Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwa kusoma kwangu maandiko mpaka hapa tulipofikia, ninaamini haya. Malaika ni weupe kama Wazungu Binadamu wa kwanza, yaani akina Adam walikuwa weusi. Sijajua kama na nyie mmegundua hili! Ila...
1 Reactions
0 Replies
244 Views
1. Congo Tower 2...... 3......... Tuendelee kuyataja hapa chini
6 Reactions
96 Replies
4K Views
Usichoke Kushabikia SIMBA, SIMBA, SIMBA, SIMBA, IMBA, IMBA, IMBA Tanzania ina Vyuo Vingi sana na Wakufunzi waliobobea kuliko wakufunzi wa Wazungu.. Hakikisha Unasoma nchini kuanzia Darasa la...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Huu uzi unahusu matukio yoyote yaliyotokea mwaka 2004, basi na wewe mwanajukwaa andika hapa tukio lolote lililotokea mwaka 2004. Mimi nitaanza na tukio la shindano la kutafuta vipaji vya waimbaji...
8 Reactions
118 Replies
11K Views
Jumapili ya leo nimepata wasaa wa kukumbuka mila na desturi za mababu. Nimekumbuka jinsi ukoo ulivyokuwa unakutana kwa ajili ya kuwaomba mababu zetu watuombee kwa Mungu wao ili kufunguliwa juu ya...
10 Reactions
19 Replies
411 Views
Madawa ya kulevya yaweza kuwa yanaongoza Kisha inakuja ya kuuza silaha haramu Kusafirisha binafamu Bidhaa feki nazo ni top selling products.. Pombe zikiwa kinara Kwa Afrika wafanyabiashara mafia...
11 Reactions
44 Replies
2K Views
Cryogenic pod (short : cryopod) ni single device iliyotengenezwa kitaalamu to freeze a person in cryogenic suspension. A cryopod imeundwa na vifaa vyote kwaajili ya kumgandisha mtu kwenye...
0 Reactions
9 Replies
412 Views
Afya ya akili kuongeza utulivu wa kihisia - Simu zinachangia sana kutibua hisia, upo whatsapp / instagram mara unakutana na status za watu mnaojuana wametoboa huku wewe unajitafuta, wameoa /...
6 Reactions
10 Replies
406 Views
Huwa nasikia watu wa kabila fulani anasema kabila fulani ni watani zake, mfano utasikia msukuma anasema mgogo ni mtani wake n.k Nini kinachopolekea kabila fulani kuwa watani wa kabila lingine...
1 Reactions
11 Replies
356 Views
Ni vi ajira fulani hivi vya kiusaliti kwa nchi. British Council na Allaaa Franswaa(kituo cha utamaduni cha ufaransa?) Ndio zao, ni extension ya TISS ya nchi hizo. Ila sijamsema Sugu na Bongo...
2 Reactions
18 Replies
920 Views
Siku hii ilianzishwa kumuenzi St. Jerome. Huyu alikuwa mtu wa mwanzo mwanzo kutafsiri biblia. Tarehe 30/9 ni siku yake ya kufa. Utafsiri umechangia sana katika kusambaza maarifa duniani. Hata...
3 Reactions
8 Replies
822 Views
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Ngoja tuanze na Shahiri kwanza Shahiri: Dunia tabu, Duniani tabu haswa,. Ukiishi tabu, Ukizeeka tabu haswa,. Ukifa tabu, Ukizaliwa tabu haswa,. Ukiwa...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Habarini ndugu zangu, Naomba nisiwachoshe, bali niingie moja kwa moja kwenye swala la msingi. Kuna mtaa hapa Iringa mjini unaitwa Mashine Tatu, ambao ni mtaa wa pili kwa idadi kubwa ya...
3 Reactions
4 Replies
426 Views
Hutaki kusemeshwa wala kuongeleshwa na mwanaume yoyote, yet umeng'ang'ana na mikesha ya maombi na maombezi, na sijui kukanyanga mafuta ya nini huko ili upate mume! Yaan unamkataa kabla halafu...
7 Reactions
44 Replies
840 Views
Sijui ni madini gani hayo, lakini naamini yatakuwa ya thamani sana. "Kesho" nikikutana nayo shambani kwangu sitayaacha. 1. Ni madini gani hayo? 2. Hiyo video ni halisi au ni ya kutengenezwa? 3...
0 Reactions
5 Replies
465 Views
Huu Mtandao Umekuwa wa watu wajinga mno ,unaamdika jambo Kwa niaba ya mada ulizo skia Utaambiwa ni ww Kuongozana na wajinga utaitwa mjinga hata kama unawailimisha wale wajinga. Nimefuta nilicho...
5 Reactions
17 Replies
770 Views
Sijui nini unachopitia wakati huu lakini naamini una jambo linakuumiza akili na moyo ongea na Mungu wako akutue huo mzigo wa maumivu haustahili kuendelea kuteseka kama ni kujifunza tayari...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Kaka habari za leo? Huyu ndugu yetu anaitwa Issa Issa, ni bodaboda hapa Kariakoo opposite na Msimbazi police. Siku ya jumamosi aliacha pilipiki yake kijiweni akaaga kuwa anaenda kuchukua nguo...
3 Reactions
9 Replies
790 Views
Ratiba ya kesho Jumatatu 🌄 Asubuhi watu watakuwa nyumbani kwao tabata changombe. Mwili utatoka mochwali utapitiliza kanisani Hautafika nyumbani Utaenda kanisani kwa ajiri ya ibada. Walio Nyumbani...
2 Reactions
21 Replies
489 Views
Aman itamalaki Kama wanavyoheshiwa walevi bas na sisi wavuta bangi tuheshimiwe Kwanza bangi haina madhara kama kwa pombe bangi ni kiburudisho safi kabisa wala hakina shida na ni dawa ya kansa...
31 Reactions
478 Replies
68K Views
Back
Top Bottom