Sisi wateja tuliofungiwa Meter za Maji za Prepaid tumekuwa hatupati tokeni za maji pindi tunaponunua maji kwa njia ya Mtandao hapa Mkoa wa Kagera.
Mfano toja wiki iliyopita nilinunua maji mpaka...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO), Dk Tedros Adhanom Ghebreyesus ameeleza kushtushwa kwake na kifo cha Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya...
1. Weka oda ya mwezi mzima na zaidi✅
2. Usikate kipindi cha sikukuu✅
3. Fuatilia meseji za promo ✅
hizi ili upate lazima uwe ushawai panda ndege ndo watakutumia
4. Uliza maagent✅
kua na namba...
Kwa wale mnaokuja njia Morogoro road hapa Kibaha maili moja kuna foleni sio mchezo magari yamezimwa kabisa kuna mkubwa tunahisi anataka kutumia njiaa hii so inabidi watu wa kawaida tusubiri
Kuanzia Desemba, China itafutilia mbali ushuru kwa bidhaa za nchi zilizo nyuma zaidi kimaendeleo duniani, zikiwemo Tanzania na nchi nyingine 32 za Afrika. Wakati dunia inakabiliwa na ongezeko la...
Live Channel Ten Mbunge wa Kigamboni Anamuumbua live Live Magufuli na Wazara yake kuwa Hawana haki ya kuongeza Nauli Mpya kwani hiyo mamlaka amaepewa EWURA tena lazima Wadau washirikishwe...
Habarini Wana wa Mungu !!!!
Jamani, Naomba msaada kwa anayejua huduma ya VODACOM MGODI.
Inafanyaje kazi, Usalama wa pesa, Sheria zao, faida, Jinsi ya kuwekeza,...... na Mengineyo!!!
Tusaidiane...
Ni Hesabu ndogo tu...
Gharama za Uzalishaji zikiwa kubwa basi na Bei ya Mtumiaji itaongezeka;
IKIWA MZALISHAJI NI UMMA;
Gharama za Uzalishaji zikiwa kubwa sababu Nishati ni Huduma huenda...
Waziri wa Afya anatangaza uwepo wa Janga la KIPINDUPINDU kama kitu cha kujivunia kama taifa. Leo nimeenda restaurant Mnazi Mmoja nimeghairisha hata Kula kutokana na mazingira machafu kuanzia...
Zaidi ya kwenda kujifunza ufuska sijawahi ona input yeyote wanakuja nayo maana wakimaliza wanaendelea kuwa mizigo ya familia.
Hayo mnayoita mafunzo huko JKT hayana Tija ni kupoteza mda tuu na...
Jana,katika Mkoa wa Rukwa watu wawili wameuawa kwa kupigwa radi walipokuwa shambani baada ya mvua kunyesha kidogo mchana kweupe.
Shuhuda mmoja wa hili tukio amesema,"Kama yupo mtu yoyote...
Taifa lenye misingi ya maarifa ya ukatiba thabiti na Demokrasia haliwezi kuwa na watu dhaifu katika kuishi kutenda haki na wajibu kwa misingi katiba na sheria, pia kuheshimu muundo wa demokrasia...
Jana kulikuwa na Sherehe ktk eneo la club D Jijini Arusha ,nikiwa ukumbini Ile natoka Sasa kwenda nyumbani nikakuta gari imegongwa na huyo mtu akawa ameondoka, kuuliza walinzi nao wanajidai Kila...
Tanzania, nchi ya uchumi wa kati, miongoni mwa nchi zinazoendelea kwa kasi barani Africa, yenye wananchi watiifu kwenye ulipaji kodi, inayoongozwa na serikali inayohamasisha bihashara na uwekezaji...
Saleh Ayoub ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni na kusomewa...
Kuna jambo ambalo naomba nifikishe hapa ujumbe ili ujumbe huu ufike kwenye Mamlaka za juu, nimeamua kufanya hivi baada ya kuona kile ambacho kimeripotiwa na yule Mwanachama mwingine wa JF kuhusu...
Kila nikikaa na kufikiria jinsi Dunia ilivyopiga hatua kwenye sayansi na Teknolojia huwa nafikiria maisha ya wazee wetu wa zamani embu fikiria Dunia bila mitandao ya kijamii WhatsApp ,insta au...
Hello guys
Kama kuna mtu ana mipango ya kwenda kusoma india, namshauri ni bora asome bongo kwasababu india ni nchi chafu,kuna joto kali, maskini, na still ni nchi ya ulimwengu wa tatu, pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.