Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu Makonda hapoi, huko Arusha ameamka na hii ya kutumia gari la Zimamoto Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda akiendesha gari la jeshi la Zimamoto na Uokoaji huku akihamasisha zoezi la usafi...
0 Reactions
2 Replies
299 Views
Anonymous (c1eb)
Kumekuwepo na malalamiko ya muda mrefu katika Halmashauri ya Momba kutoka kwa Walimu na wadau mbalimbali juu ya tabia na mwenendo kutoka kwa kiongozi huyu. 1. Walimu wengi wamehamishwa bila...
0 Reactions
5 Replies
407 Views
Hivi ukinunulia simu Alibaba kwa njia ya mtandao ni waaminifu? Na wanakuletea simu sahihi ambayo inasoma mtandao?
2 Reactions
11 Replies
435 Views
Nimemsikia sheeee uko tik tok kuwa muislamu anapo hudhuria ibada ya mazishi ya kikristo wakati yeye muislamu anakuwa amekiukya taratibu za kiislamu
5 Reactions
212 Replies
5K Views
Habari ndugu wana jamvi, Leo nimekuja na jambo ambalo linaweza kunipa wasiwàsi kwa namna moja au nyingine. Kama jamii hivi Sasa ,kumekuwa na wimbi kubwa La wadada ,wasichana na wanawake...
7 Reactions
44 Replies
1K Views
Wakuu, Naweza kupata tourist visa ya Misri upon arrival au ni lazima ni apply hapa bongo kwenye ubalozi wao kabla ya safari? Thanks
1 Reactions
5 Replies
249 Views
Wote kwenye maeneo yetu tunahitaji Barabara kulingana na umuhimu wake kuchochea uchumi wa mtu mmja mmja na Taifa Kwa ujumla. Pamoja na umuhimu huo Kuna Barabara ambazo ni za Muhimu sana Kwa...
13 Reactions
46 Replies
4K Views
Habari viongozi na wadau wa TANESCO, hii shida narudia tena kuitandika hapa, njia hii ya umeme kutoka kimara baruti kwa miaka mingi haishi matatizo, toka enzi zile transfoma ipo juu hadi...
1 Reactions
0 Replies
144 Views
Anonymous (af31)
Habari, Natumani tunaendelea vizuri katika ujenzi wa Taifa letu, pia ningependa kuwapa pole wale wote waliofikwa na maafa na watanzania wenzangu kwa ujumla kwa tukio la kuporomoka kwa jengo...
0 Reactions
3 Replies
255 Views
Mimi binafsi Sijawahi kuelewa mafundisho ya Prof Janabi,ni kama hataki tufe au hataki tufurahie maisha. Yaani mtu eti Marufuku kula milo mitatu mara usile nyama nyekundu,juice,chaoati nk Sasa...
5 Reactions
24 Replies
824 Views
Habari JF, Katika maisha huwa kuna nguvu kubwa sana imejificha katika usiri wa taarifa zako binafsi, hivyo ni muhimu sana kutunza taarifa muhimu. Watu wengi wamepoteza hadhi na utu wao...
35 Reactions
78 Replies
3K Views
CHANZO: GUMZO LA JIJI: Hoja: Je! Mavazi ya Polisi wa Kike yanakidhi matakwa ya Waraka Na 3 wa Mavazi ya Watumishi wa Umma? Waraka wa Utumishi Na. 1 wa mwaka 1971 unaohusu mavazi ulitokana na...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Swali la kwa nini Afrika, licha ya kuwa na rasilimali nyingi, imeendelea kuwa na maendeleo duni, ni suala la kihistoria lenye mizizi mirefu. Watu wengi huashiria ukoloni kama sababu kuu, lakini...
1 Reactions
2 Replies
306 Views
Leo tunavyozungumza Elias Kihombo hatunaye tena duniani. Inasemekana kifo chake ni kutokana na maradhi yaliyokuwa yakimkabili. Tunahitaji kuwa Karibu na Mungu wakati wote kwani safari yetu ipo...
98 Reactions
1K Replies
183K Views
Anonymous (da6c)
Eneo la Iyumbu NHC Dodoma limekuwa na tatizo sugu la maji kwa zaidi ya mwaka sasa, mwanzo sababu mbalimbali zilikuwa zikitolewa ikiwamo kutumia kisima kimoja cha maji na chuo cha UDOM hivyo...
1 Reactions
5 Replies
231 Views
Kuna thread nimeitoa muda kidogo umepita unasomeka "hii imeniuma sana na itamuuma kila mtanzania" Ndugu zangu nimegundua kitu kikubwa sana leo. Tatizo kubwa la sisi wa Tanzania tulio wengi tuna...
16 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu, Hivi karibuni, Shirika la Umoja wa Mataifa UNESCO limetoa ripoti mpya inayoelezea kwa undani idadi ya watoto ambao wanastahili kuwepo shuleni lakini kwa sababu tofauti tofauti hawapo...
12 Reactions
53 Replies
2K Views
Amani kwenu Mwendo kasi ni mateso Mwendo kasi ni maumivu Mwendo kasi ni majonzi Mwendo kasi ni utungu Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman YESU njoo Africa tunateseka jaman
18 Reactions
101 Replies
2K Views
Habari wandugu, Makanisa mengi ya kisasa yamekuwa yakiwapotosha waumini wao kwasababu kubwa ya kuacha majukumu yao ya msingi na kufanya majukumu yasiowahusu. Jukumu la msingi la kanisa ni...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Anonymous (da74)
Mimi ni mkazi wa Kinondoni shamba, kata ya Kinondoni. Mwishoni mwa wiki iliyopita 23.11.2024 nilikunywa maji ya Dawasco ila kitu cha kushangaza yalikuwa na harufu kali sana ya dawa na pia kulikuwa...
0 Reactions
1 Replies
180 Views
Back
Top Bottom