Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari wadau. Jana nilienda kifanya process za mkopo NMB, lakini loan officer akituma taarifa zangu naambiwa loan rejected sina sifa kwa vile nilikopa Timiza Airtel nikachelwa kulipa hivyo...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari Huyu bwana ana miaka na miaka kwenye uenyekiti hataki kuachia ngazi. Cha ajabu anakaa analalamika et nchi haina demokrasia wakati yeye mwenyewe ni DIKTETA. Uzi tayari
0 Reactions
6 Replies
130 Views
Je, ni.... 1. Ahadi ya Mola 2. Kafara la Kundi 3. Dally Kimoko Virus 4. Kurogana / Kupigana Vipapai 5. Kupenana Sumu kutokana na Umaarufu wa ghafla wa Mtu
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa kushirikiana Kampuni ya Azam Marine zinaendelea kuboresha utoaji wa huduma za usafiri wa...
1 Reactions
4 Replies
632 Views
👉Kwa mujibu ya awamu ya kwanza naomba mnipe majibu Hali ilikuwa vipi kati ya wafanyabiashara na wafanyakazi watu wa enzi za ujamaa mtuambie 👉Awamu ya pili wafanyabiashara walikua juu kutokana na...
1 Reactions
1 Replies
174 Views
WAKUU naombeni kujua ni mtandao gani kati ya hii iliyopo nchini UKIWEKA PESA kwenye huduma za miamala Ina ulinzi mzuri yaani ngumu watu kuiba pesa kati ya hii tigo Vodacom Airtel na halotel
0 Reactions
2 Replies
270 Views
Huyu mtoto ukimsikiliza ana uwezo mkubwa sana wa kujieleza na kufanya hesabu. Anajibu maswali ambayo hata wewe huwezi kuyajibu hapo ulipo saivi Ee Mungu tunakuomba huyu mtoto asiharibiwe na mfumo...
10 Reactions
71 Replies
2K Views
Kuna hizi shuguli za wakina mama wanaziandaa sijui birthday nakadhalika, humo ndani ni kutukanana, kusutana na sherehe hizo ndani mashoga wanajiachiaaa tu, yaani humo ndani full laana Naona haya...
8 Reactions
39 Replies
1K Views
SGR, mbona mnajihujumu wenyewe halafu mnalalamika kwamba watu wanahujumu na wanapaswa kukamatwa na kufungwa adhabu kali? Mimi nadhani kwanza mnapaswa kuwachunguza na kuwachukulia hatua wafanyakazi...
3 Reactions
7 Replies
360 Views
Taasisi ya JamiiForums kwa kushirikiana na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) iliendesha Mafunzo ya Uelewa wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Mhimili wa Mahakama ili kurahisisha...
1 Reactions
2 Replies
387 Views
Kamati iliyoteuliwa mwaka 2006 na Waziri Mkuu wa wakati huo Edward Lowassa, ilibaini kuwa majengo 147 kati ya 505 yaliyokaguliwa jijini hayakuwa nyaraka na vibali sahihi vya ujenzi. Yalijengwa...
1 Reactions
3 Replies
373 Views
Hodi Jamvini, Nawasilisha mada hapo juu kuhusu dhana ya MaCEO's ambayo huku ipo lakini naona bado ipo duni sana. Kwenye suala la utendaji hatupimani kabisa kuhusu performances. Unakuta mtu ni...
4 Reactions
27 Replies
963 Views
Hili nimelishuhudia kwa wazazi wengi wenye mali na wamezipata kwa ku hustle sana. Watoto wao huwa watu wa bata sana na kuzitapanya tu mali. Hawana discipline ya utafutaji kabisa.
7 Reactions
30 Replies
594 Views
Nilienda bank ya nmb kwa lengo la kupata huduma flani ya kifedha. Kwenye ATM pale nikaona msururu wa watu wamejipanga kutaka kutoa pesa.nikadodosa nikaambiwa wengi wao ni walimu mishahara imetoka...
4 Reactions
14 Replies
519 Views
Familia ya marehemu Mahmoud Ally Hamad Bwato, imeomba msaada kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ili iweze kupata hati ya kiwanja chao namba 186039/95...
1 Reactions
6 Replies
403 Views
Soko la Msufini lililopo eneo la Msufini katika Manispaa ya Singida hivi karibuni kulikuwa na changamoto ya uchafu katika sehemu ambayo ilifikia hatua ya kuitwa Dampo la Msufini. Dampo hilo hivi...
1 Reactions
0 Replies
306 Views
Watanzania wengi bado wanakiamini chama cha Mapinduzi CCM. Wanaamini kuwa CCM ndio chama pekee chenye uwezo wa kusimamia amani na utulivu wa nchi yetu. Hakuna chama chochote cha upinzani chenye...
3 Reactions
4 Replies
152 Views
Sina maneno mangi naomba niwakumbushe jambo waajiriwa. Nambari 1: Kama uliweza kuajiriwa ni vyema ukatambua kuwa unaweza kufukuzwa kazi pia. Nambari 2: Ukifa, ukistaafu, ukiacha kazi...
6 Reactions
4 Replies
317 Views
Habari za mda huu wakuu? Mimi Nina mzee wangu kipindi naishi home mzee alikua anapata pesa kutokana na shughuli zake ila mzee Kila tukimshauri amalizie nyumba yake aliyoanza kuijenga anatuona...
12 Reactions
68 Replies
2K Views
Aslaam, Hakika huu msemo wa ndugu lawama una maana kwelikweli, Niliamua kumshirikisha ndugu yangu kwenye kupambana na maisha. Nikampa wazo lakufanyia biashara ya mazao, akakubali nikampa mtaji...
16 Reactions
48 Replies
2K Views
Back
Top Bottom