga namba 100 napokelewa na sauti ya computer na hakuna...
Naomba niwakumbushe tu hawa wenzetu kuwa
Sababu mojawapo kubwa kabisa inayofilisi mashirika ya ndege ni kuto kuaminika. Kuaminika maana yake ni kuwa na ndege ambayo abiria hana uhakika kama...
"Niliishiwa na nguvu, baada ya kutolewa katika chumba cha kupigia kura, wakati Mimi nilikuwa ni mgombea halali wa uwakikishi Jimbo la Malindi Mwaka 2020," anasema Khadija.
Wakati wa Uchaguzi Mkuu...
Takribani watu 24 wamefariki dunia baada ya boti mbili zilizokuwa zimebeba raia wa Somalia kupinduka katika pwani ya Madagascar.
Taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Somalia zinasema juhudi...
Qur'an inataja kisa cha vijana waliolala pangoni kwa muda mrefu kama mojawapo ya ishara za nguvu na hekima ya Allah. Hiki ni kisa cha "Watu wa Pangoni" (Ashabul Kahf), kilichoelezwa katika Surah...
Mafiati Junction-Mbeya
Kiukweli Tanroads ya Sasa inatia kichefuchefu na aibu sana linapokuja swala la design.
Nimeangalia video zao zinazoelezea ujenzi wa njia 4 Mbeya ila cha ajabu na...
Ukiachana na hii video..,
1. Kuna video moja niliona njemba zinakanda unga wa ngano kwa kurukiarukia tena peku.
2. Nimewahi kushuhudia jirani yangu (mpangaji mwenzangu) akitumia chupi kama...
Sio humu tu, nenda kwenye mitandao mingi tu. Sikiliza vipindi vya redio, televisheni, maofisini, mashuleni, utajionea ukweli huu,haraka ya kujibu bila kuielewa hoja, kujibu hoja kwa matusi...
SERIKALI imevitilia shaka baadhi ya vyuo vikuu ikisema vinatumia vibaya muundo wa wastani wa alama katika ufaulu (GPA) ili vipate wanafunzi wengi.
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa...
👉Hii miji imekaa kitapeli tapeli inapofika kwenye swala lz mahusiano Kila mtu kamtarget mwenzake be carefully
👉Linda moyo wako, nguvu zako zote, pesa na muda wako
👉Dares-Salaam na arusha ni kwa...
Katibu wa Chadema Jimbo la Rukwa amewataka wananchi kuichagua Chadema kwa ajili ya maendeleo ya taifa kwani ndio chama kinachojali wananchi.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa...
Mpishi maarufu kutoka Kenya, Dennis Ombachi akimuelekeza Jonathan Jooste, Kaimu Meneja Mkuu wa Coca-Cola Kwanza namna ya kupika Chicken wings wakati wa hafla ya kufunga mwaka la Kitaa Food Fest...
Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas, ametoa onyo kali dhidi ya vitendo vya kuwahusisha wananchi wanaoiunga mkono ACT Wazalendo na madai ya kufutiwa msaada wa Mpango wa Kunusuru...
02 January 2024
MZOZO WA UAGIZAJI MAFUTA BAINA YA KENYA NA UGANDA
Kufuatia kinachodaiwa bei ya juu ya udalali inayofanya Kenya juu ya nishati ya mafuta Uganda inayoagiza kutoka nje, Serikali ya...
Vijana wengi wenye harakati zao hapa mjini utasikia wakisema ooh mimi siwezi kuishi kigamboni, mara usafiri wa taabu sana, ivi hii changamoto itakuja kuisha kweli?
Nilikuwa na jamaa yangu ananipa visa na mikasa mbali mbali ya Jiji la Mbeya miaka ya 1980s mpaka 1990s. Alianza kuniambia jinsi ambavyo miaka hiyo vijana wengi jijini mbeya ilikuwa lazima waende...
Wale wakiofika pale page
Znz beach
Kuna hotels kadhaa
Kuna moja tulienda tulipofika nkajilinda kwanza bia sh ngapi akasema 8000 mnakaa kwenye kagorofa flan
Na chini pia kuna sehemu ya kukaa...
Unapopitia wakati mgumu ndio unapata ufahamu na uzoefu wa kujisaidia mwenyewe.
Ukipitia magumu watu wanakuchoka, wanakata tamaa ya kukusaidia na kuna wanaotamani kukusaidia hawana uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.