Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hivi kwanini mjusi akikatwa mkia bado anatembea? Kuna nini? Kwa science view ana religious view? Nahisi wengi hamjaelewa ninachomaanisha kaeni chini mtafakari ninachomaanisha muwe na jicho la...
9 Reactions
58 Replies
2K Views
Jioni ya Tarehe 25/11/2024 imetuletea simanzi mara baada ya Mtumishi huyu Mwema atisa Maendeleo ya Jamiii Segerea Rhoda Mwanyangala kuaga dunia. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Luguruni akiwa...
1 Reactions
11 Replies
834 Views
Serikali iangalie hii changamoto ya Mfumo wa ESS, umekuja kurahisisha ila kuna Watendaji bado wanazingua -Serikali ilikuja na huo Mfumo kurahisisha mambo mbalimbali yanayohusu Watumishi wa Umma...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika Kuonyesha kuwa Watoto wa Kizazi cha akina Kikwete na Magufuli huenda wakawa ni Werevu kuliko Kizazi chetu cha akina Nyerere na Mwinyi wameanza kuwa ' Wabunifu ' katika Kujipatia Pesa kwa '...
10 Reactions
10 Replies
2K Views
Bado siku 2 tu kumaliza mwezi Novemba. Wahi ulipe kodi yako kwa maendeleo ya Taifa.
3 Reactions
6 Replies
380 Views
Jumapili nilkuwanasafiri na gari kutoka west kilimanjaro to Dar.sitataja gari ya abiria niliyo safiri nayo.bahati nzuri au mbaya gari haikuwa na abiria wengi mpaka tumefika marangu gari ilikuwa na...
33 Reactions
81 Replies
4K Views
Ni mwezi uliosikitisha sana Kwa kweli Tuzidi kuliombea taifa letu hali hii inahitaji Mungu wa mbinguni awe Nasi wakati Wote Mlale Unono
4 Reactions
18 Replies
644 Views
Mamlaka ya Maji Lulindi wilayani Masasi mkoani Mtwara imekuwa ikitoa huduma kwa matabaka ambapo baadhi ya mabomba yakikosa maji Tungekuwa tukitoa malalamiko kwa sekta husika ila tunapokea majibu...
1 Reactions
1 Replies
148 Views
Wasalaam. Katika mizunguko yetu ya kujitafutia riziki, binadamu Kama viumbe wengine tunachangamana jamii kwa jamii nyingine Koo kwa Koo zingine. Hivyo Basi tunakutana na changamoto za maswali...
5 Reactions
19 Replies
502 Views
Anonymous (37b5)
Nasimama na maofisa wa NIDA waliopo katika maeneo mengi nchini. Madereva na wasaidizi wao wanaofanya safari kwenda nje ya nchi kupeleka mizigo wanapewa vitambulisho vya Tanzania na baadaye zile...
21 Reactions
51 Replies
3K Views
UKIONA NDUGU NA WATU WANAMDHARAU MKEO UJUE WEWE MWENYEWE WANAKUDHARAU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Huwezi kuwa Mwanaume mwenye heshima kama Mkeo anadharaulika, na kudharauliwa na watu...
14 Reactions
76 Replies
2K Views
Namshauri Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ajiuzulu kwa kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Mwenyekiti asitafute kisingizio kingine, anachotakiwa ni kujiuzulu kwa...
1 Reactions
7 Replies
471 Views
Hivi ni Kweliii hizo taasisi tajwa hapo juu nazo zipo chini ya utumishi na stahiki zao zinaratibiwa na utumishi? Naomba kujuzwa wakuu.
2 Reactions
75 Replies
8K Views
Hii si mara ya kwanza kwa watu wa masoko kufeli Tanzania, mnakumbuka simba walitoa jezi ziloandikwa SANDA, ambayo ni nguo wanayovaa maiti, Katika marketing concept, jina lina nguvu sana, ndio...
21 Reactions
69 Replies
4K Views
Nitajitahidi nitumie lugha ya kiswahili, waswahili wote tuelewane vizuri.. pia nitajitaidi nitumie maneno machache kufikisha ujumbe au elimu kubwa na pana kumuhusu Binadamu na uchawi au ushirikina...
13 Reactions
43 Replies
3K Views
Yaani ndugu akikwambia nna shida ya milinoni moja wewe mpe sh 30,000 au 50,000 mwambie nlikuwa na hii tu na sikudai ili kuepuka uadui au usimpe kabisa Kwa sasa tulipofikia mtu akihitaji pesa...
4 Reactions
14 Replies
469 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kiwango alichofikia huyu kijana ni kibaya sana,ni kiwango ambacho hakihitaji kuvumiliwa wala kuachwa hivi hivi pasipo kudhibitiwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria...
7 Reactions
647 Replies
12K Views
LC 300 ikiwa na number plate ya C ambayo ni usajiri wa Noah
1 Reactions
12 Replies
492 Views
Siku ya jana jumatano ya tarehe 27/11/2024 ambapo kulikuwa na zoezi la uchaguzi mdogo Tanzania nzima wapiga kura wamelalamika kwamba waliteseka kutafuta majina yao ili wakapige kura pia wamesema...
0 Reactions
6 Replies
372 Views
Kibiashara nini kinaweza kusababisha kampuni kubwa kama tigo kubadilisha jina mara nyingi hivyo(mara nne)? Zipi faida na hasara kibiashara kufanya hivyo?
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Back
Top Bottom