Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Katika jangwa la kaskazini mwa Australia Kusini, kuna mji mdogo maarufu ulimwenguni kwa uzalishaji wa vito vya opal unaojulikana kama Coober Pedy. Zaidi ya asilimia 70 ya opal zinazoteumiwa...
2 Reactions
5 Replies
368 Views
Bodi ya Mkopo Heslb inatupa wakati mgumu sana hasa wanafunzi tunaotokea familia ya vipato vya chini, maana wanafanya kazi kama wanavyojisikia wao Bali si kama wajibu wao wanafunzi tunalala njaa...
3 Reactions
30 Replies
841 Views
Habari za Sabato! Leo nitakuwa Kanisa la Wasabato Manzese. Huko natarajia kubarikiwa Sana. Ninaupenda mtaa wa Manzese kwa sababu umebarikiwa Kwaya kubwa Mashuhuri hapa nchini. Kwaya ya Mbiu, na...
8 Reactions
29 Replies
716 Views
Sauti ya wahenga inasema ni bahati nzuri kutofagia nyumba ya zamani kabla ya kuondoka kuhamia nyumba mpya,kwani ukifanya ivyo yale mabalaa unayo pitia nyumba ya zamani unayaamishia nyumba mpya...
1 Reactions
2 Replies
212 Views
Habari ndugu zangu matumaini yangu ni kuwa mu wazima wa afya na kama kuna changamoto yoyote usikate tamaa ndio ubinadamu. Leo nilikua siko poa, na mara nyingi napokua katika situation kama hii...
0 Reactions
2 Replies
224 Views
Je Kanisa la Sasa ni Moto au ni Vuguvugu kama Kanisa la Laodikia ? Kanisa la Laodikia ni nini Kwanza hebu tujikumbushe historia ya yale makanisa saba, tunayoyasoma katika kitabu cha Ufunuo, Aya...
2 Reactions
7 Replies
481 Views
Hii njia ya Kwenda, Da Rainbow katikati ukitokea Tankibovu, wamefungua club. Yaani watu hawalali... Kiufupi ni nzuri hatupingi, lakini wengi wamelalamika watafute jinsi ya kupunguza sauti isizidi...
2 Reactions
11 Replies
428 Views
Igweeee Waswahili husema bongo bahati mbaya,, hatimaye zamu yangu kwenda ng'ambo imekaribia Ni hivi nimekuwa na ndogo hii kwa muda mrefu baada ya kuimaliza elimu ya chuo bongo na kusota bila...
4 Reactions
17 Replies
968 Views
Kwanza kabla ya kuanza story...nitoe big up kwa IBRAH THE HUSTLER wa ukoo flan Mau Mau. Moja ya mabroo wenye roho nzuri sana..nje ya maisha ya mziki. Nitoe big up pia kwa home boi mwenye roho ya...
63 Reactions
564 Replies
53K Views
Hii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni. Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na...
17 Reactions
73 Replies
4K Views
Nimeona hii habari kuna mradi wa ujenzi chuo cha SUA na kama inavoonekana kwenye picha hapo mkandarasi kutoka china ndio kapewa tenda. Hivi tuwe wakweli jamani hivi mradi wa majengo kama huo kuna...
1 Reactions
8 Replies
330 Views
Kuna stori nyingi hasa za wanafunzi wa shule za sekondari kuona au kukutana na viumbe wa ajabu ajabu wasioeleweka ambao wamepewa jina maarufu la vibwengo. Stori nyingi huwa zinawahusisha hawa...
1 Reactions
10 Replies
507 Views
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyotolewa na Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai kuwa Mamlaka husika zichukue hatua juu ya Tawi la Arusha...
1 Reactions
6 Replies
784 Views
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limeendelea kuonyesha ubora wake katika usimamizi wa fedha baada ya kutunukiwa tuzo ya mshindi wa tatu wa Uandaaji Bora wa Hesabu kwa Mashirika ya Umma kwa...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Katavi Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amewataka wenyeviti wa vijiji na vitongoji nchini kuacha kuuza ardhi za wananchi kinyemela ili kuzuia migogoro ya ardhi...
1 Reactions
1 Replies
165 Views
Naomba kuuliza, je hii mifuko ya kijamii e.g NSSF fao la uzazi wakikupa , fedha wanakuwa wameipunguza kwenye michango yako, au wanakupa free kwa sababu michango yako inawazalishia riba.
0 Reactions
0 Replies
206 Views
Nyoka wa sumu ana uwezo mkubwa wa kujilinda, hivyo kwa kawaida atafungua mdomo baada ya kukuuma. Lakini sumu yake ni hatari, unahitaji kutibiwa mara moja. Nyoka aina ya cobra ana sumu inayoharibu...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Naombeni mnisaidie nimechoka kuwa mjuaji na kuumiza kichwa changu kwa swali ambalo wadau wana maswali aisee hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea na yawezekana anakimbia kuzidi binadamu? Na...
5 Reactions
51 Replies
1K Views
Nimeikumbuka hii kesi baada ya kuisikia sauti ya hayati kwenye radio wakati anatangaza kuwaachia huru kina babu seya. Nakumbuka kesi ile ilikuwa na utata wengine wakisema kina babu seya...
3 Reactions
59 Replies
8K Views
Back
Top Bottom