Zamani (kabla ya smartphone) nilikuwa nikitaka kudownload miziki naingia Waptrick. Simu kubwa zilipokuja nikaona process za kudownload kwenye browser ni ndefu kwanza vitu vyenyewe unakuta...
Wadau Tusitishane, Tusipangiane na Tusilazimishane.
Wengi wa vijana wa ccm {kada} watiifu wamekuwa hivyo kutokana na wazazi wao kuwa watendaji wa vijini/kata, wengine ni watoto wa waalimu hawa...
Wakuu Hili Jambo limenikera Sana
Iko HV ,Mimi nilikuwa mtumiaji wa pombe yaani kwa kifupi nilikuwa nabungia Kweli kweli pombe na pombe zangu ilikuwa ni kama ifuatavyo
Napenda kutumia
Kilimanjaro...
Ebana daah hii Kila inapopigwa nakumbuka tu Ile style ya suti bwanga, mkoti mkubwa🤣na wanchoma kumoyo, umenyoa afro fulani hivi.
Zile chupa bia zilikuwa kubwa kubwa kishenzi
"ilikua ikifika...
Habari wakuu, kuna yeyote anayefahamu utaratibu na gharama za kufuata ili kupata long term parking katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
Nina safari nje ya Dar kwa siku tatu, na...
Watu kadhaa ambao idadi na majina yao hayajajulikana wanahofiwa kufariki dunia baada ya ajali iliyohusisha magari matano, bajaji nne na pikipiki moja eneo la Mbembela jijini Mbeya.
Ajali hiyo...
Jana pita pita yangu, nimeikuta jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu. Nia ilikuwa ya kununua na kufanyia mazoezi.
Nilidhani elfu 5 tu.
Najiuliza hivi mtanzania maskini ananua majezi ya club kwa bei...
Wakati natoka home kuelekea kuangalia mpira nikapitia maeneo ya machinjioni mtaani kwetu .
NIMEKUTANA na ngombe mnyama akiwa amelala chini huku akiwa amevunjika mguu wa nyuma mfupa uko nje...
Kuna Mambo mengi ya ajabu na ya hovyo Yana fanywa na viongozi wetu lakini wanainchi wapo kimya
Kuna mikataba ya hovyo Ina fanyika lakini wanainchi wapo kimya
Kuna billions zinaibwa zinafichwa na...
Udom wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa pili sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa. Na sasa tunaelekea kwenye graduation lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo...
Habari ya jioni wakuu poleni na msiba, naomba niende kwenye maada tajwa hapo juu.
naomba ikiwa kuna afisa wa TRA kwenye upande wa forodha kwa mpka wa Tunduma au makao makuu HQ nakuomba inbox...
Sehemu zinazozungumziwa ni zenye uwezo wa kuwa na nguvu ya kujitungia sheria na kujitawala mfano nchi, nchi zilizo ndani ya muungano au mfumo wa serikali unaoruhusu majimbo yajitawale na...
Shirika la ndege Tanzania- ATC Anzisheni haraka safari za kutoka Dar/Kilimanjaro kwenda JFk New York USA, sababu Kuna abiria wengi sana Toka USA kuja Tanzania. Changamkeni
𝙏𝙝𝙧𝙚𝙚 𝙎𝙩𝙤𝙧𝙞𝙚𝙨 𝙩𝙤 𝙗𝙤𝙤𝙩:
1. Nokia refused Android
2. Yahoo rejected Google
3. Kodak refused Digital Cameras
𝙇𝙚𝙨𝙨𝙤𝙣𝙨:
1. Take chances
2. Embrace the Change
3. If you refuse to change with time...
Dar es Salaam, Tanzania, 25 Novemba 2024 – MultiChoice Tanzania imetangaza ushirikiano na Vodacom Tanzania PLC, kampuni inayoongoza katika mawasiliano ya simu nchini, kwa ajili ya kuzindua Showmax...
Kipi special sanaa katika hii dunia kinachoweza kunijali kwa dhati eti nikionee huruma??? Eti kinifanye nicheze kwa standards zilizo fair, hakipo, so ni muda wa kuwa ruthless.
Anaekuhubiria uache...
Hili siyo jungu ni uhalisia kabisa, huko kwenye Halmashauri zetu ili uwe mkuu wa idara shart moja wapo inatakiwa uwe na Master degree,
Sasa imetokea kuna halmashauri watu wasio na sifa wanakaimu...
Moderators naomba msifuze au kuunganisha huu uzi.
Naamini JF ni Platform kubwa na hata Rais wa nchi na viongozi wengine wanapitia humu.
Naanza kwa kudeclare interest binafsi ni Mtumishi wa umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.