Kuna maswali huwa najiuliza bila majibu. Hivi kama kampuni ina jumla ya thamani ya shillingi Billion kumi, na ina jumla ya hisa 10 ( kila hisa ina thamani ya bilioni 1). Na hiyo kampuni kwa...
Na WAF - Ruvuma
Waziri wa Afya Mhe. Jesnista Mhagama amesema kiwango cha maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kutoka asilimia 18 mwaka 2010 hadi asilimia...
Kwa mvumo wa upepo wa historia,
CCM inasimama, mwanga na kivuli,
Katika shingo za wanyonge, majuto na matumaini, Pamoja na machungu, bado ni kimbilio. Mwarobaini wa taifa, au nadharia ya...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ametoa wito kwa Wazazi, Walezi na Walimu kuwalea, kuwaandaa na kuwafundisha Wanafunzi katika misingi ya nidhamu bora na tamaduni za kitanzania ili iweze...
Katika uhalisia ndani ya uchaguzi kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu pamoja na ukiukwaji wa sheria za uchaguzi ikiwemo kuwaandikisha watoto chini ya miaka 18 kinyume cha sheria...
Kwema wanajamii?
Naombeni mawazo kidogo, nikifika nyumbani mtandao unasumbua hivyo kuhusu suala la kuwa online linakuwa gumu. Kuna njia gani naweza tumia ili niweze endelea kuwa online?
Leo nimewapeleka wateja wanne toka Mozambique kwenda Zanzibar
Jana wakati nakata tiketi zao wakasema wanahitaji abcd, Tukapeleka zote
Leo wamepanda boti kwenda Zanzibar wanafika wanazuiwa...
Habari za mchana huu.
Dah nimelifuatilia tangazo la YAS na MIXX BY YAS. Yaani chini ya sekunde sitini mtu anakupa content ya maana na kueleweka.
Maana mpaka sasa kwa matangazo ya kwetu hasa...
Ni katika kituo cha kupigia kura Mivumoni madale
Majira ya asubuhi vituo vinafunguliwa!
Polisi wanawathili kwa ajili kuhakikisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao (kura zao)
Masanduku ya...
Uchaguzi ukifanyika mnatumika bila aibu badala ya kusimamia haki.
Watetezi wenu mnawatesa wakipigania haki zenu kama vile vichwani hamna ubongo bali tope!
Mnatuhumiwa kuwateka na kuwatesa na...
Jeshi la Polisi Nchini limesema katika kushiriki Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia kwa Mwaka 2024 litashirikiana na Wadau mbalimbali kufanya Maadhimisho hayo katika Kanda...
Habari yenu wana jamvi.
Kuna mikopo ambayo huwa inatolewa na serikali kupitia hazina Kila mwaka kwenye halmashauri zetu.
Sasa nimefukuzia huo mkopo Miaka 3 sasa bila mafanikio hata sijui huwa...
Sehemu wanazopendelea
Kukaa majini.
Ikumbukwe kuwa majini walipopigwa na
kufukuzwa,hawakuzuiwa kuendelea kuishi katika
mgongo wa ardhi,Laa hasha! Bali walitawanywa na
kuzuiwa kuishi katika...
Salaam.
Moja kwa moja kwenye mada.
kwa ufupi kuna kipindi fulani nilikuwa na kipindi kigumu sana. Kuna kaka mmoja kaka wa rafiki yangu akaniunganishia kazi hapa Dar es Salaam. Ila wakati napata...
Maisha lazima yaendelee. Ni kauli za wafanyabiashara kwenye maghorofa mawili yaliyo pembeni ya lile lililoporomoka katika soko la Kariakoo ambao sasa wanaendelea na shughuli zao za kibiashara...
Aisee kama mwanadamu ndiye ameletwa kuja kutawala dunia kwanini tunaviogopa baadhi ya viumbe kama nyoka,simba,chuo,tempo na baadhi ya viumbe? Na kwanini? Napatwa na hasira nyingi kujiuliza kwanini...
Tangu mtandao ubadili jina yaani ni majanga tupu.
Ni zaidi ya lisaa sasa, huduma ya Mixx by Yas (zamani Tigo pesa) haipo hewani. Sio kwa menu ya kawaida wala kwenye App yao.
Nilikuwa nilipie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.