Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hakuna ubishi kuwa trending ya matokeo ya hivi karibuni inaonesha CCM inashinda kwa kishindo kikubwa,kwa mwenendo huu inawezekana kwenye uchaguzi mkuu wa mwakani hali ikaendelea hivi hivi lakini...
0 Reactions
2 Replies
234 Views
Msaada jamani Maisha yangu yako mashakani [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] Ndani kwangu kuna nge tena mkubwa tu Nilitaka kumuua kakimbilia chini ya kochi Sijui nitamtoaje...
3 Reactions
98 Replies
13K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu. Kwa mujibu wa Kanuni za kijeshi Kanali anatakiwa awe na vigezo au sifa zipi ili kusudi apandishwe cheo na kuwa Brigedia Jenerali...
0 Reactions
1 Replies
229 Views
Hawa Jamaa usiombe uingie kwenye 18 zao, utajuta kuwafahamu. Siku moja Tulikuwa kwenye foleni ya kuelekea mjini, kuna jamaa wa Lori akaziba geti la kuingilia pale kambi ya Abdallah Twalipo...
44 Reactions
307 Replies
21K Views
Hapa Mtaani kwetu Magomeni Jitini katika Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda wa wiki tatu sasa. Kuna Barabara imechimbwa, hakuna ujenzi...
0 Reactions
2 Replies
322 Views
Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee. Inawezekana...
49 Reactions
406 Replies
19K Views
Kawa kama zombi Niliwahi kununua playstation Kwa mwanafunzi flan hivi wa chuoni alikuwa anadaiwa ada na hana pesa, aliniuzia hio mashine Kwa laki 3 na nusu, lengo langu lilikuwa niiuze hata kwa...
29 Reactions
172 Replies
11K Views
Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini wanaofanya vizuri kwenye...
3 Reactions
6 Replies
291 Views
Usiku Kipindi cha mawingu ambako nyota na mbalamwezi hazionekani ni hatari sana kwa usalama wa maisha. Na pia sa nyingine huwa ni bahati sana katika maisha yako. Umeshawahi kujiuliza ni kwanini...
14 Reactions
72 Replies
22K Views
RAFIKI YANGU ANAOMBA MSAADA HAJUI AFANYAJE ,KADHULUMIWA HII NI STORI YAKE KWA UFUPI ".Nimezaliwa Kigoma .siweki wazi ni Kigoma sehemu Gani Kwa sababu ni hatari kwangu nitoshe kusema vile...
9 Reactions
14 Replies
833 Views
Picha: Pinterest Mimi nimeanza kutumia X kwa sasa toka 2017. Niliheshimu mtando huu sana kwa habari nzuri na kwa ufupi kutokwa kwa watu mbalimbali. Leo hii unaingia X unakuta ndio watu...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Nina kijana wa miaka 17. Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
36 Reactions
375 Replies
11K Views
Vipi,mbona hakufika? Kama anataka kuja,anakaribishwa. Niliweka namba yangu jana,0652 079 561. There is no problem. Anaweza kuja. Yaani pale niliposema Lissu yuko mahututi hospitali,yupo mtu mmoja...
1 Reactions
13 Replies
370 Views
Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai Rais Samia anahujumiwa. Habari ndio hiyo Rais Samia ana hujumiwa na watendaji wake wa...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Hiki ndicho kipande chako baada ya kurekebisha alama za uandishi: Kwa muda sasa, najaribu kumchunguza kijana huyu anaye fahamika kama Robert Herieli almaarufu Mtibeli. Kupitia maneno yake na...
12 Reactions
76 Replies
2K Views
Salama wakuu Kuanzia mida ya jioni leo huu mtandao wa Yas naona unanipa shida kufanya mawasiliano kwenye kifaa changu Simu hazitoki, sms haziingii internet imekata ukiwatafuta huduma kwa wateja...
10 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari waungwana, Mimi nilisoma udereva katika chuo kimoja cha veta cha serikali huku kaskazini mwaka 2018 na kupewa leseni Class D, Sasa nina taka kwenda kusomea tena kwa ajili ya kupata...
2 Reactions
5 Replies
763 Views
Habari za majukumu Wana JF Majanga mengi ya moto majumbani na hata katika maeneo mbalimbali ya shughuli za kibiashara( masoko) yamekuwa yakisababishwa na usukaji/ uunganishwaji mbovu wa nyaya za...
0 Reactions
6 Replies
459 Views
Muhimu: Wanywaji wanakunywa bila kuharibu ratiba za shughuli zao muhimu, ni tofauti na walevi. Haimaanishi kwamba ni wote lakini kuna kundi kubwa si haba la wanywaji wa pombe wana maendeleo...
4 Reactions
8 Replies
325 Views
Back
Top Bottom