Elimu ya chuo kikuu ni muhimu lakini karama ya kuzalisha pesa ni muhimu zaidi.
Average age ya kuhitimu ama kumaliza digrii ya kwanza Tanzania ni miaka 24. Vijana wengi waliohitimu chuo wana...
Ilikuwa ni Nissan Civilian number C inayopiga ruti za Mbezi Mlandizi... Jana asubuhi mitaa ya Kibada ndio ilihitimisha safari yake hapa duniani kwa ajali ya moto.. Ilikufa kwa maumivu na upweke...
Kuna watu ambao hakika ni sumu katika maisha yetu na wanatuua kidogo kidogo bila wenyewe kujua,wanaweza kuwa ni wazazi,ndugu zetu,waume na wake zetu,wafanyakazi wenzetu na watu ambao tunakutana...
Habari ,Binafsi sio mpenzi za sana wa hizi movie zilizo tafsiriwa ila kuna kitu kimoja nlikiona siku moja nlipoangalia movie moja ya lugha ya kiingereza ni kwamba Tafsiri haiendani na...
Mambo vipi?
Kuna sehemu nimepanga ghetto room Moja vyumba vya nje ya nyumba kubwa ila Kuna uzio na nyumba kubwa wenyewe hawaishi wapo Tanga mjini ila uwa wanafikia wakija uku Bush
Mimi nipo...
KUKOMBOLEWA KUTOKA KWENYE NGUVU ZA GIZA na Emmanuel ENI SEHEMU YA KWANZA (PART 1)
Sura 1: Nilipotorokea kwenye "Maisha
mapya"
Hadithi yangu inaanza miaka 22 iliyopita katika kijiji kidogo...
Yaani natumia router ya airtel, na Voda kwa lengo lakuwa na internet ofisini lakini kuna muda mitandao yote tabu lele,leo siku nzima inasuasua tu ,
Nimeamua kutafuta pocket router ya Tigo ndio...
Kufuatia taarifa za kushikiliwa kwa Mwanaharakati Mdude Mpaluka Nyagali (kada wa Chadema) anayedaiwa kushikiliwa kwenye kituo cha Polisi Itumba Ileje, Wakili Boniface Mwambukusi kupitia ukurasa...
Zamani, wanaume walijulikana kama “watoa riziki” wa familia zao, na jukumu lao lilikuwa ni kuhakikisha kuna chakula mezani, ada za watoto zinalipwa, na familia inakuwa salama kifedha. Lakini siku...
Ikiwa zimebaki siku mbili tu kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania Bara, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa taarifa kuwa Jumatano ya Novemba 27 ni siku ya kazi kama kawaida...
TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUU WA SABA WA (7) WA JUMUIYA YA MAMLAKA ZA USIMAMIZI WA USAFIRI MAJINI AFRIKA
Dodoma.
Wizara ya Uchukuzi inautaarifu umma na wadau wa sekta ya usafiri majini...
Hili jengo limechoka sana na nashangaa serikali imekaa kimya kwasababu tumetoka kupata majanga wiki iliyopita nilitegemea Ili jengo lingebomolewa maana limechoka.
Ndugu zangu siku ya Leo nikiwa...
Logos:
Katika falsafa na theolojia: "Logos" ni neno la Kigiriki ambalo lina maana nyingi, lakini kwa kawaida linamaanisha "neno," "akili," au "mantiki." Katika Biblia: Inatumika kuelezea Yesu...
Wakati wa likizo ni fursa ya kipekee kwa mzazi au mlezi kujenga uhusiano bora na mtoto. Huu ni muda wa kumfundisha ujuzi muhimu kama vile usafi, kupika, kuogelea, au hata kutembelea maeneo ya...
Kufuatia kampeini ya 'Mtoto Vunja Ukimya' ambayo imefanyika katika Kata ya Manzese na Kwembe zilizopo wilaya ya Ubungo, Jijini Dar es salaam imebainishwa kuwa kesi takribani 860 za ukatili dhidi...
Jana nilikuwa sehemu kawe
Baadae kukawa na sherehe jiranj
Gafla wakapitisha kigodoroo nyimboo kama zotee
Mda ukafika naelekea home aisee niuokutana nayoo n hatareee
Yaan mabinti wadogoo...
Wakuu kwema
Hizi mvua mvua zinazonyesha hapa Bariadi leo nimeshuhudia graduates anayeishi kwa dada yake akipewa maelekezo na shemeji yake (mme wake na dada yake), ahamishe trip nne za mchanga...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaamm, Albert Chalamila, amesema kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali atatoa taarifa rasmi kuhusu mwenendo wa zoezi la uokoaji katika eneo la Kariakoo, ambapo maafa yalitokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.