👉Mara nyingi, "sheria" ambazo hazija andikwa (Un-Written Laws), ndio huwa zinakuwa zinafanya kazi katika uhalisia kuliko sheria ambazo zimeandikwa.
👉Mimi huziita sheria za asili ama kanuni za...
Zacharia alizaliwa mwaka 1956 na kufariki mwaka 2021.apumzike nimemkumbuka kwa ushujaa wake
👉Harakati za uanajeshi tangu mwaka 1973-1982
👉Kifungo cha maisha jela 1982-1995 Baada ya jaribio la...
Admins. Naona mnaondoa hizi Videos ambazo zinazungumza kwa ushahidi na wala si kashfa wala matuzi. Leo admin uliyepo ni yupi ambaye hutaki ukweli? Hakuna matusi wala kashfa.
Mwijaku ametoa kilio chake kuhusiana na kodi ambapo amedai yeye kama influencer anaingiza Milioni 3 kwa siku lakini hajapata utaratibu wa kulipa kodi. hivyo amemuomba Rais Samia kuwapatia...
- Hili ndo' sakata la 'wanted man' wa Uingereza na kupotea kwa wanawake wawili huko mji wa Aba, Nigeria.
Mwezi ulopita, mkuu wa jeshi la Polisi la Nigeria, IGP Kayode Egbetokun, hakuwa na namna...
Rebeka na Kitambaa (Mwanzo 24:64-65)
Rebeka, alipoenda kukutana na Isaka, alichukua kitambaa na kujifunika uso:
"Rebeka akainua macho yake, alipomwona Isaka, akashuka juu ya ngamia. Akamwuliza...
Vodacom wamekuwa na makato yasiyoeleweka kwa mawakala wa mitandao ya kifedha hasa mkoa wa Mbeya, inapokaribia mwisho wa mwezi wanakata pesa kwenye faida ya wakala ambayo angeipata, ukiwapigia na...
Surah Al-Ankabut (29:14):
"Na kwa hakika tuliwatuma Nuhu kwa watu wake, naye akakaa nao miaka elfu kasoro hamsini. Kisha tufani iliwakamata, nao walikuwa madhalimu."
Halafu mtu akiishi miaka 100...
Jana wakati nipo nimekaa wakaja walokole 5 na mgeni 1.
Wakaniuliza nina matatizo gani? Yaani changamoto gani ktk maisha inanisumbua.
Nikawaambia sina pesa . Jamaa wakaniambia nifumbe macho tuanze...
Wakuu inaumiza, inakoroga na kukata maini kabisa. Fikiria kwanza vyoo vya umma vinavyoshughulikiwa kila baada ya dakika 6. Masizi, michanga, matope na chembechembe za vinyesi zinayotapaa pale...
Wakuu hii nchi ingekuwa na watu kama huyu proton pump aisee nchi ingesonga mbele itoshe kusema huyu jamaa ngoja nimpe maua yake hata kabla hajafa mwisho nakaonekana mnafiki jamaa ana madini sana...
Ndio hivyo dunia ianze kujiandaa Kwa Mambo mapya na Kwa maana hiyo vijana Someni Sayansi na Teknolojia
Mshauri mkuu wa Rais wa Marekani amesema anatengeneza Mfumo wa kuwawezesha Watumishi wa...
Waswahili wanasema sikio la kufa halisikii dawa. Ndivyo walivyo baadhi ya wanaume ni kenge haswa kusikia kwao Hadi Damu masikioni iwatoke.
Hapo Sasa ndo ataanza kushituka.
Ukweli ni kwamba...
Kwanza nianze kwa kuwapongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayofanya ya kubadilisha mwenendo wa nchi yetu, kazi kubwa inafanyika na mabadiliko yanaonekana, pongezi kwa hilo.
Hivi karibuni niliona...
WASANII 200 SONGEA WAPATIWA MAFUNZO UZALISHAJI WA FILAMU BORA
Bodi ya Filamu na Michezo ya kuigiza Tanzania (TFB) imeendesha mafunzo kwa wasanii 200 wa tasnia ya filamu wa manispaa hiyo ili...
Usiku wa kuamkia leo Novemba 24, 2024 nilifika kwenye Kituo cha Afya ambacho ni Zahanati ipo Kitunda (Dar es Salaam), palepale Kitunda Mwisho ambapo Dadalada zinageuka.
Nilipofika hapo wameandika...
Wakuu!!
Huwa sielewi tulichukua mkopo {company} ilitudhamini mkopo wa muda wa miaka6.
kuna baadhi ya wafanyakazi waliacha kazi baada ya pesa zao kuzitumia divyo sivyo na kwa maelezo yao
walidai...
Wengi wetu leo hii ukimwambia unataka Mungu akupe nini atakwambia pesa/utajiri.
Hata ibada nyingi kwenye haya makanisa binafsi ya mitume na manabii maombi makubwa ni Pesa! Mali! Utajiri.
Mfalme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.