Wananchi wa Vijiji vya Simambwe, Shibolya, Usoha Njiapanda, Ilembo Usafwa na Galijembe vilivyopo Kata ya Tembela, Wilaya ya Mbeya, walilazimika kuchangishwa michango kwa ajili ya ujenzi wa Kituo...
Haya makanisa yanayoota kama uyoga yanayojiita ya kiroho yana vituko achilia mbali hiyo miujiza feki. Eimeen ni neno la lugha gani? Siyo neno halisi katika lugha mama za biblia.
Salaam,Shalom!!
Imeandikwa ( mithali 16:1), maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, Bali....
Pana mtumishi mmoja pia aliwahi kuimba kuwa, Ibada huanzia nyumbani.
Sasa TOBA, msamaha, utakatifu wa...
Habari ndugu wana JF.
Kama mada inavyosema. BInafsi nina mpango wa kufanya safari nje ya mipaka ya Tanzania 🇹🇿 kwa njia ya basi kwenda nchi za Sadc na Eac kwa dhumuni la kutalii(Kutembea). Tayari...
Rejea kichwa cha habari.
Harafu baadae tutaenda kutengua na kubadilisha Waziri tena. Ndiyo maana hakuna ufanisi. Sijui vetting huwa inafanyikaje huko jikoni?
Pia soma: Dkt Faustine Ndugulile...
Ukipita njia ya Vingunguti, Tabata, Tandale na maeneo mengine kumekuepo na ongezeko kubwa sanaa la vituo vya mafuta.
Je, tathimini imefanyika vya kutosha kabla ya kutoa vibali?
Je, tunasubiri...
Kuna maswali mengi muhimu ya kujiuliza kwenye hii biashara ya vituo vya nafuta mpaka inakimbiliwa na karibia kila mfanyabiashara?
Je magari yameongezeka sana nchini?
Je kumekuwa na urahisi wa...
Kuabudu milima miamba maziwa nk, wengi ma traditional Africans waliitwa au "branded' kama washirikina au pegans, ila kuwasha mshuma nyakati za mchana jua kali na kuabudi sanamu ambao zimetegenezwa...
Taarifa iwafikie Idala ya Maji safi na maji taka mkoa wa Mbeya.
Hivi huwa mnautaratibu wa kukagua chemba za maji taka hapa jijini maana mji mzima umekuwa ukinuka harufu ya maji taka.
Mwanzo...
Wakuu,
Leo ni Siku ya Watoto Duniani! Ulipokuwa mtoto, ulitamani kuwa nani?
Je, umefikia ndoto zako, au bado unazifanyia kazi?
Kumbuka, ndoto za watoto ni halali na zinaweza kutimia...
Habari wakuu,
Nahitaji kuanza kuhudhuria jumuhiya za kikatoloki Mwenge.
Mimi nasali Kimara kwa sababu zangu binafsi itanibidi nisali Jumuhiya za Mwenge kila Jumamosi. Kwa mwenye uzoefu hizo hizi...
Ucheleweshaji wa Pasipoti: Changamoto na Maswali Yasiyojibiwa
Mnamo tarehe 23 Septemba 2024, nilikamilisha hatua ya kwanza ya maombi ya pasipoti ya kawaida kwa kujaza fomu namba 24ER-Y091-Q020 na...
Habari za siku mbili tatu wakuu na wananzengo hapa jukwaani?
Hi video ni ile ya uchaguzi Mkuu 2020 nimeitumia hapa kutaka kusema kitu kuhusu hizi chaguzi
Unajua kwa kawaida kabisa ni wazi...
Dola bilioni 16.9 zinahitajika ili kutatua janga la njaa linalozidi kushamiri duniani, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani, WFP hii leo, kiwango cha fedha ambacho...
Moja Kwa moja niende kwenye hoja kuna hili suala mtu Anaapa kwamba hatakuja kunywa smart gin ila k vant na konyagi anabugia kama kawaida.
Nataka nijuzwe spirit kama spirit hizi zenye ethanol na...
Aslaam,
Kuna jamaa hapa amepigwa tukio na mtu wake wakaribu.
Alimkopesha ela ila alimtumia kupitia mtandao wa simu.
Jamaa baada ya muda saana amemgeuka, amemwambia hajawahi kukopa ela kutoka...
Naombeni niweke wazi, mimi sio askari wala siko upande wao!!
Najua maumivu anayoyapitia Edgar Mwalebela ( Sativa ) baada ya kutekwa na kunusurika kuuwawa mwaka huu.
Sasa jamaa yetu amekuwa...
Kukubali kuchukuliwa bila kuacha taharuki na kuwajulisha raia eneo hilo kuwa unakamatwa na watu wasio sahihi.
Hii inatokea mara Nyingi, mtekwaji anachukuliwa kwa kuaminishwa na Watekaji kuwa ni...
Juzi kulitokea ajali ya bus mbeya, watanzania wenzetu wakafariki na wengine kuumizwa vibaya.
Jana napo imetokea ajali ya bus mbeya na kuua watanzania kadhaa.
Leo napo morogoro kuna ajali ya bus...
Mwili wa aliyekuwa Mwanachuo wa chuo cha Sokoine University of Agriculture (SUA) Magreth aliye hitimu mwaka huu mwezi wa 11 tarehe 26 waokotwa katika mashamba ya chuo hicho.
Magreth alipotea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.