Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mimi nashangaaga sana akili za sisi Waafrika, utasikia lawama nyingi kwa wazungu kwamba ni wabaguzi wakati hapa hapa nyumbani tunaishi na wahindi, waarabu na wachina ambao hawataki kusikia sisi...
27 Reactions
116 Replies
3K Views
Kampeni ya Taifa ya Mtoto Ni Mboni Yangu imesogezwa mbele na kutarajiwa kuanza Desemba 14, 2024 Zanzibar chini ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ikisimamiwa na Waziri...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 26 Novemba, 2024 ameshiriki ibada ya mazishi ya Brigette Mbembela (Pude)...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Kazi ya kwanza ya serikali ni kulinda uhai wa wananchi. Pili ni kulinda mali zao. Ibara ya 14 ya katiba ambayo ndiyo sheria mama inasema "kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii...
2 Reactions
0 Replies
183 Views
Huu mtindo unapata kasi sana. Upigwe marufuku kwasababu ni aibu kwa taifa. Ofisini ni sehemu ya heshima
23 Reactions
101 Replies
3K Views
Shukurani ya kumbukumbu hizi ziwaendee wqdau hawa muhimu sana na alama muhimu ya sanaa ya uchoraji Tanzania Vipaja hivi nilikuwa nikivishuhudia kupitia vijarida mbalimbali hususani Sani na...
8 Reactions
36 Replies
17K Views
Angalia utofauti wa bei wa nyumba moja kati ya madalali wawili tofauti, huu ni wendawazimu.
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Mkumbuke Bwana Mungu wako ukatubu dhambi zako ufalme wa mbinguni umekaribia na hukumu ya moto itatolewa kwa wote ambao mioyo yao inawahukumu kuwa wamemtenda Mungu dhambi, tubu na uokoke ili...
2 Reactions
3 Replies
239 Views
wakuu nambieni Huu mwaka sitaki kulipa bills za ajabu ajabu.
0 Reactions
8 Replies
360 Views
Mahakama ya wilaya ya Kilombero imemhukumu Yegela Juma Mfula (22) mkulima, mkazi wa Lungongole kifungo cha miaka 30 Jela kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa darasa la 7 (jina limehifadhiwa) wa shule...
0 Reactions
3 Replies
449 Views
Nimesikitishwa sana kuona leo watoto wa shule ya msingi "serikali" wakirudi kutoka shuleni wakiwa wamedhoofika sana, miili ikiwa dhaifu na macho mekundu kabisa. Nilipowauliza, walisema wamepewa...
14 Reactions
33 Replies
1K Views
Hayo ndio yaliyojori huko kwenye Kanisa la Marehemu TB Joshua maarufu kama Sinagogi la Mataifa yote. Ikumbukwe TB Joshua alikuwa na ukaribu na Wakuu wa Serikali huko Nigeria kiasi kwamba watu...
3 Reactions
14 Replies
726 Views
Binafsi Mimi ni kati ya wadau wa elimu katika Taifa langu la Tanzania.Napenda kutumia wasaa huu kuushauri uongozi wa juu wa kanisa la Anglikana ngazi ya Taifa kuhusu Shule ya wasichana ya Bunda...
0 Reactions
1 Replies
263 Views
KWA miaka ya hivi karibuni kuna kukithiri kwa wizi wa mashada ya maua makaburini, na ung'oaji wa misalaba unaofanywa na baadhi ya wananchi kwa Malengo tofauti tofauti. Katika baadhi ya makaburi...
2 Reactions
24 Replies
756 Views
Tumemlea sana Aziz ki, hachezi mpira muda wote anatoa maelekezo na anakosa nafasi za wazi. Dube ni takataka ambayo haistahili kabisa kuwepo Yanga muda wowote. Kama inawezekana wavunjiwe mikataba...
14 Reactions
25 Replies
924 Views
Mnamo tarehe 23 Septemba 2024, nilikamilisha hatua ya kwanza ya maombi ya pasipoti ya kawaida kwa kujaza fomu namba 24ER-Y091-Q020 na kuwasilisha viambato vyote vya msingi na ziada kwa njia ya...
6 Reactions
31 Replies
889 Views
Husika na mada tajwa hapo juu. Tanzania ni Nchi ya ajabu sana kuwahi kutokea hapa Duniani, Tanzania ni Nchi ambayo bado iko nyuma sana na mambo ya teknolojia. Tanzania tuna Kitambulisho cha...
2 Reactions
11 Replies
529 Views
Wakuu, Kuna video nimekutana nayo huko mtandaoni ya Afisa wa Polisi akiwa anamfokea mstaafu kwa kukaa kijiweni bila kuwa na kazi maalum. Kwenye video hiyo, huyu Polisi kwanza kabisa anaongea na...
24 Reactions
125 Replies
5K Views
Jeshi La Polisi Mkoa Wa Mbeya Linawashikilia Watuhumiwa Wawili Ambao Ni Ramadhan Tembo Mwakilasa (28) Na Mariamu Charles Mwashambwa (28) Wote Wakazi Wa TEKU Viwandani Jijini Mbeya Kwa Tuhuma Za...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Due to the government's control over mainstream media in Tanzania, individuals now turn to social media to access alternative perspectives on government...
0 Reactions
2 Replies
317 Views
Back
Top Bottom