Habari zenu JF Mimi nilikuwa Nina ushauri ..kutokana na Hali ya uchumi nchini kwanini Hela zisitengenezwe nyingi afu watu wapewe Kila mtu akawa na hela nyingi zingine tukalipa madeni ya nchi...
Mwaka 2013 nilipata kazi kwenye kampuni moja katika branch yake Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu, sasa basi maisha yalianza kwa kufanya kazi kwa sababu sikua najua chochote ilibidi nijifunze kupitia...
Wazungu pamoja na kwamba tunaona ni wastarabu na ndio walituletea ustarabu lakini upande mwingine wa shilling mambo mengine wafanya kama hamnazo na jaribu kuainisha na wewe uandike zako.
Mfano...
Wahenga walitufunza kwamba Heri kukinga kuliko kutibu na wakasisitiza Usipoziba Ufa Utajenga Ukuta
Hakunaga Kipindi Vijana wamekuwa wakitukana viongozi kama awamu ile ya 4 na5 Nasi wengine...
Bilion moja kwa matajiri sio kitu kikubwa Ila kuitafuta Bilion kwa watu wenye maisha ya kawaida kupata bilion moja sio rahisi hata kidogo.
Kama unabiashara au unalipwa mshahara na kufanikiwa...
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada...
UHURU UNAOPIGANIWA NA WACHACHE HUWANUFAISHA WACHACHE. UHURU UNAOPIGANIWA NA WENGI HUWANUFAISHA WENGI.
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli
Viongozi wanakula Sana. Viongozi wanajipendelea Sana...
Kuna utani wa kitaifa kuwa huwezi kumtenganisha Mnyakyusa na tunda la parachichi.
Huu ni utani usioumiza unaokaribiana na ukweli kwa sababu parachichi ni tunda pendwa kwa watu wa jamii ya...
Kijana Seba aliyeandika message kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho siku mbili zilizopita.
Mwili wake umeopolewa mda huu ukiwa tayari umeshaanza kuaribika kwenye jengo la Kariakoo...
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana.
- Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta
- Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu...
Magharibi wana supu zilizofungashwa kwenye box na makopo kama juice! Yani unanunua supu unaenda kupasha tu unakunywa, hakuna haja ya kupoteza muda kuchemsha nyama masaa ukitafuta supu.
Ile video iliyokuwepo hapa two hours ago ya yule yaya anamtesa toddler nimeipeleka Polisi.
Polisi wameonyesha interest lakini wanasema Afande amekwenda weekend,nirudi Jumatatu.
Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa...
Yaani kuna saa uki observe namna maisha yanavyokwenda, whether unaishi Africa au wherever. Kama umebahatika kuwa na familia yenye mke na watoto, kuna saa huwa unajiuliza ya kwamba, kama nitakuwa...
Baadhi ya wanawake ni vichwa mwenge,
Huna biashara yoyote halafu unacheza KIBATI sasa utapata wapi pesa ya marejesho kama sikufungua milango ya ufisadi?
Sijui uoga wa nini ilihali mnaishi maisha mabovu, hivi mnashindwa kukiwasha ani, hata ccm watume mapolisi laki moja hawatawaweza nyinyi mpo wengi mnashinda
Sasa mnaishi maisha ya kutupwa...
Habari za majukumu Waziri Mteule wa Habari,
Sisi wananzengo, tunakuomba ukishaapishwa tu, jambo la kwanza la kutilia mkazo katika vipaumbele vyako ni Internet ya Elon Musk.
Tunaomba Star Link...
WAKURUGENZI NA WAKUU WA IDARA (SANA SANA DMO's na DEO's) WAMEKUWA KIKWAZO KWENYE ZOEZI ZIMA LA UHAMISHO WA WATUMISHI KWA KISINGIZIO CHA KUTOKUWA ORIENTED NA MFUMO MPYA WA HUDUMA YA UHAMISHO WA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.