Poleni kwa majukumu.
Ndugu zangu hapa katikati kuanzia miaka ya 2010 limeibuka wimbi la waandishi wa habari pamoja na vyombo vyao vya habari ambavyo vimekua ni zaidi ya janga kabisa.
Kwanza...
Habarini wenyeji wangu.
Kwa mwenye kuzijua ofisi za Tume ya maendeleo ya Ushirika TCDC Dodoma anielekeze na kama una chombo cha moto kama boda boda anipeleke asubuhi hii majira ya saa mbili.
Hatua ya kwanza. Kuwapa nasaha,
Ikishindikana hapo, muwahame.. Yaani muwaache majumbani pekee yao.
Umemuhama kakufuata lakini bado anaendelea na tabia zake, ruksa kumshikisha adabu, japo namo...
Wakuu,
Hii taarifa mbona kama ya kutuzuga hivi? Hayo mawe yalikuwa ya ukubwa kiasi gani mpaka yavunje hivyo vioo? Au ni sababu ya mwendo? Wazee wa physics mje mtueleze.
Lakini pia kama walikuwa...
Juzi bhna nilienda barbershop kushave.
Nilipomaliza ile natoka nje nikaona land cruiser inakuja ikapak upande wangu wa kushoto.
Wakatoka jamaa wawili makamu ya miaka 35-40, jamaa walikuwa...
Ukiachana na asili ya dunia kumuonea huruma mwanamke, je, ni ipi sababu ya msingi inayopelekea mwanamke aonekane kama mhanga pale anaposimama kwenye vyombo vya sheria?
Mwanamke na mwanaume ambao...
Kuna wakati unapata dharura ya kuhitaji huduma kwa wateja watatue, unapopiga simu unakuta maelekezo mengi sana (hasa mitandao ya simu) na kisha inakuwa vigumu kusaidiwa.
Kwa nini kusiwe na namba...
Habari za muda huu,
Kuna habari mbaya ajali kimetokea Mbezi Luguruni jirani kabisa na ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, mida hii school bus limelikwepa gari ya mizigo iliyosimama ghafla KWENYE...
Kwa muda mrefu sasa,Kampuni ya Ukopeshaji Pesa ya Mtandaoni ijulikanayo kama BahariPesa imekuwa na Tabia ya Kutoa siri za wateja wao hasa wale wanaodaiwa na kutuma taarifa zao kupitia namba za...
Great thinkers Habari zenu.
Ulimwengu wa roho ni nini kwa kiswahili cha kawaida kabisa, Maswali yangu matatu tu ikiwapendeza naomba mnijibu ?
NB; Rejea za vitabu vya dini zitumike panapo...
Wale watu wa spiritulity na imani nawaita mje na mifano yenu kuhusiana na hii mada " maneno/jina lina nguvu ili ufikie au usifikie malengo yako". uwa mna siri gani hamuisemi?
Kumekua na hii...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miongoni mwa mambo ambayo anayapenda ni kuhusu jinsi waumini wa Dini ya Kiislam wanavyowazika wapendwa wao na kueleza kuwa ameandika wosia...
"Naagiza jeshi la polisi mhandisi ujenzi wa manispaa awekwe ndani kwa ajili ya uchunguzi zaidi ili kubaini kama ujenzi ulikuwa ukifanyika kwa kufuata taratibu sahihi. Mmiliki wa jengo tiyari yupo...
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel amemwapisha Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Said Mkumba huku akiwakumbusha watendaji wa mkoa wake kuwa wana deni la kuwaletea wananchi maendeleo kama...
Nchi hii haijawahi kuwa nyepesi kwenye uchumi lakini kuna awamu kadhaa mambo yanakuwa nafuu
Kipindi cha kikwete kulikuwa na kampuni kibao, ajira watu wanachagua, mzunguko mkubwa wa pesa, n.k...
Bakita ndugu zangu jamiiforum ni jukwaa huru, so natoa maoni yangu. So kama itawezekana naomba myajibu kitaalamu kwa kutoa kufanya research ya neno sahihi mbadala wa Hallucinations kwa kiswahili...
Habari za Saizi wana jukwaa.
Nimeleta mada hapa jukwaani nikiamini mamlaka husika wataona na kulishughulikia haraka.
Ni zaidi za miezi kadhaa imepita dogo alinigusia habari kuwa alikuwa amelipa...
Hii kazi ina mshahara mdogo sana. Ni pesa ambayo bodaboda wanapata kwa wiki mbili au tatu. Acha tu, mungu wasaidie walimu wanaishi maisha ya ajabu sana, Kila mwaka madarasa yanajengwa ila huwez...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.