Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari wakuu... Niende moja kwa moja,ni hivi nataka kuhamia MBEYA na lengo langu ni kuishi moja kati ya sehemu nilizotaja hapo juu,"TUKUYU ama KYELA. LENGO KUU Kuishi sehemu ambayo sitatumia...
18 Reactions
262 Replies
38K Views
Kuna changamoto ya miundombinu ya Barabara katika eneo la Igogo inayopita Soko la Wafanyabishara Wadogo la Mchafu Koga. Changamoto hiyo inasababisha vyombo vya usafiri hasa Daladala kutopita...
0 Reactions
1 Replies
358 Views
Unyanyasaji wa Mtandaoni, unazidi kuwa tishio kubwa kwa watoto kila mahali duniani. Dalili zake mara nyingi hazionekani moja kwa moja, lakini zinaweza kufahamika iwapo kirahisi kama tu mzazi au...
0 Reactions
2 Replies
311 Views
Hapa ni soko mjini Kiwira, Mbeya. Watu wamepanga vitu mpaka barabarani! Hii ni barabara kuu na mpaka malori makubwa mengi yanapita hapa ya nchini na nje ya nchi hususan yale yanayoelekea Malawi...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu kwema humu! Jamani naomba niende kwenye mada moja kwa moja nipo maeneo ya mji wa zanzibar, ninatarajia kukaa siku kadhaa huku sasa changamoto inshu ya malazi ipo juu sana, natafuta chumba...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Je kuna ukweli kwenye hili analoelezea huyu Moran? Msikilize kwa makini https://www.facebook.com/reel/910568581022962
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Wakuu kwema? Naomba kujua, Ni Maduka gani wanauza rangi za kurudisha muonekano wa nguo/suruali katika hali yake ya kawaida? Dawa hizi kama sikosei zinalowekwa kwenye nguo kisha zinarudi katika...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Sio siri viwanda ambavyo kuna Wahindi kuna unyonyaji mkubwa sana. Nabaki kushangaa jinsi ambavyo hawa Wahindi kwanza ni wageni katika nchi yetu lakini wanawanyanyasa sana watz mishahara midogo...
8 Reactions
67 Replies
1K Views
:mad:Nimeipata Mtandaoni, yanitia ucungu na inazidi kuniondolea upendo nilionao kwa hawa waasia waliopo nchini. Nahoji vile vile kinga ya raia wenzetu huko nje. Wadau tafadhali nielewesheni...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa matukio ya kunyanyaswa kibaguzi kwa wanafunzi wa kitanzania huko India. Ni mlolongo wa matukio ya kudhalilisha na ya kinyama kutoka kwa wahindi hawa. Mi...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Wakuu, Kuna habari kuwa mwanafunzi Mtanzania kakutwa amefariki Bangalore India.Habari zinasema huyo kijana kakutwa amechinjwa na polisi wanaendelea na uchunguzi. Kwa jina anatambulika kwa jina...
1 Reactions
109 Replies
18K Views
Naelekea airport. Nnimepanda basi la Tandika Yaan kuna matraffick kila kituo na wengine wana nyota zao Ajabu na kweli yaan basi zaidi ya 6 zimesimamishwa makonda wanasafwata wanawapa karataso...
3 Reactions
4 Replies
327 Views
Nitangaze interest zangu kwanza huwa Sina muda wa kwenda bar au vijiweni kuchapa stori na kutumia pesa, (tatizo ni muda kazi ni nyingi kuliko muda), so huwa napita pita mara moja moja hasa bar...
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Salute wakuu, Katika Hali isiyokuwa ya kawaida Jeshi la Polisi nchini kupitia ukurasa wao Rasmi wa X (zamani twitter) imem- block bwanaSativa mhanga wa kutekwa baada ya mhanga kuishitumu Polisi...
7 Reactions
41 Replies
859 Views
Mchungaji wa Kanisa la Gospel Revival Centel (GRC), Antony Lusekelo amehoji Matukio ya Watu kutekwa kutokana na kutoa maoni yao kuhusu Serikali na kueleza kuwa wanaofanya Vitendo hivyo wanatakiwa...
1 Reactions
5 Replies
718 Views
Hili ni moja ya majengo yanayomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika zamani Mpanda DC yaliyopo Manispaa ya Mpanda, Jambo la ajabu jengo hili limetelekezwa kwa sababu mazingira yake...
0 Reactions
3 Replies
337 Views
Mzee Yusuph Sisala Chaula akiwa na mwanaye Shadrack Chaula Kufuatia taarifa za kupotea katika mazingira yanayodaiwa ‘kutekwa’ kwa Shadrack Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji, baba mzazi...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Habri Wakuu, Nimewahi kujiuliza swali kuhusu elimu za kiraia ambazo jeshi la polisi huwa linatoa huwa ni finyu sana. Hakuna vipindi vya TV ama majarida yanayotoa elimu kwa Raia kuhusu haki zao...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Wizara ya utumishi wa umma imetuma waraka unaotoa mwongozo wa mavazi kwa watumishi wote wa ofisi za umma na wananchi wote wanaohitaji huduma ktk ofs hizo. Waraka huo namba 3 wa mwongozo wa mavazi...
5 Reactions
73 Replies
14K Views
Habari wana JF, Katika uzoefu wangu na utafiti usio rasmi nimegundua watu wazima hasa wazee waliozeeka haswaaa, ni waoga wa kifo kuliko vijana. Sisi vijana tunatake risk nyingi sana za...
2 Reactions
19 Replies
567 Views
Back
Top Bottom