Kwanini mnaomba maisha marefu hapa duniani wakati kuna maisha mazuri mbinguni kwa baba?
Kwanini kifo kinaogopwa wakati ni njia ya kwenda kwa baba kula raha, kufurahia maisha mazuri yasiyo na dhiki?
Oy wanangu niaje
Huko chama la wana michezo ya pollonium imezidi vijinafasi vya kupokea hela za mchezo vinawacost sana
Watu wanacheza mchezo mbaya wa pesa vijumbe ndo wanatumiwa kuupeleka...
WATOTO HAWATELEKEZI BABA MWENYE NGUVU YA KIFEDHA NA AKILI
Mara nyingi sana tunaona na kusikia visa na mikasa
Ya jinsi wababa ambao wamesogea kiumri sana...🥸🥸🥸
Wakilalamika kukimbiwa na watoto...
Yaani, katika kila tukio linalotokea, nadhani kuna watu huko Polisi ambao kazi yao ni kupindisha ukweli wa mambo kwa namna ambayo hata yule Joseph Goebbels, mkali wa propaganda wa Hitler...
Mnatangaza kuwa mnatengeneza mikaa isiyoharibu mazingira,tunawaandikia email kwa ile email yenu ya ofisi, hakuna mtu anajibu, au mnataka tumuandikie barua Samia. Tuambieni hayo makaa tunayapataje...
SONGWE: Jeshi la Polisi Wilaya ya Momba, limesema linamshikilia Mwanaume mmoja ambaye ni Dereva wa Bodaboda anayetuhumiwa kuhusika na Kifo cha Stephano Chalamila (23) ambaye awali aliripotiwa kuwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewaelekeza wasimamizi wa vituo vya Uchaguzi kuwasaidia wapiga kura kusoma orodha ya majina vizuri ili wote...
Kwa vile mimi simjuaji naomba kuuliza, hivi kuna utaratibu Mashirika yetu ya nyumba kununua maeneo mapya kwa ajili ya kuyaendeleza?
Na kama ndio hawawezi kununua Kinondoni,Magomeni Mwananyamala...
Nimejifunza kwamba wale ambao hawakutafuti ukiwa kimya ndio ambao huwa hawa kumiss kabisa
Na hao ambao hawa kumiss huwa hawakujali pia
Maisha yana amua nani ataingia katika maisha yako lakini...
Dsemba 5 mwaka huu kundi la watanzania 200 wakiongozwa na maofisa wa jeshi la wananchi Tanzania(JWTZ)litapanda mlima Kilimanjaro ilikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa...
Inasemekana mara nyingi kwamba kila mtu anastahili nafasi ya pili. Lakini hiyo si kweli kila wakati, kulingana na saikolojia.
Kuna aina fulani za watu ambao, kwa ajili ya afya yako ya akili...
Kama mtu wa rohoni ngoja niwape hii code huenda itawasaidia siku za machoni.
Unaomba ajira umefanya usaili na kuwa na matumaini kuwa sasa unasubiri tu kupangiwa tarehe ya kuanza kazi lakini...
Wakati fulani mtu fulani alihoji humu sababu ya Kenya na Uganda kuwa na raia wengi walio ughaibuni na baadhi ya wadau wakadai ni kwa sababu nchi zao hazina fursa kama Tanzania.
Kuna taarifa...
Watanzania tunatia huruma Sana ukiiona video hii ni aibu we mtu anakimbilia porini hata hajali huko porini atakutana na nini.
JIANDAE KUKUTANA NA HAYA KAMA UTAHAMIA NCHI ZA WATU BILA PASIPOTI...
Habar zenu mabibi na mababu,
Mwalimu ni mtu anaesaidia wengine kupata ujuzi, maarifa na tunu. Mwalimu ndie anaezalisha Madaktari, manesi, bwana afya, wanasiasa, wafanyabiashara n.k, na wote...
Kwa yoyote ambaye amekuwa akifuatilia makala zangu za hivi karibuni, bila shaka ameona kwamba nimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu sababu za kudumaa kwa maendeleo ya bara letu. Ingawa ukoloni mara...
1. Leo salary advaance/pension advancy /mikopo iko, kesho inaondolewa kesho kutwa inarudishwa! majaribio!
You cannot plan anything with this Saccos!
2. Most of the time ATM ni out of order
Wapo...
Tangu utaratibu wa ushuru wa maegesho uondolewe TARURA na kupelekwa katika halmashauri umegeuka kuwa wizi wa wazi wa serikali dhidi ya wananchi wake.
Mawakala wa halmashauri wanaohusika na...
Heshima sana wanajamvi,
Last week nilikuwa UAE 🇦🇪 Dubai, nilitumia usafiri wa ATCL kwa mara ya kwanza.
Mambo matano ya hovyo niliyashuhudia.
Mosi Wahudumu ni wazee na wana miili mikubwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.